Na wakati hata kwenye karatasi ya kupiga kura yupoHahaha waandishi ndio taaluma ya ajabu kabisa.
Yani mnaitwa na Membe halafu anawaambia yeye ni mgombea wa ACT, nani hajui hilo?!
Anawafundisha siasa leo, Membe?!
Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe, leo Jumatatu Oktoba 19,2020 saa 4:30 asubuhi anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Nipashe
Kama Watu 'Nguli' kabisa nchini akina Lowassa na Sumaye ambao walikuwa 'Wagumu' na 'Wabishi' wamerudi CCM wengine ni nani nao wasirejee?
Ila Membe kuitwa mwanadiplomasia nguli naona huwa ni uongo per se maana hata kujieleza mbele za watu huwa hawezi, huwa haeleweki hata huwa anaongea kitu gani.Hahaha waandishi ndio taaluma ya ajabu kabisa.
Yani mnaitwa na Membe halafu anawaambia yeye ni mgombea wa ACT, nani hajui hilo?!
Anawafundisha siasa leo, Membe?!
Kwa CCM lolote lawezekana, maana wameshikwa pabaya, wanaweza muomba jamaa aunge juhudi ili tu kuvuruga hali ya heeaKurejea CCM ni ngumu kwa sababu alifukuzwa.
Hahaha CCM mnaweza kununua hata mavi, yakifungwa kwenye karatasi mkaambiwa yanatoka CHADEMA mtanunua na mtashangilia tu.Membe alishafukuzwa CCM bwashee.
Kwa sasa amebakia kuwa historia tu.
Lowassa alivuliwa uanachama ndio maana alipoomba kurudi alipokelewa baada ya kufanyiwa usahili na Komredi Polepole na mzee Mangulla.
Mwenye chama kashasema anampigia Lissu Kura, yeye ni nani hata apinge?
Membe atuambie Baraza lake la mawaziri limefika hatua gani?Mwenye chama kashasema anampigia Lissu Kura, yeye ni nani hata apinge?
Hahaha halafu waandishi walikuwa wanamsubiria, isn't funny?!Ila Membe kuitwa mwanadiplomasia nguli naona hua ni uongo per se maana hata kujieleza mbele za watu hua hawezi,hua haeleweki hata hua anaongea kitu gani.
Mbona bilionea wenu Nyalandu hasubiriwi kwa hamu na CCM bwashee?Hahaha ccm mnaweza kununua hata mavi, yakufungwa kwenye karatasi mkaambiwa yanatoka CHADEMA mtanunua na mtashangilia tu.
Kwakua Membe yuko ACT hana thamani ccm, angekuwa CHADEMA mgekuwa mnamsubiria kwa hamu.
Hahaha ajabu sana, mtu anawaita waandishi kuwaambia the obvious, bora niwe mwalimu wa chekechea kuliko kuwa mwandishi kama ndio hivi.Na wakati hata kwenye karatasi ya kupiga kura yupo
Nadhani umeelewa 2025.2020?!
Kwa unafiki.upo vizuri kipangaNa sijui Team ya TISS iliyomuona na kumuajiri huyu Idarani in 80's iliona nini 'Kipya' Kwake, namwona tofauti mno 'Kiakili' na 'Spies' wengine TZA.
Hahahaaaa...... Muwe mnapunguza kunywa mbege jumapili!Nadhani umeelewa 2025.
Ukiona haeleweki ndiyo unamuelewa ivyoIla Membe kuitwa mwanadiplomasia nguli naona hua ni uongo per se maana hata kujieleza mbele za watu hua hawezi,hua haeleweki hata hua anaongea kitu gani.
Hahaha ccm sasa hivi wako maji ya shingo, nani aende huko?!Mbona bilionea wenu Nyalandu hasubiriwi kwa hamu na CCM bwashee?
Hakika.Ukiona haeleweki ndiyo unamuelewa ivyo