Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

"Ipo nadharia kwamba Vyama vikiungana vinaweza kushinda. Lakini katika bala la Africa, nadhalia hii haijawahi kufanikiwa.

Madikiteta wote wameangushwa na vyama binafsi. Afrika chama kimoja ndo huwa kinashinda sio vilivyoungana".
Membe umesema kweli tupu. CCM itashinda kwa kishindo.
 
Nyie watu acheni kupotoshana eti membe yuko strategic, wapi ninyi mnakwama,membe kasema yeye ni mgombea halali na kakanusha kuwa hakuna vyama vimewahi kuungana vikakitoa chama tawala madarakani, sasa ninyi mnajipa moyo eti kampigia kampeni huyo lopolopo wenu Lissu.

Believe me,octoba 28 mtapigika sana hamtaaamini
Hata hivyo hujalazimishwa kukubaliana nami. Kila mtu ana uelewa wake. Ni mtazamo tu km wewe ilivyo na mtazamo wako.
 
Kura za hao watu wa kariakoo kashakosa. Huyu jamaa anajua hana mvuto kabisa, hivyo anaanza kuharibu sasa.
Ivi hii picha Ina maanisha nini
Screenshot_20201018-111458_1603115382434.jpg
 
Wapinzani gani hawa wasiojua mbele wala nyuma? Leo wanasema wanamsapoti Lisu, halafu anaibuka mwingine anasema mimi ndiyo mgombea urais wa ACT. What is the better way to describe this attitude than UTOPOLO at its best?
Huu ndio unaitwa undumilakuwili. Upo Kwenye chama cha Mbowe, Zitto. 2015, Sera za Chadema saccos zilikuwa Kununua ndege, Barabara flyover, elimu bure, kufumua mikataba ya madini. Sasa Magufuli kapindua Meza, wanasema ooh tunataka maendeleo ya watu. Magufuli hana mpinzani kabisa.
IMG_20201017_221108_276.jpg
 
Kazungumza mambo mengi lakini nilichokiona ni hatari ya kuwapandisha viongozi wa dini kwenye majukwaa ya kisiasa.

CHADEMA wanakosea Sana, hiyo ndio tunaita political immaturity.
mbona unakuwa kipofu kuwaona hao viongozi wa dini wakiwa kwenye jukwaa la magufuli,tulia sindano iwaingine this final hours
 
Huyu naye bado ana ndoto tuu?

Ameshamaliza kutengeneza baraza la mawaziri?

Mwambieni October 28th kura zote za ndio ni kwa Mzalendo wa Afrika nzima Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Membe amebugi ila wewe ndo umebugi zaidi, kura za watu WANAOJIELEWA zoote ni kwa TL!.
 
Nilichomuelewa Membe anakuja kufunga goli la ushindi tarehe 27 atakapopanda jukwaa la Lissu siku ya kufunga kampeni Darisalama.

Atatangaza rasmi huku vituo mbalimbali vya tv vikirusha live mkutano wa Lissu wa kufunga kampeni kwamba kura zake zoote apigiwe Lissu yeye si mgombea.

Jasusi mbobezi hapa ndio wengi wanashindwa kumuelewa.
Hata mimi nahisi hivyo. Maongezi yake yote haomba kura za urais ila kawaombea wabunge, mafiwani na Rais znz.

Ameamua kukaa jimya kwa Sasa kwa kuwa akiongea Sasa Kamati ya maadili ya CCM itamsimamisha kupiga kampeni.

Haya maCCM kama anavyodai Lissu yanahitaji timing.
 
Watu wenye uelewa wa jinsi ya kutumia VPN toeni elimu ili baadhi ya watanzania tuielewe vizuri hasa katika nyakati hz ngumu
 
Mambo yamebadilika. Zitto kasema anampigia kura Tundu Lissu.

Swali ninalouliza, kwa kuongezea maneno yako, linampa mzigo mkubwa zaidi Membe kujielezea.

Ikiwa Zitto Kabwe, mtu ambaye unasema alimshawishi Membe kugombea urais kwa tiketi ya ACT, anasema hatampigia kura Membe, sisi wengine ambao hatujui mambo ya ndani ya chama cha ACT tutapata vipi ujasiri wa kusema tumpigie kura Membe?

Membe kashindwa kumshawishi mtu aliyemuomba aingie ACT na kugombea urais, Zitto Kabwe.

Atatushawishi vipi sisi wengine ambao hata si wanachama wa ACT tumpigie yeye kura?
Membe hagombei Urai, Membe from day pone alikuwa ni backup plan ya Lisu.

Nec wamefanya makosa makubwa kumruhusu Lisu agombee maana deep inside inaonekana Lisu alikuwa ameandaliwa zengwe akatwe na Nec lakini katika hali ya kushangaza Lisu aliwa outsmart Nec kwa kuwaonesha mapungufu ya wazi ya mgombea wa ccm, hivyo plan ya kumkata Lisubikafia hapo.

Dakika ya 89 anayoisema Membe ni tarehe 27 kwenye kufunga kampeni Darisalama utamuona Lisu na Membe jukwaa moja na Membe atawaomba waliojiandaa kumpigia yeye kura zote wampigie Lisu, hili kikanuni halikatazwi popote na wala siyo muungano wa vyama.

Hii ndio namna pekee ya kucheza na akili za mipumbavu ya ccm
 
Chama cha mapinduzi hakina fedha. Ndio maana wanaahirisha kampeni. Hivi hamjui kwamba kuna watu wanakidai chama cha mapinduzi tangu 2015? Na hawa wasanii Uchaguzi ukiisha utaanza kusikia naidai CCM.
Fedha za CCM mara hii zimeekezwa Zanzibar, wanajua kabisa kuwa hakuna mzanzibari anaekwenda kwenye mkutano wa ccm kama hajatiliwa mafuta au hawajatafutiwa magari na chama, wanajua kuwa ili kuongeza idadi ni lazima wasafirishwe watu kutoka bara waletwe Zanzibar. CCM Zanzibar ishatiwa ndani ya kaburi hata kama watamwambia Askofu Gwajima aifufue itamshinda.

Leo walikuwa na mkutano wao Paje, kama kawaida, magari yamekodiwa kutoka kia pembe ya Zanzibar kupeleka watu apo Paje tu ili waonekane wengi, sasa njoo uwaona hao wanaohudhuria, walevi na wavuta bangi na mahawara kibao!
 
Membe amebugi ila wewe ndo umebugi zaidi, kura za watu WANAOJIELEWA zoote ni kwa TL!.
ulipo bugi wewe ni hapo tuu maana sijui kama una VISA ya Belgium maana mwenzio tarehe 29 October anaamsha popo..

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom