Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Mawazo yako hayamsaidii yeye peke yake, bali kwa manufaa ya wote, maana mada hii ni pana mno kuliko watu wanavyodhani,

Maana kila mtu anachofikiri kinasaidia kufikia na/au kumjenga mtu mwingine kifikra
Sasa it's obvious the bible Ina makosa hata mtoto wa la tatu anaweza ona hayo makosa akisoma kwa uhuru.
 
Ndoa ni mkataba sio swala la dini... Hata wasio na dini duniani Wanaona.
 
Quran na Biblia ni mkusanyiko wa elimu zote za Dunia na zisizo za dunia na sayansi ikiwamo ndani.
Atheist hawana hoja zaidi ya ubishi tu.
Sayansi bado inakua wakat Hivyo vitabu vilishamaliza vikafunga maarifa yote.
Si ndo maana shahawa zinatoka kwenye uti wa mgongo na popo ni ndege🤣
 
Toa hoja sio story
 
Eti Mars ni sayari ya Vita?
Vipi na Jupita yenye mvua ya Almasi?
 
1. Hujaprove Mungu yupo?
2. Kutoishi milele sio proof ya Mungu kuwepo coz hatujawahi kuishi milele na hatuna ulazima wa kuishi milele
3. Binadamu hajifanyi kujua...ni kwamba anajua, ana akili kuliko waliotunga hizi hadithi za Mungu na shetani ndo maana mpaka Leo hii mtu anaweza kujudge na kugundua ni za uwongo na wenye dini wanamind coz wanakosa sadaka na control wanaishia tu kutishia moto ambao ni wakufikirika na umeundwa new testament kutisha watu
 
Quran imekuja baada ya Biblia ikikopi maandiko ya kwenye Biblia,
Biblia ndio kitabu kikongwe kuliko vyote Duniani.
Biblia ni mkusanyiko wa Vitabu vilivyochaguliwa kule Italia.

Utasemaje ni vikongwe? Huku wakichagua kipi kiingizwe na kipi kiachwe.

Vipi Torati ya Musa nayo wasemaje?
Kuna maandiko ya Wahindu na Wachina unayasemaje?
 
Katika hayo maswali inayojibu biblia nahitaji kujua yesu alikuwa wapi na alikua anafanya nini kipindi ana umri wa miaka 15 hadi 30. Tafadhali wajuzi wa biblia nisaidieni hili.
 
Unajua jibu la swali hili kuu hapa linajibiwa kihistoria zaidi...

Naomba tuu nisaidie kidogo..ingawa sipendelei kujadili hizi mambo kwa sababu zitaangukia kwenyr udini...alafu ujinga unakua rahisi kutuingia..

Kihistoria, kila hizi dini mbili zimeonesha kuwa ni lini zilianzia.

Dini ya kikristo ilianza zaidi ya miaka 2000 iliopita, alipokuja Yesu na kuuanzisha Ukristo kiimani, na dini ya kiislamu ilianza mnamo karne ya sita (miaka 1500 hivii iliopita) alipokuja mtume Muhammad na kuuanzisha uislamu.

Anayebisha zaidi ya hapa tena basi. Huyo nitaomba tuu nikae kimya...
 
Quran imekuja baada ya Biblia ikikopi maandiko ya kwenye Biblia,
Biblia ndio kitabu kikongwe kuliko vyote Duniani.
😅🤣Hinduism ni dini yenye vitabu vya zamani kuliko dini yoyote...if shida ni vitabu au story za zamani ukristo imecopy dini za wayahudi, dini za wagiriki, wapersia na hata wahindi. Issue ya utatu ni ya wahindi, story ya Adam na Eve na Noah's ark ni ya Gilgamesh, kuumbwa kwa udongo ni china, tower of babel ni Babylon, Jesus ndo kabisa karibia miungu yote ya Asia na Europe ilizaliwa bikra ikafanya miujiza na ikafufuka. Tena wengine baada ya siku tatu kabisa. 🤣Afu unasema bible ni original. Dini ya ukristo ni bonge la wizi yaani
 
Okay Zeus na brahma walikuwepo kabla mbona huwaamini?
 
Post in thread 'Kitabu cha Mwanzo katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi' Kitabu cha Mwanzo katika Bible ndio msingi wa mambo matatu duniani! Intelijensia, Sayansi na Uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho ni pumzi ya Mungu yenye uhai ndani yake iupao mwili nguvu ya utendaji.
Pasipo Roho mwili Huwa maiti.
Maiti ni mwili uliondolewa Roho na nafsi.
Mkianza kujadili Roho ni nini ni sawa na kujadili sayansi ya umilele, ambayo mwili wako, akili yako, na nguvu zako haziwezi kuhimili na wala kustahimili.

Kwa lugha fupi ni kuwa mnajadili sayansi ya Mungu

Hii ni sayansi ambayo ipo nje y uwezo wetu, hata aliens wenyewe hawawezi kuifikia[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanadamu tuna bahati ya kumjua Mungu direct hata kama bado tu vilaza hiviii....(kwa njia ya kiroho) tofauti na aliens, au viumbe smarter kutuzidi kutoka kwenye galaxies mbalimbali, kwenye ulimwengu huu huu..

NB: na kama tukiweza hayo yote, ndio tuje kwenye malimwengu mengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mambo mengine haya ni kujitesa tuu, [emoji23][emoji23][emoji23]mtu haujaimaliza kuijua dunia, eti mara umeenda Mars, mara umetuma voyager nje ya mfumo wetu wa jua, mara umegundua masayari, mara unakaribia bing bang[emoji23][emoji23][emoji23]



Shauri lenu, nashauri mkaushe tuu..kama hamna mpango sana wa kuelewa...maana hakuna mtu huku duniani akakuambia sayansi ya Mbinguni[emoji23][emoji23][emoji23]

Utadanganywa tuu na kudanganyika tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…