Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
So Muongozo wa bible hauwezi kuvunja🤔Ndoa yoyote inatambulika kisheria, na nahakama ndio zenye mamlaka za kuvunja ndoa pasipo na migogoro yoyote ya kifamilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So Muongozo wa bible hauwezi kuvunja🤔Ndoa yoyote inatambulika kisheria, na nahakama ndio zenye mamlaka za kuvunja ndoa pasipo na migogoro yoyote ya kifamilia.
Kwa nini Biblia na si kitabu kingine cha dini kama Quran?Biblia ndio asili ya hivyo vingine vimekopi na kuedit tu
Roho ni nini?Nafikiri hii kauli usichukulie literary... kumbuka Mungu ni roho.. hana nyama na damu kama sisi....
Nafikir hyo kauli ina maana tuna sifa kama za Mungu au tunaweza kuziiga.. sifa hzo ni kama upendo, haki, fadhili, wema, na utashi ambao haupo kwa viumbe wengne.
Roho ni nini?Kilichoumbwa kwa mfano wa Mungu ni Roho, sio Mwili.
Mbona uzi huu umejibu swali lako.
Quran imekuja baada ya Biblia ikikopi maandiko ya kwenye Biblia,Kwa nini Biblia na si kitabu kingine cha dini kama Quran?
Je mwislamu akisema Quran pekee ndio kitabu cha asili na vingine vimekopi na
ku edit utakubali?
Unasema hivi kwa kutetea maandiko ya kitabu chako cha dini yako, Wala si kwamba unajenga hoja.
Na wala huwezi kuamini nje ya Biblia kwa vile ume aminishwa hivyo na dini yako.
Roho ni pumzi ya Mungu yenye uhai ndani yake iupao mwili nguvu ya utendaji.Roho ni nini?
Mungu ni nini?Roho ni pumzi ya Mungu yenye uhai ndani yake iupao mwili nguvu ya utendaji.
Pasipo Roho mwili Huwa maiti.
Maiti ni mwili uliondolewa Roho na nafsi.
Mungu ni nature, Mungu ni asili ya vyote ni uweza wa juu kupita vyote Ikiwemo uumbaji na mwisho.Ni Alfa and OmegaMungu ni nini?
Je kunywa juice ya viwandani na soda ni ibada?Kunywa bia ni haramu imekatazwa ina maana sio ibada ila kunywa juisi ni ibada.
Ukinywa bia ni ibada umefanya kwa kumnyenyeke shetani.
Kila kitu katika matendo ya binadamu yakiwa na mfungamano wa kumnyenyekea Mungu ni ibada hata kumfanyia mwenzio mambo mema ni ibada, kuhudumia familia yako ni ibada.
Ndo maana kuna sheria zake za kuomba Duah kabla ya kufanya kitu.
Kunywa juisi ni ibada kama sio kilevi hata na haina madhara.Je kunywa juice ya viwandani na soda ni ibada?
Kwa hivyo kwa ulivyo sema kwamba Mungu ni asili ya vyote,Mungu ni nature, Mungu ni asili ya vyote ni uweza wa juu kupita vyote Ikiwemo uumbaji na mwisho.Ni Alfa and Omega
Aya ipo🤣Mungu kasema lini na wapi kwamba kunywa bia ni haramu...usinipe story za mababu... niambie in reality kasema lini na wapi?
Kwanza nashangaa mnaosema eti hakuna talaka kwenye ndoa. Mnakosea sana. Mwanadamu hana umilele, umilele upo kwa Mungu pekee.Nimeuliza maswla na kusema bible ni kitabu cha Mungu hilo swala ni "BIG NO" maana kuna vitabu kaandika paulo kama sehemu ya mafundisho yake..
Nina hakika wala sibishani bible haina muongozo complete na haiwezi kuwa sheria kwa vile kwanza binafsi ndani yake ina contradictions kibao .
Kingine hata ukimfuata mtu anayefuata bible unajua kuna mambo mengi yanahitaji atumie akili ili kucontrol..Mfano ndoa inafunga kikristo ila talaka inatolewa mahakamani kwamba bible haitambui talaka?
Sio kesi ila tambua dini intakiwa iwe na mfumo hata miaka million ijayo still inaweza kusimamia maandiko yake ,angalia leo hii ndoa zinavyovunjika mpaka watu wanaona waachane na bible waende mahakamani wakapate talaka.
🤣Sasa si useme utamaduni wenu wa kiislamu hauruhusu bia Ila mwarabu ameamua kuwatishia Mambo ya shetani na moto ili muogope...😅mbona tutaelewa tu broSipendi kubishana wala kuingilia mamlaka yako , waislamu hatunywi bia kama una akili timamu utajua tu.
kwetu sisi ukinywa bia ni tendo u ibada ya kumtukuza shetani hata uende dunia ipo inajulikana wanaofuata uislamu kamili hawanywi pombe kabla hata kupewa Ayah jambo lipo wazi😂😂
Archeology gani inaprove chochote?Yachunguze maandiko kupitia archeology utaona haikuwa Hadith za kutunga, karibu kanisan kwetu ujifunze kuhusu ukuu wa Mungu Mkuu.
Umemaliza baba chukua ya baridi unywe na ulipeHiyo ni research nimefanya, kama kuna kitabu kingine kama reference unakaribishwa kukitaja.
Tusome kwa pamoja.
Ukisoma Biblia zaidi ndo unazidi kugundua imeandikwa na watu ..Tena watu wajingaUnajua biblia ni kitabu ambacho kina muongozo mzima wa mwamadamu, awe mwema au mbaya, (negative or positive force) na namna ambavyo anapaswa kuishi katika hii dunia, na hii ni haijalishi una imani gani, fikra zipi wala utashi upi.
Hili nashindwa kulichimba sana kwa mapana kwa sababu ninasikia kuwa kuna vitabu vingine duniani vinajaribu kumuunganisha vyema mwanadamu kiakili, kimwili na kiroho, kumuunganisha na asili yake, na kadhalika..
Hata mashetani, majini, atheists, wasioamini Katika Mungu, mabuddha, wanasiasa, Wanaotambika mizimu, n.k. wanaongozwa na Mfumo mama wa Biblia.
Ila ili uweze kujua mengi ya Biblia na jinsi ambavyo imeurekodi Ulimwengu wote ni mpaka uwe fit mno kimwili, kinafsi na Kiroho. (Uwe elevated spiritually)
Ila sasa, ili uifahamu vizuri unapaswa kujua kuwa upo kwenye force ipi..Negative to it or Positive to it.
NB: Ni kitabu ambacho unaeza kukisoma kimasihara na ukaelewa hivyoivyo kimasihara, na ikaisha hivyo. Hii kwa lugha za mitaani ni kuwa codes zake ziko very encrypted, zimejifunga vilivyo, kama yale maua ya saa nne sijui,[emoji3][emoji3] au yale maua ambayo ukiyagusa tuu yanajifunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Just kidding[emoji16][emoji16]
But seriously, Mfano Ukaisoma Biblia kisiasa au kichawi au kihistoria na ukajikuta unajua mengi na ukiwa vizuri kidogo, unaweza ku-posses some elevation of mind powers, na hata nguvu flani hivii ya nafsi hata kama hausali sana wala kuamini that deep katika imani ya kristo.
Archeologists wanathibitishaga kutumia some biblical lines and studies kugundua ngome, miji, mambo na vitu vilivyojificha, kufanya vumbuzi, na kadhalika..
So, kuhusu kujua asili ya mwanadamu, namuunga ndugu mtoa post kua ukisoma vizuri biblia ki-5G, unaweza kujua mambo Meengi mno.
Na kusoma Ki-5G simaanishi kutumia imani nyingi pekee, au akili nyingi pekee, au falsafa nyingi pekee, au chochote unachotumia kuelewa pekee[emoji23][emoji23]..no, ni kutumia vyote kwa pamoja, kama unaweza.
The more you know, the better...
Alafu kwa kuongezea, tuu..kwa dini zetu hizi zina miaka ujue..nahisi milioni kadhaa hivii iliyopita, maana ukisoma historia za wafalme kadhaa kwenye biblia, Msaafu, vitabu vya historia za dini zingine, na kadhalika utagundua kua dini ndio sehemu pekee (imani) ambayo imebeba historia ya mwanadamu.Nimeuliza maswla na kusema bible ni kitabu cha Mungu hilo swala ni "BIG NO" maana kuna vitabu kaandika paulo kama sehemu ya mafundisho yake..
Nina hakika wala sibishani bible haina muongozo complete na haiwezi kuwa sheria kwa vile kwanza binafsi ndani yake ina contradictions kibao .
Kingine hata ukimfuata mtu anayefuata bible unajua kuna mambo mengi yanahitaji atumie akili ili kucontrol..Mfano ndoa inafunga kikristo ila talaka inatolewa mahakamani kwamba bible haitambui talaka?
Sio kesi ila tambua dini intakiwa iwe na mfumo hata miaka million ijayo still inaweza kusimamia maandiko yake ,angalia leo hii ndoa zinavyovunjika mpaka watu wanaona waachane na bible waende mahakamani wakapate talaka.