Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

Mathayo 16:18
“Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. ”
— Mathayo 16:18 (Biblia Takatifu)
 
Sasa kama makanisa mengine yamekua formed miaka zaidi ya elfu baada ya ukatoliki nani aliyejitenga hapo
Mungu sikuzote huwatenga watu wake na uovu

Ila kila mtu ambae Mungu amemtuma ili awatenge watu wake alipoondoka yaani kufa wale waliobak wakarejea kule kule walipotoka

Ndio maana wote waliotoka kwa roman wamerudi kwenye taratibu zile zile

Mungu alisema kilicholiwa na madumadu kikaliwa na tunutu mpaka panzi ni mdudu mmoja akiwa kwenye hatua mbalimbal
 
Reactions: 511
Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Juuu ya mwamba upi?!
Hakumwambia juu ya mwamba ww
Alisema juu ya mwamba
Mungu asingejenga kanisa lake kwa mtu ambae angemkana
Unatakiwa ujue juu ya mwamba huu ,huu upi??
 
Sikuwahi kujua kumbe warumi ndio wapinga Kristo. Sasa si uwaache hao warumi wapambane na hali zao wewe wanakuumiza nini?
Wlaimuumiza Bwana yesu
Akaongea habari zao
Na waliwaumiza mitume wakaongea habari zao
Kwaio mimi si wa kwanza
Mungu mwenyewe ni mwanzilishi
 
Reactions: 511
Nimeamua Kukuchukulia Kama Mpuuzi mmoja Mpaka pale utakapoproove Ulichokuwa unasema kuwa Nilidanganya..

Shukrani kwa andiko lako refu Lisilokuwa na maana yoyote La kucopy na Kupaste..

Ushauri wangu wa mwisho kabisa Jitahidi Utafute sana Elimu maana huna hata kidogo
 
Kwamba wewe ndio unajua zaidi kuliko Yesu. Mbona alikula na kunywa na Yuda huku akijua atamsaliti.
 
Reactions: 511
Hapo ndipo kuna shida.
Mathayo 16:18 ukitaka kuielewa inabidi uanzie 13.

Yesu anaposema juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hakumaanisha Petro. Alimaanisha huo mwamba ulioanza kuongelewa mstari wa 13, ambao ni Yesu.

Watakubishia tu kwa kuwa ndivyo wamefundishwa kwenye ukatoliki
 
Hallelujah hallelujah
Praise God

Ndugu yangu nafurahi ww umeliona
Wao hukariri kila wanachoambiwa hata kiasi cha kufa
 
Reactions: 511
Kwa sababu alichagua mitume 11 na shetani mmoja
Asingemchagua unabii usingetimia so Yesu alikua na mitume 12.
Kasome Yohana 21:15-17 Uone vile Yesu alivyomuuliza Petro swali moja ila akalirudia mara 3 na pia alijitokeza kwa wanafunzi wake mara 3 tangu alipofufuka. Ona kwa jicho la 3
 
Reactions: 511
Asingemchagua unabii usingetimia so Yesu alikua na mitume 12.
Kasome Yohana 21:15-17 Uone vile Yesu alivyomuuliza Petro swali moja ila akalirudia mara 3 na pia alijitokeza kwa wanafunzi wake mara 3 tangu alipofufuka. Ona kwa jicho la 3
Yohana 6:70
[70]Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
Jesus answered them, Have not I chosen you twelve, and one of you is a devil?
 
Page ya saba (7) hakuna dhihaka kutoka upande wa pili wala hakuna sentensi ya "Proud to be Muslim"

Sasa uzi ungekuwa unahusu Uislam ungeona dhihaka na kebehi.
 
Yani Yesu akajiambia mwenyewe kua yeye ni mwamba na juu yake atajenga kanisa lake? Kama wewe ni mkristo, Soma biblia ukiwa umemuomba Roho Mtakatifu ili akufunulie uielewe
 
Wewe ni nani useme ni UPAGANI? Kama HAKUNA ukatoliki basi Hakuna UKRISTU. Tusibishane kujaza servers kwa nukuu zisizo na TIJA. Biblia iliandikwa na WAKATOLIKI ila Martin Luther akapunguza vitabu ku justify imani yake
 
Yohana 6:70
[70]Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
Jesus answered them, Have not I chosen you twelve, and one of you is a devil?
Mbona hakusema alichagua 11 na mmoja ni shetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…