MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Huyu mzee ana hekima sana, Mungu ampe maisha marefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametukamatia kwenye mikopo na misaada, wazungu wanawasaidia Waafrika kwa kuwapa pesa na misaada ili wazidi kuwa masikini zaidi ili waweze kuwatawala.Waafrika bado tumetawaliwa, bado ni watumwa, hatupo huru ndio maana Mambo Kama haya yanatokea. Kama tupo huru kwanini maamuzi yetu hayapewi nafasi dhidi yao?
Hakika maana hakuna jambo lenye kuepusha athari tunaloliamua likaungwa mkono, wao ni kupinga na kutoa vitisho vya kuweka vikwazo vya misaada ili tubadili maamuzi na misimamo yetu. Huu sio uhuru wa kweli wanaitumia misaada kupush ajenda zao. Msaada unaoulipia huo sio msaada, wanatutumia.Wametukamatia kwenye mikopo na misaada, wazungu wanawasaidia Waafrika kwa kuwapa pesa na misaada ili wazidi kuwa masikini zaidi ili waweze kuwatawala.
Siku ulaya itakapo acha kuipa pesa afrika ndipo afrika itakapoanza kuinuka
Ni furaha kwako?Mwisho wa utawala wa Museveni nauona unakuja...