Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Hesabu ya kidunia na namna mnayoisoma kidunia hamuwezi pata majibu halisi.

Biblia ina codes nyingi mno, mno, mnoo..na hata takwimu zinazotolewa kwenye biblia si kwa ajili ya mwili, no, ni kwa ajili ya roho yako. So, unaweza ukaona codes, na kimwili zikawa zinaelezea kitu kingine na kiroho ni kitu kingine kabisaa..ndio maana wanahistoria wanagumia stories za dini kugundua vitu vingi sana mbalimbali.

Takwimu si lazima zilingane.

Biblia imesaidi kugundulika kwa minara, historia iliyojificha, na mengine mengi mno, hata ukigoogle utaona, uhalisia wa maisha ya utumwa, na kadhalika, na kadhalika.

Ila biblia sio reference mwanadamu kimwili, no, ni reference ya mwanadamu kiroho
 

Tatizo ni kwamba huujui Ukristo.
Nikuelezee kwa kifupi.

Katika uislamu kuna sheria za kiislamu unatakiwa kuzifuata.

Ni tofauti sana na ukristo.
Ukristo una Amri moja tu na ya pili inafanana na hiyo ya kwanza nayo ni Upendo(Love).
1a. Love God, kwa kumuabudu(ibada) yeye peke yake. 1b. and Love your neighbour

Kwahiyo pima mwenyewe lipi zuri lipi ni baya, kila binadamu anaujuzi wa mema na mabaya.

Kwahiyo unachotakiwa kujua ni kwamba ukristo ulioanzishwa na Yesu haufati Torati. kanisa linaongozwa kwa mafunuo ya Mungu kwa njia ya kiroho.

Kwahiyo nikianza kuongelea habari za ulimwengu wa kiroho sijui kama tutakua pamoja au nitakua nimekuacha njiani.

Ukisikia Baba yako anakwambia usitembee hadi muda wa usiku uwahi kurudi nyumbani hamaanishi kutembea usiku ni vibaya bali ni hatari.
kwahiyo sisi wakristo tunakubaliana na ndoa ya mke mmoja, lakini ata ukiwa na wake wengi hasara na faida yake ni kwako mwenyewe.
 
Alafu nahisi ulimwengu wa kiroho wa wakristo ni tofauti na wa waislamu, na pia ni tofauti na wa wapagani, na pia hivyoivyo kwa mabudha, atheists, na wengine na wengine..hadi mashetani wenyewe..na kadhalika.

So mtu akifa, inakua ndio mwisho wa shopping yake, then anakua anaenda kwenye ulimwengu wake.

Duniani tunapita, ni sehemu ambayo tunatakiwa kununua mahitaji yetu yote ya maisha ya milele, so baada ya kufa tuu, muda wetu utakua umeisha, na kila mtu atakua anajua anaenda ulimwengu upi.

All in all, please, Choose your time wisely....

Usiseme haujaaambiwa..haijalishi wewe ni dini gani na imani gani...shauri lako..
 
🤣 Naona unazunguka na kachumbari yako ya maneno...ukijibu swali langu utaniita
 
🤣 Naona unazunguka na kachumbari yako ya maneno...ukijibu swali langu uta
So sheria zingine zote za biblia kuhusu ushoga kupigana mawe kubakana ni uharo tu🤣
 
🤣Basi we uliyomaliza kushop jiuwe uende huko sisi tubaki kuenjoy maisha coz ndo maisha pekee tuliyonayo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah so zumaridi duu...[emoji1787]bac ushanitoa Katika ubishano na wewe.... Maana huu utoto sasa
Asa mifano ya kiroho hakuna unayojua hata moja kwa sababu haujui chochote kuhusiana na ulimwengu wa roho, sijui nikuelezeeje uelewe.

Dah..

Zumaridi kidogo amegusiagusia baadhi ya mambo kuhusu miili ya mbinguni na motoni..maana ukisema uyajue yote inabidi ufe mzee, fuel yake ni kubwa mno kwa mwanadamu wa sasa..kwa sababu hajawa enlightened...codes zake hazijawa fully opened..zingine zimefungwa kwenye dna ndani hukoo, biologists wanajua hii vizuri...mwanadamu wa sasa ni nyama tuu, (flesh)..kiroho bado mchanga..hajui kitu...hana full potentials

Biblia ukiisoma vizuri mno inakupa enlightment maana ina daraja zuri sana la kiroho la kukupa full power, kufungua codes zako zilizofungwa na Mungu mwenyewe...na pia unakua chini ya ulinzi wa Yesu Kristo mwenyewe..katika ulimwengu wake wa milele usioisha.

Nje ya Biblia, unaweza kufungua codes ila utakuwa nje ya ulinzi wa kristo, maana yake utakuwa kimpango wako, free spirit....ni sawa na uelee tuu kwenye space, pasipokuwa na orbit yoyote.

Na hata dini zingine zinakua na wakuu wao na walinzi wao, na pia, heavens (mbingu)zao

Si unasikia wanasayansi wanasemaga kuwa kuna bubble moja kuubwa inaulinda ulimwengu huu..basi kila dini ni kama bubble inayoulinda ulimwengu wako husika, kiroho.

So, Mungu wa wakristo hawezi kuwa sawa na Mungu wa waislamu, Mungu wa wahindu hawezi kuwa sawa na miungu ya kigiriki, na listi inaendelea hivyoivyo na kadhalika na kadhalika.

Usipaniki, kujionesha kuwa eti Mungu wako ni bora kuliko wengine..unakosea, tena unakoseaa sanaaaaa big time na unakua bonge moja la mjinga.

Kama unahisi sio sawa...toa hoja, kama hauna hoja basi We nyamaza tuu kimya, soma, elewa, kisha kausha.
 
[emoji1787]Okay si tusingeendelea mbona tuna maendeleo kuliko hao watu...Leo hii Muhammad ukimpeleka Dubai au Yesu ukimpeleka New York atadhani ndo mbinguni ..mbona tunazidi kuendelea Sasa Kama tunazingua
Wanadamu tuliendelea zaidi ya hapa, tukazingua, sir god anafanya reset kila mara, maisha yanaanza tena, yanasogea na kuna muda ukifika yanafika mwisho.

Hembu jiulize, kama unataka mfano...hivi unadhani ile tech iliokuwepo kipindi cha kujengwa kwa pyramids, kwanini ile tech hapio?

Kwanj watu hawakuwepo? Kwani hakuna hata walioandika?

Ile tech ya watu waliokuwa wanaandika kwenye mapango..ipo vipi?? Kule kondia, chile, marekani na maeneo mengine..

Wengine si wanaitumia kutengeneza silaha za kivita, teknolojia kwenye computers na hata zingine kwenye kurushia rockets na vyombo nje ya nchi.

Hivi unadhani mwanadamu amekurupuka tuu na kuanza kwenda Mars? Au kuanza kuangalia nyota, na sayari, na galaxies??

Kuna clues ndogondogo zinazomfanya mwanadamu ahisi kuwa kuna vitu vimepungua ndani yake..kuna past kwenye present, na kila unapoisoma inakupeleka kwenye maisha mengine ambaho kumbe aisha uliwahi kuishi, au damu yako iliwahi kuishi
 
Hautakaa milele, hata ukiishi milele hautakaa umuone Mungu kwa sababu hadili na ulimwengu wa mwili, makapi, no.
Mungu yupo kwenye ulimwengu wake mwenyewe, ulimwengu wa Roho, kakuumba wewe mwanadamu unayewaza na kuuona ulimwengu wa mwili...alafu unaanza kumchallenge mtu ambaye haumuoni.

Imagine umemzaa mtoto, alafu mtoto anakuita nje mje muongee kizarauzarau tuu,..huku anafokafoka ujinga...hivi utamfanyaje? utamfuata kwa upole au utamchapa bakora???
 
[emoji1787]Basi we uliyomaliza kushop jiuwe uende huko sisi tubaki kuenjoy maisha coz ndo maisha pekee tuliyonayo
Nani kakuambia nimemaliza kufanya shopping??

Duh, broo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uongo maana unakinzana na maandiko kama una hakika yesu alianza ukristo leta andiko naslimu hapa.!!

wakristo walianza kuitwa baada ya paulo kutengeneza sehemu ya kuabdu kama kanisa na waliomfuta ndo tangu hapo wakaitwa wakristo.

Unatakiwa utambue katika agano jipya kuna vitabu vya paulo yaani yeye ndo kaandika watu kama warumi, wakorintho kama barua ...Hapo yesu kashaondoka.

Yesu hawezi kuwa mkristo kwa vile yeye aliabudu Mungu ,turejea maana ya ukristo means "the choosen one " yaani alichagyliwa kufuatwa kama mkombozi ...Ukisema mimi mkristo ina maana wewe unasadifu trinity na uungu wa Yesu moja kwa moja kwa mwokozi wako.

Yesu atawezaje kuw mwkozi halafu ajifuate yeye yaani ajiabudu yeye wakati pale msalabani alishindwa kujiokoa?
 
Maisha ya ulimwengu wa roho unayajua?

Kwa namna unavyo yaelezea hapa kwamba, Hatuwezi kuyafahamu hayo maisha ya ulimwengu wa roho,

Wewe binafsi kama unayafahamu, Ulifahamu vipi kwamba Maisha ya ulimwengu wa roho yapo na Hatuwezi kuyafahamu.

Huoni kwamba na wewe una elezea maisha usiyo ya fahamu, Yaani una elezea imaginations zako tu.
 
Usipanic twende hatua kwa hatua.

Naona hujui nini maana ya Ukristo.

Mkristo/Christian meaning.
Tutafute kwanza maana ya neno Christian ndio tuendelee mbele.

Maana yake inakupa majibu nani aliyeanzisha imani ya Kikristo
 
Kunywa juisi ni ibada kama sio kilevi hata na haina madhara.
Ina maana bro, Soda na juice zenye flavours na sodium bicarbonate zenye madhara makubwa mwilini na kusababisha magonjwa yasiyoambukizwa kwa haraka kuliko pombe, ni ibada?

Hilarious,sikujua hilo.
 
So unakiri kuwa Yesu alikufa. Si ndio?

Yesu alichaguliwa na Mungu kuwa mwokozi, mbona Samson Mungu alimchagua kuwaokoa Wana wa Israeli mikononi mwa Wafilisti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…