SOLOMO
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 267
- 81
Inavyoonesha Mhe. Membe anataka kusema "Watanzania twendeni tukampigie kura Lissu" lakini anafahamu wazi kuwa akisema hivyo wakati yeye ni Mgombea wa ACT anayetambuliwa na NEC itakiletea chama chake matatizo hivyo anaishia kusema "twendeni tukapige kura za haki"! anajizuia sana kusema "mpigieni Lissu kama chama chetu kilivyoelekeza". Huyu jamaa anatumia akili sana tusim'beze! Anafahamu hatari za yeye Mgombea kusema "mpigie mgombea fulani"!