Mi niliyefunga kuku na mbuzi, hii ndo tabia yao. ikifika msimu wa uzazi ni kujichanganya tu! Mama, baba, mjukuu,n.k. hwana mipaka. sasa erti ACT, CHADEMA, mata kule Zenj wanasema wanampa sapoti Maalim. Huku Zitto anasema Lissu safi, Huyu mkosa uzoefu naye kaja na yale yale ya iaka ile! Ni sawa na wanayama wangu tu!Utopolo tangu lini ukanielewa genius mimi. Mimi nimesoma primary hadi university Ulaya hukoo. Dar nimekuja nishakuwa na miaka 24. Sasa wewe St Kayumba ndiyo unielewe point zangu kweli? Itakuwa ni maajabu ya dunia eti
Nimekupuuza kwa sababu unaside upande, ingawa wote wamefanya kosa lile like, kwako mmoja nihalali kwa mwingine sio halali na ndio akili zenu CCM mlio wengi.Membe anaelewa anazungumza nini na ndio point pekee niliyoiona.
Wenye akili kubwa hichi tulikisema humu mapema sana, huyu jamaa ni mamluki, tukasema ujasusi mipango yake hufanywa kwa muda mrefu sana.Habari rafiki,
Membe ana akili timamu na naamini hawezi kujizika kisiasa. Wengi wenye akili wanasema na walisema mapema kwamba huyu amekwenda ACT kwa kazi maalum. Akifanya hivyo atakuwa anathibitisha tuhuma hizi.
CCM wanakalizwa dakika ya 89 na hakuna extra time.Kwa lissu sina mashaka najua ni mkakati ila hiyo mbinu ya dk 89 nahisi ni ya kupiga bao ccm
Na ratiba CHADEMA wanakuja kumalizia Dar kwahiyo ponda atakuja kujibu utumbo wa bakwata na GwajimaCcm wanakalizwa dakika ya 89 na hakuna extra time.
Sheikh Ponda tu karusha kombora moja korido za Lumumba na Bakwata wamepoteana.
Wenye akili kubwa hichi tulikisema humu mapema sana, huyu jamaa ni mamluki, tukasema ujasusi mipango yake hufanywa kwa muda mrefu sana.
Oooh! Sauti zimevuja,...
Mkuu kuna kuwaive diplomatic immunityNi majina makubwa kidogo,ambayo yanakinga kidplomasia hivyo jiwe hawezi kuwashughulikia.
Halafu badae hai tunasherekea ushindi huku magu na kundi lake lazima wakafanye kikao cha dharura
Huu ndo ukweli, hata yeye hawezi kujizika kwa upepo wa Lissu uliopo ni bora akakaa kimya kuliko kuonesha yuko kinyume naye au kuiunga mkono CCM.Wenye akili kubwa hichi tulikisema humu mapema sana, huyu jamaa ni mamluki, tukasema ujasusi mipango yake hufanywa kwa muda mrefu sana.
Oooh! Sauti zimevuja,
oooh watu wamesamehewa na wengine wamesimamishwa uanachama
Mara wamepiga magoti, ila membe kagoma!
Hizo zote zilikuwa danganya toto tu.
Dakika za mwisho anaenda kutimiza alichotumwa na ccm na magufuri.
Lakini amechelewa bila hata Act members, imani iliyooneshwa na watanzania kwa Lissu ni kubwa mno, hata asema vipi is to late
Uwezo huo hana
Membe kashindwa kumshawishi kiongozi mkuu wa chama chake, Zitto Kabwe, ampigie kura, anataka kuwashawishi wananchi?
Utopolo tangu lini ukanielewa genius mimi. Mimi nimesoma primary hadi university Ulaya hukoo. Dar nimekuja nishakuwa na miaka 24. Sasa wewe St Kayumba ndiyo unielewe point zangu kweli? Itakuwa ni maajabu ya dunia eti
He is very strategic and few can understand this culculated move. What he did is to let them more confusing while things are already settled.Ninachokiaona Membe amejaribu kukwepa mishale ya NEC, kama angesema anamuunga mkono Lissu huwezi kujua NEC wangesema nini. To me he is smart guy maana ni mgombea gani asiyefanya kampeni!!
It can't be mkuu, Lissu si chaguo langu kabisaSafi sana kachero mbobezi! Umeongea kitu kuntu, Lakini usiache kumuombea Lissu kura kwani ushindi wake ni wako pia!