Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Hahaha waandishi ndio taaluma ya ajabu kabisa.

Yani mnaitwa na Membe halafu anawaambia yeye ni mgombea wa ACT, nani hajui hilo?!

Anawafundisha siasa leo, Membe?!
Na wakati hata kwenye karatasi ya kupiga kura yupo
 
Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe, leo Jumatatu Oktoba 19,2020 saa 4:30 asubuhi anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Nipashe

Kama Watu 'Nguli' kabisa nchini akina Lowassa na Sumaye ambao walikuwa 'Wagumu' na 'Wabishi' wamerudi CCM wengine ni nani nao wasirejee?

CC: Victoire
 
Hahaha waandishi ndio taaluma ya ajabu kabisa.

Yani mnaitwa na Membe halafu anawaambia yeye ni mgombea wa ACT, nani hajui hilo?!

Anawafundisha siasa leo, Membe?!
Ila Membe kuitwa mwanadiplomasia nguli naona huwa ni uongo per se maana hata kujieleza mbele za watu huwa hawezi, huwa haeleweki hata huwa anaongea kitu gani.
 
Membe alishafukuzwa CCM bwashee.

Kwa sasa amebakia kuwa historia tu.

Lowassa alivuliwa uanachama ndio maana alipoomba kurudi alipokelewa baada ya kufanyiwa usahili na Komredi Polepole na mzee Mangulla.
Hahaha CCM mnaweza kununua hata mavi, yakifungwa kwenye karatasi mkaambiwa yanatoka CHADEMA mtanunua na mtashangilia tu.

Kwa kuwa Membe yuko ACT hana thamani CCM, angekuwa CHADEMA mgekuwa mnamsubiria kwa hamu.
 
Na wakati hata kwenye karatasi ya kupiga kura yupo
Hahaha ajabu sana, mtu anawaita waandishi kuwaambia the obvious, bora niwe mwalimu wa chekechea kuliko kuwa mwandishi kama ndio hivi.
 
Kuna watu walikuwa wanasubiri nitamke tu neno ila mambo yatimie.

Membe baki hapo hapo tumekuelewa sana tena kupita maelezo wewe ni mgombea wa ACT wazalendo dakika bado zipo na muda upo wa kufanya kampeni,CCM wamepigwa chenga ya mwili.
hatoki mtu kwenye kugombea, wananchi inatosha tumeshaelewa na kura zote kwa Lissu.
 
Ila Membe kuitwa mwanadiplomasia nguli naona hua ni uongo per se maana hata kujieleza mbele za watu hua hawezi,hua haeleweki hata hua anaongea kitu gani.
Ukiona haeleweki ndiyo unamuelewa ivyo
 
Mbona bilionea wenu Nyalandu hasubiriwi kwa hamu na CCM bwashee?
Hahaha ccm sasa hivi wako maji ya shingo, nani aende huko?!

Nyalandu anamkimbiza Igondi kule jamaa anatamani kumuua.

We unadhani kwanini Mangula anajificha, aliomba kustaafu wakakataa, kanywa kahawa nyingi kukata usingizi kajifanya kapewa sumu, bado kaambiwa kaa hapo hapo.

Mtumbuaji aliondoa machine za Mangula sasa mzee hajui afanyeje kazi.
 
"Vyama 19 bara la afrika vya Ukombozi, vyama 13 vimeshaondoka. Vimeondolewa baada ya vyama vyenyewe kujitafuna na kuwa na mpasuko na vyama vya upinzani vikachukua advantage....Ili chama Tawala kife, kinatakiwa kipasuke kwanza..." Benard Membe

Makamanda wakikutana na "nondo" hiyo hapo ya mgombea urais wa ACT wanaondoka kimya kimya kwenye uzi huu! Ukweli lazima usemwe, matumaini makubwa ya kuiondoa CCM madarakani yalikuwa kwa Lowassa maana ule mpasuko ulikuwa sio wa kitoto! Magu kafanya kazi kubwa kushona viraka na sasa CCM ni "mpyaaaa"
 
Ukiona haeleweki ndiyo unamuelewa ivyo
Hakika.
EkkQq3-XgAAaO8n.jpg
 
Back
Top Bottom