Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Hii nimeipenda sana, tunaweza kujadiliana kuhusu hili?
 
Usipani twende hatua kwa hatua.

Naona hujui nini maana ya Ukristo.

Mkristo/Christian meaning.
Tutafute kwanza maana ya neno Christian ndio tuendelee mbele.

Maana yake inakupa majibu nani aliyeanzisha imani ya Kikristo
😂😂😂Hakuwahi kuwa mkristo ng'o
 
Ina maana bro, Soda na juice zenye flavours na sodium bicarbonate zenye madhara makubwa mwilini na kusababisha magonjwa yasiyoambukizwa kwa haraka kuliko pombe, ni ibada?

Hilarious,sikujua hilo.
unajua kwa nn inaitwa pombe? kutokana na vilevi vilivyopo kama hiyo soda ina ingredients hazifai basi pia sio ibada.
 
So unakiri kuwa Yesu alikufa. Si ndio?

Yesu alichaguliwa na Mungu kuwa mwokozi, mbona Samson Mungu alimchagua kuwaokoa Wana wa Israeli mikononi mwa Wafilisti?
Wapi nimekri yesu alikufa? hii kutokana na imani yenu nyie mnakuja kujifunga kwamba alikufa .

Yesu alichaguliwa na Mungu? hatutoelewana .

Kwa vile ushasema alichaguliwa na Mungu mmoja baada unasema tena yesu ni Mungu 😂..Huoni kama hatutolewana hapa.!!
 
Why lazma jibu liwe Mungu? Wewe unajua kwamba ni Mungu? Ukisema Mungu ndo ameumba kila kitu ukiulizwa Mungu kaumbwa na nani utasemaje?
Unajiundia swali lako na kujijibu au hujaona nilicho uliza.
Nimemuuliza mtoa post ila kwa quote yako unajionyesha wazi uko upande gani.

Haya umsaidie mwenzio kujibu nilicho uliza
 
Yesu ni Mwana wa Mungu , alimuabudu Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye alimuita Baba.

Na Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo alimuita Mwanangu mpendwa .
 
😂😂so Mungu ana mwana leta uthibitisho?
MUNGU WA WAYAHUDI ALIMUITA YESU, MWANAYE MPENDWA.

Mathayo 3:16-17
[16]Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
And Jesus, when he was baptized, went up straightway out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him:
[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
And lo a voice from heaven, saying, This is my beloved Son, in whom I am well pleased.

YESU KRISTO ALIMUAMBIA NIKODEMO UHUSIANO WAKE NA MUNGU WA IBRAHIMU, ISAKA NA YAKOBO.

Yohana 3:16,19
[16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.
[19]Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
And this is the condemnation, that light is come into the world, and men loved darkness rather than light, because their deeds were evil.

YESU KRISTO WA MAANDIKO MATAKATIFU YA BIBLIA SIO ISA BIN MARIAMU.
 
🤣Sawa zumaridi
 
🤣Nani kasema watu hawawezi Jenga pyramids... Mzungu anapeleka mtu mwezini we unaongelea technology ya dreams. Kama unataka ujue umeendelea au la nenda kaishi vijiji vya jangwani huko ambavyo hawana modern technology tuone ka utayaweza mshukuru mzungu coz mwanzo wa kukataa kwake uhuni na uongo ndo umemfanya aweze tatua matatizo na kuvumbua vitu sisi tumekuwa watumiaji tu na tunatawaliwa coz wenzetu wanatumia akili zao we unangoja miujiza
 
Tutaenda na bible kama ilivyo au sio ,
Haya mwana mwanae kama mnavyochukulia sasa tuje👇👇

Sisi sote ni wana wa Mungu kutokana na bible kwa mantiki yesu alitumwa kama kiumbe cha Mungu ila sio mwana wa kumzaa nikiwa na maana hata Adam ,yakobo , ibrahimu ni wanae pia.

Warumi 8 16-17

"Ni Roho mwenyewe anayeshuhudia pamoja na roho zetu kwamba sisi ni wana wa Mungu"


Hii ikiwa na maana kwamba sisi na yesu ni level moja katika utukufu kama tutafuata yale yote ya Kumpendeza Mungu basi na sisi ni watoto wa Mungu .


Kwa nn mnamtukuza yesu pekeake ? wakati bible ipo clear wote ni watoto wa Mungu?
 
🤣At least huyo mtoto ananiona... Hivi imagine anakuja mtu anakuwambia Kuna jambazi anataka akuue inabidi umpe hela we humuoni jambazi ila huyo mtu anasema anamwona we mpe hela tu...🤣si utamwona kichaa... Ndo navyokuona wewe na story zako za roho
 
Yeye ndiye Kristo
Mathayo 16:16a
[16]Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo,
Unaelewa ulichoandika yeye ndo kristo mnayemfuata ,ukisema mimi mkristo unamfuata kristo ...Je yeye atakuwaje mkristo wakati nyie ndo mnaemfuata?


kwa hyo unataka kusema Mungu wenu ni mkristo?
 
Jibu maswali yangu mbona unakimbia
Ni kujibu nini umequote usichokielewa au hukuona nilichomuuliza mwenzio
Na kushangaa una quote kitu kisicho na neno Mungu then uje uniulize habari za Mungu Huoni km uko na shida sehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…