Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Sijaona mahala umetaja wanunuzi : swali je? Wao cyo sehemu ya biashara? Kumbuka ili biashara ifanyike mnunuzi(mteja) ni kiungo muhimu sana
 
Sijaona mahala umetaja wanunuzi : swali je? Wao cyo sehemu ya biashara? Kumbuka ili biashara ifanyike mnunuzi(mteja) ni kiungo muhimu sana
Wanunuzi wapo ila sio WENGI kama BIDHAA hivyo ile curve ya Demand and supply imtrigger upande wa supply so price ni ndogo kwa bidhaa kutokana na biashara hiyo kustawi kila level..
 
Uwiano wa kusema wanawake wengi zaidi unamaanisha wanajitomba pia?, au?

Maake kama wanafanya biashara ambayo inahusu wao kutombwa tafsiri yake ni kwamba wanaume wanakuwa katika uwiano nao au hata kuwazidi kwakuwa kuna wakati chuda mmoja anatombwa na wanaume hata kumi kwa siku moja.

Anayeuza na anayenunua wote wapo katika mzunguko wa kibiashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan supply na demand curve hazina uwiano. Supply imekuwa kubwa hivyo price ina deteriorate.....
Kwa lugha ya kibiashara inaitwa price elasticity of demand, demand ikiwa kubwa kuliko supply price zinapanda, supply ikiwa kubwa kuliko demand, price zinashuka!. Arabuni kuna upungufu wa wanawake kwasababu watu wanaoa hadi wake 4, hivyo wale dada zetu wanaopeleka bidhaa Dubai, inalipa sana!. Wafanyabiasha wengi wa boutique wanaokwenda Uturuki, China na Singapore, wanapanda Emirates, wanapita Dubai kufanya part time for 2-Weeks, wanapata mtaji wa kutosha!.
P
 
Paskali yupo bar muda huu ndio maana ameamua kujitukania na kututukania mama zetu..


Hana akili kabisa!
 
Upo sahihi....... MTAALAM wa UCHUMI..
 
Kuhusu Hiyo biashara siwezi kuiponda , kuikosoa au kuisaport la unafiki staki..Ila vip kuhusu marijuana I faidayoyote ??
 
Sijakataa ila ulikuwa unataka uwatunzee wewe?? Unajua kwanini wanajiuza umewauliza umechukua hatua gani kuwatoa huko?? Serikali wameshindwa wewe ndio nani sisifii hii nitabia mbaya ila mijitu mianaume inamzalisha mtu nyumba ya kupanga na kuleft unatarajia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…