Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Ningeshangaa mno kuona kama hizi Siku Kumi ( 10 ) tu zilizobaki na baada ya kuona 'mwamko' umekuwa mkubwa na Mtu aliyekuwa 'akidharaulika' kuonekana kumbe ni moto wa kuotea mbali kusingefayika 'mbinu' ya 'Kimafia' na ya 'Kimkakati' ya kubadilisha upepo ili waliopo waendelee 'Kuaminika' na anayetishia amani kwa sasa asiaminike tena kwa wanaomtumainia.

Wahenga waliposema kuwa ukishaumwa tu na Nyoka basi ukiliona jani lazima tu 'utashtuka' au utakuwa nalo makini hawakuwa 'Wapumbavu' ila inasikitisha kuona Watu ambao walishaumwa na 'Nyoka'wa Kaskazini mwaka 2015 bado na leo tena wamekutana na 'Nyoka' wa Kusini lakini bado 'wakamchekea' na huenda kuanzia leo 'akawauma' vibaya na akawa amewaachia 'Sumu' mbaya.

Wazungu ( Waingereza ) wanasema 'Mission Accomplished' na Shikamoo sana na mno tu 'Nyoka' mbaya wa Kusini na 'Sumu' zako Kali za Canada.
 
Kina nani hao wanaotaka kuhatarisha amani yao hao
Ni majina makubwa kidogo,ambayo yanakinga kidplomasia hivyo jiwe hawezi kuwashughulikia.

Halafu badae hai tunasherekea ushindi huku magu na kundi lake lazima wakafanye kikao cha dharura
 
Back
Top Bottom