“Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. ”Mathayo 16:18
— Mathayo 16:18 (Biblia Takatifu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. ”Mathayo 16:18
Mungu sikuzote huwatenga watu wake na uovuSasa kama makanisa mengine yamekua formed miaka zaidi ya elfu baada ya ukatoliki nani aliyejitenga hapo
Mathayo 16:18Ni 16:18
Hivi Yesu alikuwa katoliki?Sasa kama makanisa mengine yamekua formed miaka zaidi ya elfu baada ya ukatoliki nani aliyejitenga hapo
Wlaimuumiza Bwana yesuSikuwahi kujua kumbe warumi ndio wapinga Kristo. Sasa si uwaache hao warumi wapambane na hali zao wewe wanakuumiza nini?
Nimeamua Kukuchukulia Kama Mpuuzi mmoja Mpaka pale utakapoproove Ulichokuwa unasema kuwa Nilidanganya..Usinipostie makava ya vitabu, jibu nilichokuliza. Kati yako na mke wa Muhammad nani mkweli katika jambo lolote linalohusu uislam?.
Sitaki kuamini kuwa swali langu ni zito.
Hutaki kunijibu kwasababu ya hila tu ama hutaki jibu kwasababu huna maarifa na swali nililokuuliza?.
Mke wa Muhammad an
Ibn Umar anasema
(Abu Ubaid, Kitab Fadail-al-Quran).
When Ibn Umar Mtoto wa Khalifa wa kwanza anasema“Let none of you say, ‘I have learned the whole of the Koran,’ for how does he know what the whole of it is, when much of it has disappeared? Let him rather say, ‘I have learned what is extant thereof’.
Huyu ni mtoto wa Khalifa, anasema hivyo ila wewe hapa na Cheo chako bandia cha udaktari unataka nisimuamini yeye ni kuamini wewe.
What Kim of villain is this?.
AISHA anasema “Surat al-Ahzab used to be recited in the time of the Prophet with two hundred verses, but when Uthman wrote out the codices he was unable to procure more of it than there is in it today [i.e. 73 verses].”
Ila wewe Mmtumbi mwenzangu hata Nauri ya kwenda Mecca huna, hadi uuze mashamba ya Ukoo either uchangiwe ndiyo uenda unataka nisimuamini Mke wa Muhammad alafu nikuamimi wewe!!.
Umar anaendelea kusema""Umar said Ubai was the best of us in the recitation (of the Koran) yet we leave some of what he recites."
Ikiwa wenye quran wanakili jambo ili why wewe? Mbaya zaidi unataka nikuamimi forcibly unachoandika?.
Muhammad mwenyewe wanakili kuwa kuna wakati alisahau verse, sasa wewe ni nani hata nikuamini?
Doctor, unanichukuliaje kwanza?. Hayupo kwenye visual forum ila hiyo isikupe halali wa kuchukulia wanaume wenzio poa.
Chukulia ili andiko la Quran kama fundisho muhimu pindi unapotaka kuargue.
5:101) Believers! Do not ask of the things which, if made manifest to you, would vex you;
Kwamba wewe ndio unajua zaidi kuliko Yesu. Mbona alikula na kunywa na Yuda huku akijua atamsaliti.Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Juuu ya mwamba upi?!
Hakumwambia juu ya mwamba ww
Alisema juu ya mwamba
Mungu asingejenga kanisa lake kwa mtu ambae angemkana
Unatakiwa ujue juu ya mwamba huu ,huu upi??
Hakua.Hivi Yesu alikuwa katoliki?
Hapo ndipo kuna shida.Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Juuu ya mwamba upi?!
Hakumwambia juu ya mwamba ww
Alisema juu ya mwamba
Mungu asingejenga kanisa lake kwa mtu ambae angemkana
Unatakiwa ujue juu ya mwamba huu ,huu upi??
Kwa sababu alichagua mitume 11 na shetani mmojaKwamba wewe ndio unajua zaidi kuliko Yesu. Mbona alikula na kunywa na Yuda huku akijua atamsaliti.
Alikuwa dini ganiHakua.
Hallelujah hallelujahHapo ndipo kuna shida.
Mathayo 16:18 ukitaka kuielewa inabidi uanzie 13.
Yesu anaposema juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hakumaanisha Petro. Alimaanisha huo mwamba ulioanza kuongelewa mstari wa 13, ambao ni Yesu.
Watakubishia tu kwa kuwa ndivyo wamefundishwa kwenye ukatoliki
Nipe tafsiri ya wakaao sana kwenye ulevi.kwahiyo hapo panaposemwa walevi hawaendi mbinguni hujapaona, unasema ni ushauri
Asingemchagua unabii usingetimia so Yesu alikua na mitume 12.Kwa sababu alichagua mitume 11 na shetani mmoja
Yohana 6:70Asingemchagua unabii usingetimia so Yesu alikua na mitume 12.
Kasome Yohana 21:15-17 Uone vile Yesu alivyomuuliza Petro swali moja ila akalirudia mara 3 na pia alijitokeza kwa wanafunzi wake mara 3 tangu alipofufuka. Ona kwa jicho la 3
Yani Yesu akajiambia mwenyewe kua yeye ni mwamba na juu yake atajenga kanisa lake? Kama wewe ni mkristo, Soma biblia ukiwa umemuomba Roho Mtakatifu ili akufunulie uieleweHapo ndipo kuna shida.
Mathayo 16:18 ukitaka kuielewa inabidi uanzie 13.
Yesu anaposema juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hakumaanisha Petro. Alimaanisha huo mwamba ulioanza kuongelewa mstari wa 13, ambao ni Yesu.
Watakubishia tu kwa kuwa ndivyo wamefundishwa kwenye ukatoliki
Wewe ni nani useme ni UPAGANI? Kama HAKUNA ukatoliki basi Hakuna UKRISTU. Tusibishane kujaza servers kwa nukuu zisizo na TIJA. Biblia iliandikwa na WAKATOLIKI ila Martin Luther akapunguza vitabu ku justify imani yakeHuo ni upagani na ndio mana huwezi kuuthibitisha kwenye biblia
Utasema sema tuu kutetea upagani
1 Timotheo 4:1-2
[1]Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
[2]kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
[3]wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.
Mnalazimisha watu wasioe ili wawe mapadri
Upagani na ushetan
Biblia inasema upadri na upapa ni ushetani na ilo mnalijua mioyoni mwenu kuwa si neno la Mungu na Mungu alikataza
Mbona hakusema alichagua 11 na mmoja ni shetani?Yohana 6:70
[70]Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
Jesus answered them, Have not I chosen you twelve, and one of you is a devil?
Yesu hakuwa na dini. Dini imeanza siku ya Pentekoste pale waliponena kwa lugha (Matendo: 2) ndipo kanisa lilipoanzaKabla ya Yesu hajaanza kufundisha alikuwa anasali dini ipi?