Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Bado tu Mgombea wa ACT hajaanza huo mkutano? Mie niko mbali na Tv.
 
Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe, leo Jumatatu Oktoba 19,2020 saa 4:30 asubuhi anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Nipashe

Kama Watu 'Nguli' kabisa nchini akina Lowassa na Sumaye ambao walikuwa 'Wagumu' na 'Wabishi' wamerudi CCM wengine ni nani nao wasirejee?
Habari rafiki,
Membe ana akili timamu na naamini hawezi kujizika kisiasa. Wengi wenye akili wanasema na walisema mapema kwamba huyu amekwenda ACT kwa kazi maalum. Akifanya hivyo atakuwa anathibitisha tuhuma hizi.
 
Bwashee kuna tofauti kati ya kufukuzwa na kuvuliwa uanachama!
Hahaha CCM wajinga kweli, waliofukuzwa na waliovuliwa uanachama wote sio wanachama.

Unaanza kutuletea story za kufa na kufariki.

Membe alifukuzwa na yuko ACT, sasa mnajikomba komba ili iweje.

Mtumbuaji alikosea au unataka kusemaje?!
 
Tayari kaanza kaja na mgombea mwenza wake kutoka Zanzibar kasema yeye ni mgombea halali wa uraisi wa ACT wazalendo
Ngoja nizame ndichi nimfuatilie maana zimebaki siku9 tu tupige kura zetu'
 
Salaam Wakuu,

Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.

Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze.

Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread.

Stay tuned.

=====

MEMBE: Kama mgombea wa kiti hicho ningependa hili niliseme rasmi ili watanzania wale maelfu kwa maelfu waliokuwa wananisubiri nitamke tu neno ili mambo yatimie, nitamke tu jambo ili wakafanye mambo yao tarehe 28, kwa hiyo nianzie hapo ili kujibu maswali mengi yalikuwa yakijitokeza, nitawapeni nafasi ya kuuliza maswali.

Mimi ni mgombea, kulia kwangu ninae mgombea mwenza, Prof Fakhi ambae amekuja kutoka Zanzibar kuungana na sisi katika shughuli hii.

Nianze kwa kusema, ipo nadharia inayosema kwamba vyama vikiungana vinatengeza umoja kwa kuweza kukiondoa chama tawala madarakani na nadharia hii ni nzuri kwa sababu ukiangalia juujuu unakubali kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu lakini katika bara la Afrika tangu tumepata uhuru, nadharia hii haijawahi kutekelezwa kwa vitendo ikafanikiwa.

Dictators wote katika Afrika ama waliondoka kwa nguvu na wale waliokwenda kwenye uchaguzi hawakushindwa kwa sababu ya umoja wa wapinzani, waliangushwa na vyama binafsi.


UPDATES: 1048HRS
View attachment 1604731
Wanahabari Washafika eneo la tukio
Mzee Membe watangazie Watanzania kuwa umekubali kuwa hakuna wa kushindana na Magufuli wa CCM kwenye uchaguzi huu.

Waambie kwamba kimya chako ni kukubali kwamba maji yamezidi unga.

Naam najua pumzi zimekata na hauna namna zaidi ya kuomba siku ziende kasi sana kumaliza hili sonono unalopitia kwa sasa
 
Hahaha ccm wajinga kweli, waliofukuzwa na waliovuliwa uanachama wote sio wanachama.

Unaanza kutuletea story za kufa na kufariki.

Membe alifukuzwa na yuko ACT, sasa mnajikomba komba ili iweje.

Mtumbuaji alikosea au unataka kusemaje?!
Membe alishafukuzwa CCM bwashee.

Kwa sasa amebakia kuwa historia tu.

Lowassa alivuliwa uanachama ndio maana alipoomba kurudi alipokelewa baada ya kufanyiwa usahili na Komredi Polepole na mzee Mangulla.
 
Salaam Wakuu,

Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.

Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze.

Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread.

Stay tuned.

=====

UPDATES: 1048HRS

Wanahabari Washafika eneo la tukio

UPDATES: 1100HRS
View attachment 1604746View attachment 1604747View attachment 1604748
MEMBE ANASEMA:

Nimewaitta kupitia ninyi niongee na Watanzania.

Wengi wameuliza Membe yupo wapi? Au kaunga mkono Juhudi, au kaondoka chama?

Mimi Membe ni Mgombea Halali wa ACT Wazalendo. Ni chama chetu kizuri na nitakipeleka kwenye Uchaguzi wa Mwaka huu kama Mgombea wa Urais.

Kuna watu walikuwa wanasubiri nitamke tu neno ila mambo yatimie.

Mimi hupenda kujibu Maswali.

Hapa nimekuja na Omary Faki Mgombea Mwezi kutoka zanzibar na Meneja Kampeni wa Urais wa ACT.

Ipo nadharia kwamba Vyama vikiungana vinaweza kushinda. Lakini katika bala la Africa, nadhalia hii haijawahi kufanikiwa.

Madikiteta wote wameangushwa na vyama binafsi. Afrika chama kimoja ndo huwa kinashinda sio vilivyoungana.

Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage.

Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza.


Nadharia ya chama Tawala kupasuka, imeshakomaa Tanzania.

Chama Tawala cha CCM tunakiangusha Mwaka huu kama tutafanya haya nitakayo yasema.

Nini maana ya kupasuka kwa chama. Ni hadi wanachama waseme tumechoka. Angalieni wakati wa kura za maoni za CCM,watu walienguliwa. Sisi ACT tulipokea Applications 42 za kuomba kujiunga na sisi. Sijui walioenda vyama vingine.

Baada ya kura za maoni Bashiru akaanza kuwaahidi kwamba watapewa vyeo watatumbuliwa.

Mimi nlikuwa na wabunge 78 wa CCM, 46 Wamefyekwa na 23 bado wamo CCM. Siwapi majina

Mimi nlijipanga na wenzangu sita ili kushindana na Magufuli, mimi nlikuwa tayari kumkabiri kwenye Uchaguzi na bahati yao walinifukuza.

Hata chama Tawala mambo yanapoharibika wanakimbia. Lazima wapewe sehemu ya kutokea. Anaweza akachagua chama cha kujiunga.

Tunachotaka sisi ni kukipasua chama cha CCM na kimeshapasuka. Sasa aje mtu mwenye nguvu aingie madarakani.

KUSUDIO LANGU

Ndugu zangu watanzania, tumepata tabu sana. Tumepiga kwelikweli. Sasa hivi Tanzania ni Fukara, Watanzania hawana fedha. Dunia haiishi hivi. Dunia ina fedha. Sisi tumerudi miaka ya 80. Serikali haitumii fedha sababu haina kwasababu imekopa sana.

Dunia nzima Serikali ndo tajiri wa kwanza na kuzisambaza. Ukiona nchi haina fedha wa kuajibishwa ni serikali. Serikali ndo mwajiri Mkuu.


Mtu mmoja anasema sasa kama mimi nina fedha kwaninii nikope?

Kopa ulipe kidogo kidogo. Ukienda kununu vitu kwa fedha yako ili uonekane una hela jua unafukarisha Serikali yetu.

Rais aje awe Mimi au Tundu, kazi kubwa itakuwa ni kulipa Madeni. Na mashitaka yote tutakayodaiwa itabidi tulipe.

Tusidanganyane, Serikali hii haona fedha. Tuna ufukara. Na ufukara huu ndo unaofanya watu wakati wa Uchaguzi, Ukichanganya ufukara huu na hasira wakati wa Uchaguzi ndo unawasha moto.

Mimi nmesimamia uchaguzi 19.

Ukichanganya hasira ya kunyimwa haki ukajumlisha na Ufukara walionao ni fujo. Na haya mazingira tumeyatengeneza.

Kwani hatuna njaa? Siku hizi chakula chetu ni mihogo na madafu.
Pale kariakoo unakuta asubuhi anakunywa kahawa, mchana hadi jioni.

Watu wanakula mihogo mibichi na iliyoiva. Wanasisinzia hovyo hovyo

Jana saa nne usiku nimetembelea hotel za dar. Zote ni kiza, hakuna watu.

Jana nmeenda kariakoo nikiwa nmevaa kanzu. Zamani tulikuwa tunaingiza 90 bilioni kwa wiki. Nenda sasa hivi, inatisha. Fremu nyingi sana zimefungwa.

Mtu anasema ukiingia kariakoo na vazi la CCM hawakufanyi kitu kama zamani.

Hawafanyi hivyo sababu wanakuoenda bali ni uoga. Watu hawapo huru.

Uchaguzi huu tuwe na haki. Waangalizi kutoka nje watakuwa wachache. Wale wakubwa wakubwa hawaji. Hawaji sababu wanajua bado kuna COVID-19. Pia UNDP haijatoa fedha sababu Serikali ilikataa fedha za uchaguzi na kwanini walikataa? Muwaulize nyinyi.

Ila wanatakataa sababu ukipokea fedha za UNDP shariti namba moja ni lazima walete international observers. Hawa waliokuja ni Mabalozi na Wafanyabiashara.

Tutakuwa na observers.
Mwenye chama kashasema anampigia Lissu Kura, yeye ni nani hata apinge?
 
Back
Top Bottom