Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
😅 Unaelewa maana ya usiniletee story
Umepotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅 Unaelewa maana ya usiniletee story
🤣Tech ya mbinguni ndo ipi mbona unaongea mambo hata we mwenyewe hueleweki afu tukikuhoji unakimbilia tech ya mbinguni we type evidence usiseme hatuwezi jua wewe umejuaje sasaLogically upo sahihi, ila vyote ni kitu kimoja ila vinafanya kazi kwenye ulimwengu mbili tofauti.
Pumzi ipo kwenye ulimwengu wa mwili (flesh) ila kwenye ulimwengu wa roho (spiritual world) kuna roho.
Zote hizo ni powering up tools za miili (bodies) husika
Hapa kwenye miili nimemaanisha majumba, ambayo yana powering up hizo bodies.
Si tunasema kuwa bila pumzi mtu anakufa..ni sahihi. Na kwenye ulimwengu wa roho, bila roho mtu, kitu au jambo halina uwepo (existence) ndio maana pumzi inashikamana na roho. Haya maelezo zaidi ya hapo ni Mungu mwenyewe anajua..maana ni tech ya Mbinguni hioooo[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣Kama huna kaa kwa kutuliaUmepotea
Kama Simba na yanga walicheza mwaka jana hio evidence unaitunzaje,we uoni hayo mapiramidi yaliyojengwa na watumwa,kugawa maji ni kitendo Cha mda mfupi Sasa ulitaka kiendelee vipi hadi Leo🤣 Nimekuuliza mbona archaeology iliyofanyika Israel na misri haijaonyesha chochote kuhusu Musa, kuwa watumwa misri, kupigana vita na miji 30, kukaa jangwani miaka 40, etc Kama ni ukweli si hivi vitu vingejulikana kupitia archaeology why hamna evidence ya Exodus nzima mpaka bible scholars na historians wanakimbilia kusema ni mafumbo
Zipo namna za kujua sayansi ya Mbinguni ila mwili wako hauwezi kuhimili mambo mengi..kama hauwezi kuelewa hili, basi, ni kheri usielewe, maana litakutesa sana.[emoji1787]Why tusijue....hivi we hushtuki...[emoji1787]Yaani ukiona makosa katika dhana ya Mungu we ndo unalaumiwa unaambiwa huwezi elewa unaitwa mjinga na unakubali unafurahia....[emoji28][emoji1787]wazungu watatuacha mbali sana
Niambie jinsi ya biblia imeonyesha namna ya kufanya ibada?
Katika ukristo ukisoma Biblia inakupa kuujua ulimwengu wa Roho ulivyo na kushirikiana na Malaika. To serve and worship GodSoma Qur'an nmekuwa nikiifuatilia Kwa muda mrefu nikaona ukristo si kitu, kila kitu cha maisha ya mwanaadamu na sayansi kipo ndani
🤣 Fatilia historia ya misri wewe pyramids hazikujengwa na watumwa Wala hazikujengwa na wayahudi...🤣Biblia si ingesema Sasa watumwa wametengeneza pyramids...ukristo unapenda kuunganisha story story tu na kuforce kila kitu Cha kwao...🤣Hivi unajua maana ya archeology... Watu wanachimba Wanaona mifupa Wanaona vifaa Wanaona michoro ndo wanajua hapa waliishi watu fulani mda fulani... History ingetuonyesha wamisri kumiliki wayahudi na wayahudi kukaa jangwani 40 years Ila hamna trace yoyote ya hii story. 🤣Au Mungu kaziondoa ili atutest Imani yetuKama Simba na yanga walicheza mwaka jana hio evidence unaitunzaje,we uoni hayo mapiramidi yaliyojengwa na watumwa,kugawa maji ni kitendo Cha mda mfupi Sasa ulitaka kiendelee vipi hadi Leo
🤣🤣🤣🤣Aaah so zumaridi duu...🤣bac ushanitoa Katika ubishano na wewe.... Maana huu utoto sasaZipo namna za kujua sayansi ya Mbinguni ila mwili wako hauwezi kuhimili mambo mengi..kama hauwezi kuelewa hili, basi, ni kheri usielewe, maana litakutesa sana.
Zamaradi alivyokuwa anaelezea safari zake za kwenda mbinguni, aligusia kuwa mwili wa duniani na mwili wa mbinguni ni vitu viwili tofauti, na ametoa clues mbalimbali, kuwa ni pure (halisi) kuliko hii miili yetu.
Kwenye hilo alikua sahihi, on so many levels.
Sababu utakazotaka kujua hazitakua na uhalisia kwa sababu haujaona bado, so, ukibahatika kuona mambo ya ulimwengu wa roho, utapata wa kuwasimulia.
Hayaelezeki. Sanasana watu watakuona chizi.
So, hakuna mwanadamu YEYOTE duniani anayejua teknolojia ya Mungu, wala ulimwengu wake upoje, wala maisha yake, wala chochote kile..cha ulimwengu mwingine.
Wapo wanadamu wachache sana huenda wakawa na ideas za ulimwengu wa kiroho kwanza upoje..au ulimwengu wa Mungu upoje, wengine wanajua hadi waliotutangulia wanaenda wapi..kupumzika..etc.
Sio kweli kuna vitabu vikongwe kuliko biblia, vitabu kama zaburi, injili na taurati. Na Qur'an ndio kitabu cha mwisho kutoka Kwa Mwenyezi Mungu. Hiyo biblia sijui kitabu cha dini gani maana yesu alishushiwa taurati lakini wakristo tunatumia biblia. Halafu cha kushangaza hiyo biblia ina matoleo kama kitabu cha hisabati darasa la Saba sijui nani anaebadilisha wakati yesu hayupo. Ndio maana mm nataka kuhamia kwenye uislamu, Qur'an tokea iteremshwe haijawahi kuwa na mabadiliko, hakuna kitabu kingine ambacho kinatumika na wanaadamu ambacho hakina edition isipokuwa Qur'an.Quran imekuja baada ya Biblia ikikopi maandiko ya kwenye Biblia,
Biblia ndio kitabu kikongwe kuliko vyote Duniani.
Well, hii bado tunaendelea kufuatilia kwa tafiti mbalimbali..mpaka sasa..ila kiimani wanasema kuwa mambo ya mwili.Hapa Hawa atheist umewaacha chalinze kabisa.
Nipe shule kuhusu Mungu alipomwambia Adam msile mtu wa katikati mtakufa, wengine wanasema ni hali ya umilele yaani kutokufa kimwili, wengine wanasema kufa kiroho, wengine wanasema ni kupunguzwa kwa sense toka ten na kuwa five organs senses.
Unajua hii unaweza kuichakatua kivingine kwa sababu imani za kiasili hazina stronger basis kwa sababu hata misingi yake (kiroho) imeishia kwenye level ndogo ya miungu..so, yah.[emoji110][emoji110]Sikupingi.
kwa sababu dini ina misingi ya mda mrefu ambayo kuifanyia manipulation ni ngumu ..
Ukitaka kujua hili angalia mila zetu zinavyopotea maana sio imara kadri muda unavyozidi kuenda zinapotea na tunaona za kijnga hata wazee wa mila wanaona noma wenyewe.
Huwezi kumueleza mtu kuhusu kuchezea watoto ngoma ,sijui ukeketaji kwa sasa akakuelewa ,hzi mila sio strong na haziwez kusurvive mda mrefu ndo maana zinapotea .
Dini maandiko yaliandikwa miaka kibao nyuma yanazidi kuleta uhalisia kama siku zinavyoongezeka ,hii ndo inafanya dini kuwa strong na kugaina adherents kila siku.
Dini za kiasili zinapotea kwa vile misingi yake inaathirika na maendeleo ya dunia kirahisi.
🤣Kama huna kaa kwa kutulia
🤣Sasa sio kitu Cha kujisifia, unataka watu waamini majini na maujinga ya mababu wa kiarabu miaka yote au...waamini katika ukatili wa kijinsia na story za warlord, afu si kweli kuwa Islam ni dini ya mwisho inajiita tu hivyo ni sawa mi Nije YouTube niseme hii ni best YouTube video...🤣Hamna nilichokifanya Cha maana hapo ndo maana lazma waislamu watumie force na vitisho ili wapate waumini na waumini wasiache kuamini... Ni psychology tuSio kweli kuna vitabu vikongwe kuliko biblia, vitabu kama zaburi, injili na taurati. Na Qur'an ndio kitabu cha mwisho kutoka Kwa Mwenyezi Mungu. Hiyo biblia sijui kitabu cha dini gani maana yesu alishushiwa taurati lakini wakristo tunatumia biblia. Halafu cha kushangaza hiyo biblia ina matoleo kama kitabu cha hisabati darasa la Saba sijui nani anaebadilisha wakati yesu hayupo. Ndio maana mm nataka kuhamia kwenye uislamu, Qur'an tokea iteremshwe haijawahi kuwa na mabadiliko, hakuna kitabu kingine ambacho kinatumika na wanaadamu ambacho hakina edition isipokuwa Qur'an.
🤣Okay si tusingeendelea mbona tuna maendeleo kuliko hao watu...Leo hii Muhammad ukimpeleka Dubai au Yesu ukimpeleka New York atadhani ndo mbinguni ..mbona tunazidi kuendelea Sasa Kama tunazinguaWell, hii bado tunaendelea kufuatilia kwa tafiti mbalimbali..mpaka sasa..ila kiimani wanasema kuwa mambo ya mwili.
Biblia haideal na mambo ya mwili sana, no, yenyewe inadeal na mambo ya kiroho zaidi, kuliko mwili. Ndio maana ukiisoma biblia kimwilimwili utaona bado haitoshelezi.
Ila ukiisoma kiroho, utapata majibu tofauti kabisaa na unavyoidhania.
Ndio maana inafikirisha wengi, na kustaajabisha wengi pia. Sio kitabu kikongwe sana, hapana, ila kina mambo mengi, teknolojia nyingi na hata nguvu nyingi sana na kubwa kiimani, (kwa wanaoamini) kiasi cha kuustaajabisha ulimwengu.
Kuhusu mwanzo, Adamu alizingua, alipewa kila kitu..alafu akamkaidi Mungu kwa kumsikiliza mwanamke..
Mungu pale ni kweli alimpunguza manyota kadhaa, kwa sababu ukumbuke tuu kuwa Adamu aliishi kwenye Bustani ya Edeni, na hii ni bustani ya kufikirika, ipo kwenye ulimwengu wa roho hapa duniani, mpaka ambapo ikatoweshwa na Mungu mwenyewe.
Hawa binadamu wa historia wanaendelea kuhangaika na kujaribu kuhisi kuwa Edeni huenda ilikua syria au middle eastern, au hata Tanzania...
So, pale baada ya tunda, kuna senses zilipungua, ndio, na nyingine zimeendelea kunyofolewa baadae, kadri mwanadamu anavyozidi kuzingua..hadi kipindi cha daudi.
Nahisi hata malaika mbinguni wakipiga stori, watakua wanasema, "Mwanadamu ni miyeyusho sana, sema ndio hivyo tenaa..basi tuu..tufanyeje"[emoji23][emoji23][emoji23]
Dude, ni kwa sababu inadili na mambo ya ulimwengu wa rohoni zaidi, na hata mambo mengine ya ulimwengu wa mbinguni, kwa Mungu mwenyewe.Umejuaje kwamba Sayansi hiyo ipo nje ya uwezo wa mwanadamu?
Sayansi ni maisha ya duniani, Biblia ina maisha ya Mbinguni.[emoji1787]Kwa Nini Mungu muweza yote mjua yote na mpenda wote aandike kitabu jau chenye moral scientific and historical inconsistencies not to say logically impossible things.... [emoji1787]Mi siwezi maliza nguvu at things that are made up by some old dumb idiots... Science ni ngumu but it works ndo maana Einstein anaheshimika newton hata bill gates ni watu wenye heshima duniani for wat they achieved na hawakuforce watu kupitia vitisho na story story they earned people's respect[emoji1787]Bible ni moja ila madhehebu laki moja kila mtu ana lake ..roho mtakatifu sijui kila mtu anae coz ni akili yako tu ndo maana Huyu anaambiwa hiki mwingine anaambiwa kile...fake made up bullcrap
Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano...
01. Upendo vs Maovu
Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k
Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi
Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa kupigana na taifa.
Vyanzo vingi mbalimbali vya kivita.
Serikali za kifalme zilifanya mambo gani hapo zamani.
Visa vya vita kubwa hapa duniani na sababu zake.
watu wenye nguvu na ukuu.
Mali au utajiri umeleta mfalakano makubwa sana kati ya mtu na mtu.
Mabadiliko ya hali ya hewa njaa na majanga tofauti tofauti yameelezwa.
02. Nielezee kidogo uumbaji wa mwanadamu ulikuaje kwa Mujibu wa biblia.
Mwanzo 1:26-27
[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Hii sura ya Kwanza ni roho ya mwanadamu ndio ilifanywa na Mungu.
Lakini katika sura ya pili ndio tunaona Mwili ukitengenezwa.
pamoja na nafsi.
Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
kwahiyo.
Binadamu ni
01. Roho
02. Mwili
03. Nafsi.
Ukiwa na elimu hii ni mwanzo mzuri sana wa kujua vitu vingi kuhusu...
Mambo ya rohoni na Mambo ya mwilini au
Ulimwengu wa roho na Ulimwengu wa mwili.
Sijui kama kuna kitabu kingine chenye majibu mengi sana ya maswali yangu na wengine pia kama mnamaswali.
Kama kutakua na kitabu kingine ningependa kukifahamu niweze kukisoma pia.
Uwe na Amani na furaha nafsini.
Don't forget to Meditate 🧘♂️
Mbingu na moto ni story za kutungwa, zamani watu walisema mbingu ni mawinguni na Motoni ni chini ya ardhi Ila Leo unajua geography ndo maana unasema ni sehemu iliyofichwa huyo Mungu anazidi kufichwa kadri mwanadamu anapopata maarifa alikuwa pangoni akawa juu ya mti akawa juu ya mlima akahama mawinguni saa hivi kajificha nje ya ulimwengu coz tuna technology ya kuona sayari zote na sehemu kubwa ya galaxy yetu... 🤣Utoto tu kuamini hivi vituDude, ni kwa sababu inadili na mambo ya ulimwengu wa rohoni zaidi, na hata mambo mengine ya ulimwengu wa mbinguni, kwa Mungu mwenyewe.
Hivi vitu hauwezi kuviweka kwenye ulimwengu wa mwili wa magalaxies na stars na clusters, na bing bang, no. Hapana.
Sanasana utachanganyikiwa tuu nikikuambia hapahapa duniani kuna getaways za mbinguni na duniani..
Na Mungu mwenyewe na labda malaika ndio wanazifahamu na Mungu mwenyewe ndio fundi anazikontroo.
Wanadamu wanakaribia kujua getaways za ulimwengu wa mwili, za kwenda sayari, clusters, galaxies, etc huko sehemu zingine.
Ila maisha ya ulimwengu wa roho mzee, hayo tusijisumbue tuu.
We nadhani ni kawaida kumdhania mwanadamu mwenzio (Mfalme Zumaridi) chizi? Wakati anakuelezea kuhusu mwili wa mbinguni, maisha na nyumba za huko? Motoni na maisha yake na vazi lake?
Umemsikiliza vizuri au na wewe ni mmoja wa unayempinga mtanzania mwenzio tuu hoja bila kumsikiliza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]