Umeisha potea hata hukumbuki ulinipinga kitu gani.Unaelewa ulichoandika yeye ndo kristo mnayemfuata ,ukisema mimi mkristo unamfuata kristo ...Je yeye atakuwaje mkristo wakati nyie ndo mnaemfuata?
kwa hyo unataka kusema Mungu wenu ni mkristo?
Ulisoma ulicho ki quote ukaona kinaongelea habari za Mungu au umekurupukaBasi acha Kama huwezi
😂😂😂Yesu hakuanzisha ukristoUmeisha potea hata hukumbuki ulinipinga kitu gani.
Nimesema Yesu ndie mwanzilishi wa Ukristo. Kwasababu wafuasi wake wanaitwa wa kristo.
Kwahiyo wafuasi tunaitwa Wakristo na tunae mfata anaitwa Kristo.
Usichoelewa nini sasa hapo ?
Nilitaka kukuonyesha yesu alisema kumuabudu bwana yenu na sio kumwabudu yeye (kristo) kwa kujiita wakristo.Umeisha potea hata hukumbuki ulinipinga kitu gani.
Nimesema Yesu ndie mwanzilishi wa Ukristo. Kwasababu wafuasi wake wanaitwa wa kristo.
Kwahiyo wafuasi tunaitwa Wakristo na tunae mfata anaitwa Kristo.
Usichoelewa nini sasa hapo ?
Hii mada nikichangia nitammaliza nguvu mwenye hoja...🤣nimwache tu asome story book yake
Mungu wa Ibrahimu alitamka waziwazi Kwa Yesu, hakuna mwanadamu au malaika aliyewahi itwa na Mungu wa Ibrahimu, kuwa ni Mwana wake wa pekee kama ilivyoandikwa.Tutaenda na bible kama ilivyo au sio ,
Haya mwana mwanae kama mnavyochukulia sasa tuje👇👇
Sisi sote ni wana wa Mungu kutokana na bible kwa mantiki yesu alitumwa kama kiumbe cha Mungu ila sio mwana wa kumzaa nikiwa na maana hata Adam ,yakobo , ibrahimu ni wanae pia.
Warumi 8 16-17
"Ni Roho mwenyewe anayeshuhudia pamoja na roho zetu kwamba sisi ni wana wa Mungu"
Hii ikiwa na maana kwamba sisi na yesu ni level moja katika utukufu kama tutafuata yale yote ya Kumpendeza Mungu basi na sisi ni watoto wa Mungu .
Kwa nn mnamtukuza yesu pekeake ? wakati bible ipo clear wote ni watoto wa Mungu?
Paulo alitumwa na nani kufanya kazi aliyoifanya ?😂😂😂Yesu hakuanzisha ukristo
👇👇👇
Act 11 26-27
"Alipompata, alimleta Antiokia. Nao wote wawili walikaa na lile kanisa kwa mwaka wote mzima wakifundisha kundi kubwa la watu. Huko Antiokia, ndiko, kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa Wakristo"
Hapo ndo ukristi ulianzishwa na bwana paulo.
Shida yenu waislamu mnajifanya mnaijua na mnaielewa sana biblia kuzidi sisi wakristo.Nilitaka kukuonyesha yesu alisema kumuabudu bwana yenu na sio kumwabudu yeye (kristo) kwa kujiita wakristo.
Bwana yenu ni Mungu mmoja sio yesu.
Amelishwa matango pori madrasa.Umeisha potea hata hukumbuki ulinipinga kitu gani.
Nimesema Yesu ndie mwanzilishi wa Ukristo. Kwasababu wafuasi wake wanaitwa wa kristo.
Kwahiyo wafuasi tunaitwa Wakristo na tunae mfata anaitwa Kristo.
Usichoelewa nini sasa hapo ?
Ulikuwa unaongelea Nini tuambieUlisoma ulicho ki quote ukaona kinaongelea habari za Mungu au umekurupuka
LisomeRudia swali lako
Jamani tulikuwa tunabishana kwamba yesu alikuwa mkristo au laah .Paulo alitumwa na nani kufanya kazi aliyoifanya ?
😂😂Sitaki kukuharibia nilikuambia tukijibu kwa kutumia bible humo ndani kuna mikanganyiko mingi.Shida yenu waislamu mnajifanya mnaijua na mnaielewa sana biblia kuzidi sisi wakristo.
Mkristo akisema Bwana unajua anamaanisha nini ?
Tuonyeshe Nabii hata mmoja ambaye Mungu ALITAMKA waziwazi Mbinguni kuwa ni Mwanaye Mpendwa.😂😂Sitaki kukuharibia nilikuambia tukijibu kwa kutumia bible humo ndani kuna mikanganyiko mingi.
Mfano ule yesu ni mtoto wa Mungu then wanasema tena "sisi wote ni watoto wa Mungu.".
Acha uongo maana unakinzana na maandiko kama una hakika yesu alianza ukristo leta andiko naslimu
😃😃😃 Ukiwa mlopolopo uwe na kumbukumbu.Jamani tulikuwa tunabishana kwamba yesu alikuwa mkristo au laah .
Omba msaada usaidiwe, ujuaji hauta kusaidia.😂😂Sitaki kukuharibia nilikuambia tukijibu kwa kutumia bible humo ndani kuna mikanganyiko mingi.
Mfano ule yesu ni mtoto wa Mungu then wanasema tena "sisi wote ni watoto wa Mungu.".
Quran imekuja baada ya Biblia ikikopi maandiko ya kwenye Biblia,
Biblia ndio kitabu kikongwe kuliko vyote Duniani.
😅🤣Hinduism ni dini yenye vitabu vya zamani kuliko dini yoyote...if shida ni vitabu au story za zamani ukristo imecopy dini za wayahudi, dini za wagiriki, wapersia na hata wahindi. Issue ya utatu ni ya wahindi, story ya Adam na Eve na Noah's ark ni ya Gilgamesh, kuumbwa kwa udongo ni china, tower of babel ni Babylon, Jesus ndo kabisa karibia miungu yote ya Asia na Europe ilizaliwa bikra ikafanya miujiza na ikafufuka. Tena wengine baada ya siku tatu kabisa. 🤣Afu unasema bible ni original. Dini ya ukristo ni bonge la wizi yaani
Na hata mfumo mzima wa Maisha ya Mwanadamu yameandikwa muleMaswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano...
01. Upendo vs Maovu
Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k
Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi
Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa kupigana na taifa.
Vyanzo vingi mbalimbali vya kivita.
Serikali za kifalme zilifanya mambo gani hapo zamani.
Visa vya vita kubwa hapa duniani na sababu zake.
watu wenye nguvu na ukuu.
Mali au utajiri umeleta mfalakano makubwa sana kati ya mtu na mtu.
Mabadiliko ya hali ya hewa njaa na majanga tofauti tofauti yameelezwa.
02. Nielezee kidogo uumbaji wa mwanadamu ulikuaje kwa Mujibu wa biblia.
Mwanzo 1:26-27
[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Hii sura ya Kwanza ni roho ya mwanadamu ndio ilifanywa na Mungu.
Lakini katika sura ya pili ndio tunaona Mwili ukitengenezwa.
pamoja na nafsi.
Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
kwahiyo.
Binadamu ni
01. Roho
02. Mwili
03. Nafsi.
Ukiwa na elimu hii ni mwanzo mzuri sana wa kujua vitu vingi kuhusu...
Mambo ya rohoni na Mambo ya mwilini au
Ulimwengu wa roho na Ulimwengu wa mwili.
Sijui kama kuna kitabu kingine chenye majibu mengi sana ya maswali yangu na wengine pia kama mnamaswali.
Kama kutakua na kitabu kingine ningependa kukifahamu niweze kukisoma pia.
Uwe na Amani na furaha nafsini.
Don't forget to Meditate 🧘♂️