Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Hongera sana, ni mtaji kiasi gani uinafaa kwa kufanya hiyo biashara ya viatu?
 
Monama huko frem ambazo ziko ktk mzunguko mzuri ni bei gani .
Na mtaji niwe na kiasi gani.
Asante
 
Shida biashara ya vitu vya dukani imeshamiri ushirikina sana. Hasa mkoa wa Mbeya bila ushirikina hufanyi biashara labda uwe unasali sana, bahati mbaya biashara na sala ni ngumu sana kwenda pamoja.
 
Laki mbili kwa mwezi?
Unachukulia mzigo memorial nn jomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida biashara ya vitu vya dukani imeshamiri ushirikina sana. Hasa mkoa wa Mbeya bila ushirikina hufanyi biashara labda uwe unasali sana, bahati mbaya biashara na sala ni ngumu sana kwenda pamoja.
Kwanini biashara ningumu uki mshirikina Mungu? Jamaa ameleta Idea nzuri sana sasa ww hutaki kumtanguluza Mungu tena!?[emoji44]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…