1. Walikufa kiroho mara mojaJe Adamu na Hawa walikufa au Walipewa Adhabu?
Ya kufukuzwa Edeni na wengine kuzaa kwa Uchungu??
AmenHaleluya. Yesu Kristo ni Mwokozi. Mkubali awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, ili upate hakikisho la uzima wa milele.
Warumi 10:9-10
[9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
That if thou shalt confess with thy mouth the Lord Jesus, and shalt believe in thine heart that God hath raised him from the dead, thou shalt be saved.
[10]Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
For with the heart man believeth unto righteousness; and with the mouth confession is made unto salvation.
Waefeso 1:1 – "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walio katika Efeso, waaminifu katika Kristo Yesu."Sababu ni historia na maneno ya watu,mfano wagalatia 3:1,hakuna neno la Mungu hapo bali la paulo
Duh!Biblia Yake umeisoma Vizuri Mungu mwenyewe anathibitisha kuwa Walikuwa kama Mmoja wao..
Shetani alisema Hivi!
Mwanzo 3:5..
..kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya...
Naye Mungu akasema hivi..
Mwanzo 3:22 ...
Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;..
Sentensi hiyo unaielewa Kweli??
Sasa Kuna Uongo Gani Hapo wakati mungu ameuthibitisha Kuwa Sio Uongo??
Duh!Aya ya chini kaisome, inasema tazama hawa watu wamekula lile tunda la ujuzi wa Mema na Mabaya na sasa wamekua kama sisi
Nashangazwa kiukweli!Afadhali leo hujacheka, umeshangaa!👍
Mbona nimekunukulia na Maandiko ya Agano Jipya? Kwahiyo ulitaka awaambie wawapige mabwana zao. Huo sasa utakuwa Ukristo au? Duh!acha uongo wa kusingizia agano la kale pekee ndio utumwa uliruhusiwa ila agano jipya ulikatazwa.
nenda kasome kwenye agano jipya waefeso Waefeso 6:5-9: utaona Paulo anawahimiza watumwa kutii mabwana zao kwa heshima kama wanavyomtii Kristo.
🤣 🤣 🤣 🤣 yaani shetani aichukie bibilia wakati na yeye yumo humohumo
Mungu hayuko chini ya sheria kama mwanadamu unatakiwa ulijue hiloMungu hatendi mabaya .ebu Rudi Kwa Ayubu 45:11 ule uovu uliletwa na Nani?
Mbona nimekunukulia na Maandiko ya Agano Jipya? Kwahiyo ulitaka awaambie wawapige mabwana zao. Huo sasa utakuwa Ukristo au? Duh!
Adamu alichagua njia ya uovu na ubaya hizi hali zipo kwenye maisha ya mwanadamu ndo maana kuna kiangazi na masika, njaa na shine, kulia na kucheka n.kshetani anapiga stori na Mungu mpaka wanapanga mipango ya kumtesa Ayubu
Kwamba we ni shabiki wa shetani amaWw jifariji tu hapo ila vita bado mbichi👿
Nalifahamu Ilo kiundani zaidi na ndio maana Lusifa alimuasi . UOVU NI UOVU TU HAIJALISHI KATENDA NANIMungu hayuko chini ya sheria kama mwanadamu unatakiwa ulijue hilo
Hawa watu walitumwa na shetani waziwazi kuikosoa Biblia. Wameshangilia sana kwenye ule uzi wa "Nabii"Nashangazwa kiukweli!
Mkuu biblia Ina Contradiction Nyingi Nimeona Niache kwa hapo maana Huwezi pata Jibu Hata Ukikazana KutafutaDuh!
Halafu kuna sehemu anampandisha Yesu kwenye mnarashetani anapiga stori na Mungu mpaka wanapanga mipango ya kumtesa Ayubu
Kwahyo mungu wenu hakutaka sisi tuishi milele, inamaanisha ana roho ya kukunja?Hilo neno Kama Ndo neno alilotumia Shetani Pia na Ndo neno alilotumia Mungu Pia Swali liko pale pale kosa Liko wapi kusema Ukweli?
Uongo wake bado sijaupata mpaka sasa Na kama Utashindwa sema Nimeshindwa Usidanganye Kitu..
Narudia tena.. NIKIHUSISHA NA NEO "KAMA"
Maneno ya Shetani
Mwanzo 3:5
" kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
Maneno ya Mungu
Mwanzo 3:22
" Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;"
bado Swali linabaki wazi Binti
Aah usiniambie!!!Mkuu biblia Ina Contradiction Nyingi Nimeona Niache kwa hapo maana Huwezi pata Jibu Hata Ukikazana Kutafuta