Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

Kama biashara wameshindwa hiyo nafasi si watupati sisi Wananchi tukakiwashe
 
Mwijaku sio saizi ya Bugatti,Mwijaku levo zake Baba levo,Aristote,juma lokole na mbuzi zingine huko...Manara is the next,mashabiki wa Simba wenye akili washaanza kumkataa Mwijaku we unamtetea sijui sijui ubwabwa mwenzie.
unaongelea ubwabwa? unamjaua mzee tozi wewe??sasa siyo mwijaku tu ,gigy money na dr kumbuka pia wanaingia week hii
 
usifananishe simba na wajinga wasiojua raha ya kula hela za CAF za makundi na robo fainali
 
Kama biashara wameshindwa hiyo nafasi si watupati sisi Wananchi tukakiwashe
subirini simba anawapambania mwakani tutwaingiza tena in the mean time endeleeni kuwahonga wahuni wa mikoani wawavunje mastaa wa 15 kw aubora africa
 

Nje ya mada.
Leta marking scheme tuone kama n nje ya mada
 
Yan tuna wachezaj wanaoenda wanabadilika mpira wa miguuu nao unabadilika ila bado tuna viongoz uchwara Sana yan ET utetezi wa kijinga ET tumekosa kibali cha anga kweliii yan Kwan lazima wapite anga Hilo Hilo tu
 
Kwa nini isiwe azam. Wata wanaweka hela baada ya muda timu ijiendeshe.

Simba na yanga haziwezi kushindwa..zina ukwasi wa kutosha. Hata kama game zingekuwa zinapigwa amerika kusini
 
Twiga stars nao habari zao vipi jamani usikute yule dada wa Sevilla kawapiga tena na kitu chenye ncha kali?
 
Bado tuna Safari ndefu sana katika michezo hapa nchini,mafanikio ya Simba club bingwa Africa, yasitufanye tuone tumekuwa wakubwa bado sana soka letu bado liko primitive sana.
Timu nyingi za Tanzania ni kama magenge ya wauza kahawa,timu hazina plan wala vision,ukianzia viwanja tunavyotumia kucheza mpira hii inaonyesha jinsi gani ambavyo tunavyoendesha mambo yetu.
Uku ndio kuna timu zina miaka zaidi ya themanini hazina hata uwanja wa kupigia danadana na bado utasikia atutaki nembo ya mdhamini kwakuwa ina rangi ambazo hazipo kwenye nembo zetu!!ngozi nyeusi samtime tuna laana furani
 
 
Kwa sababu ninaupenda sana mpira wa TANZANIA basi huwa nachukizwa sana na wanaowashambulia matajiri wetu akina GSM na MO DEWJI.....

Tuendelee tu kuifurahia YANGA na SIMBA 💪
 
Mie nadhani hao CAF wawafungie TFF, wamekaa pale wanafuta vitambi tu sijui wana kazi gani, biashara haikuwa inawakilisha mkoa wa Mara ilikuwa inawakilisha nchi ya Tanzania, pamoja na jitihada zao kama kabla bado TFF walitakiwa kuwaongoza na kusimamia baadhi ya mambo, lkn wapo tu sijui wana kazi gani hapo karume, shwain zao
 
...Yani hapo uongozi wote wa hiyo timu piga chini. Kweli wameshindwa kukopa na kurejesha kidogokidogo hata kwa kukatwa kwenye mapato yao ya mechi?
Viongozi wamezamisha boti kwa kweli
 
Kazi ya TFF ni kutoa Tuzo kwa watu wasiotakiwa kama Majaliwa , huku timu zinazoifanya iendelee kuwepo zikipuuzwa !
 
Simba wamekuwa watoto wa kike, msimu uliopita walilalamika eti Prisons inawachezea rafu, msimu huu game zimekuwa ngumu wanailaumu Yanga. Hawa waachane na soka wahamie kwenye unenguaji ndiko watamudu vizuri kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…