Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1685436551128.png

Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.

Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye vitendo vya ushoga kutumikia hadi kifungo cha maisha jela.

Biden amesema ameliagiza Baraza la Usalama la Kitaifa la Ikulu ya Marekani kutathmini athari za sheria katika nyanja zote za ushirikiano wa Marekani na Uganda, ikiwa ni pamoja na uwezo wa Marekani kusitisha kutoa huduma za usalama chini ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kusaidia maambukizi ya UKIMWI (PEPFAR) na aina nyingine za msaada na uwekezaji.

Biden amesema Serikali yake itazingatia athari za sheria hiyo kama sehemu ya mapitio yake ya kustahiki kwa Uganda kwa Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA), ambayo inatoa matibabu bila ushuru kwa bidhaa za nchi zilizoteuliwa za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
 
Niko pamoja na Marekani, Africa ushoga haujawahi kuwa tatizo, matatizo ya Africa yanajulikana, Umasikini na rushwa iliyokithiri mpaka Leo havijapewa suluhusho, eti Leo hii wanatoa suluhisho kwa ushoga, my foot!!

Huu ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu!!
 
Huyo mzee Ni kichaa Nini?

Kwan Demokrasia maana ake Nini?

Waganda wao wenyewe wameamua kuyatumia matako ya kutolea kinyesi TU, sio vinginevyo, yeye USA inamuwasha Nini?

Huo upolisi wa dunia aliyempa Nani?

USA AACHE UPUMBAVU

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
USA nchi ya ajabu sana, hapa ndipo unajua Russia ipo sawa.
 

Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja...
Tayari Uganda itawekewa vikwazo. Marekekani huwa haitishii huwa wanatumia tafsida tu ili kuondoa taharuki kwa wasio husika, actually huu pia ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa Rais Museveni.
 
Niko pamoja na marekani,Africa ushoga haujawahi kuwa tatizo,matatizo ya Africa yanajulikana,Umasikini na rushwa iliyokithiri mpaka Leo havijapewa suruhusho,eti Leo hii wanatoa suruhisho kwa ushoga,my foot!!


Huu ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu!!
We nawe ndio wale wale, mbona hawapambani na rushwa na ufisadi uliokithiri huku Afrika.
 
Back
Top Bottom