gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Mungu akupe kibali katika biashara yako mkuu.Baada ya kupitia huu uzi, hatimaye nimeanza rasmi biashara ya viatu kariakoo mtaa wa Kongo.
Nimepata na meza ya mjasiriamali.
Nimeanza na mtaji wa 3mil. Lengo ni kufikia mtaji wa 5mil.