Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Ila usisahau kuwa Mwanadamu ni kama toy kwenye ulimwengu wa Mungu

Ninachomaanisha kuwa, hata ukiweza ku figure it out, bado utakua na chain of command moja ya hatari sana ambayo hata ukiimaliza, huenda ukakuta inaendelea mbele, na mbele na mbele..etc..

So, its a mindblowing thing, hauwezi ukaipambanua tuu na kusema kua si kila kitu ni Mungu.
 
Mwanadamu ujue anajihisi kwamba anajua sana, ana akili nyingi, au anataka kujijua zaidi, na kutambua kipande chake cha maisha, historia na uwezo au Power (utawala) aliokuwa nao kabla ya hapa..

Mwanadamu mpaka sasa, kulingana na maendeleo ya kiteknolojia na ukuaji wa akili, anaamini kuwa muda wake wa kujua, kudadisi na kujifikiria ndio huu, umefika.

Mwanadamu wa sasa anafanya uumbaji, anatengeneza AI mbalimbali ambazo zinarahisisha na kuongeza spidi ya maendeleo exponentially, Space crafts, ISS, Supercomputers, etc

Mwanadamu anaweza hadi kupossess some spiritual powers, kuzungumza na waliotangulia, kujua na kuelewa mambo makubwa zaidi ya kiroho na kuyafanya yamnyanyue juu zaidi...mifano hai ni watu maarufu, wasani, wachezaji mpira akina ronaldo na messi, na kadhalika, na kadhalika.

So, hili swali linaonekana gumu kidogo kwa sababu ni suala la muda tuu, mwanadamu atakua mungu mtu, kama ilivyoandikwa katika Biblia.

Biblia ni user manual ya mwanadamu, na mwanadamu ni machine ya Mungu.

So, kwa ufupi ni kwamba, Mungu ni Fundi wa mwanadamu...na ndio, yupo..alikwepo na atakuwepo, milele na milele.

Ulimwengu wa Mungu ni wa milele, ilanulimwengu wa mwanadamu...naaah

Ulimwengu wa maroboti (ambayo yametengenezwa na mwanadamu) unaweza kuwa wa milele, maana bado mwanadamu mwenyewe anaendelea kupambana kuutafuta umilele..

Acheni uboya, Mungu yupo..shauri lenu..

Kwa wanadamu wanaoendelea kujidanganya ujinga kuwa hakuna Mungu, swali langu ni hili..ni lini mwanadamu atapata umilele kwenye maisha yake?

Jibu ni hapana,

Mwanadamu alipataga umilele wa maisha miaka hiyo, ila Creator akamaindi, akamchekecha na kumuachia miaka mia hapoo..kwa sababu ya mambo hizihizi za aakili nyingi..

Unadhani hata milima ya Olympus kule Mars imetokana na nini? Mars ni sayari ya vita...na pale alikaaga mtawala wa Solar system yote hii, enzi hizo dunia ndio ilikua Venus..

Kwa wataalamu wa unajimu nadhani wanajua mambo haya, na hata zile historia za mchongo za wagiriki zinagusiagusia kidogo mambo haya..
 
Biblia ndio asili ya hivyo vingine vimekopi na kuedit tu
Kwa nini Biblia na si kitabu kingine cha dini kama Quran?

Je mwislamu akisema Quran pekee ndio kitabu cha asili na vingine vimekopi na
ku edit utakubali?

Unasema hivi kwa kutetea maandiko ya kitabu chako cha dini yako, Wala si kwamba unajenga hoja.

Na wala huwezi kuamini nje ya Biblia kwa vile ume aminishwa hivyo na dini yako.
 
Roho ni nini?
 
Quran imekuja baada ya Biblia ikikopi maandiko ya kwenye Biblia,
Biblia ndio kitabu kikongwe kuliko vyote Duniani.
 
Je kunywa juice ya viwandani na soda ni ibada?
 
Mungu ni nature, Mungu ni asili ya vyote ni uweza wa juu kupita vyote Ikiwemo uumbaji na mwisho.Ni Alfa and Omega
Kwa hivyo kwa ulivyo sema kwamba Mungu ni asili ya vyote,

Na Mabaya yote na Uovu wote Asili yake ni huyo Mungu.
 
Kwanza nashangaa mnaosema eti hakuna talaka kwenye ndoa. Mnakosea sana. Mwanadamu hana umilele, umilele upo kwa Mungu pekee.

So, no. Nadhani makanisa mengi yana utaratibu wa kupokea idhini la mahakama kama watu wanataka kuachana..na hata watu wanaoijua vizuri dini ya kristo wanatambua uwepo wa talaka kwenye imani, ingawa Mungu hapendi watu kuachana kwa sababu ndoa ni UPENDO,na Mungu ni pendo...soo...[emoji2369][emoji2369]
 
🤣Sasa si useme utamaduni wenu wa kiislamu hauruhusu bia Ila mwarabu ameamua kuwatishia Mambo ya shetani na moto ili muogope...😅mbona tutaelewa tu bro
 
Ukisoma Biblia zaidi ndo unazidi kugundua imeandikwa na watu ..Tena watu wajinga
 
Alafu kwa kuongezea, tuu..kwa dini zetu hizi zina miaka ujue..nahisi milioni kadhaa hivii iliyopita, maana ukisoma historia za wafalme kadhaa kwenye biblia, Msaafu, vitabu vya historia za dini zingine, na kadhalika utagundua kua dini ndio sehemu pekee (imani) ambayo imebeba historia ya mwanadamu.

Ila mwanadamu wa sasa anaendelea kuchunguza maisha yalivyo kabla ya maisha haya tunayoishi sisi, ninarejea tafiti za hivi karibuni zilizogundulika huko arctic kuhusu namna maisha yalivyo miaka millioni mbili iliopita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…