DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Wamarekani wanajua ili watutawale inabidi waharibu tamaduni zetu
Tamaduni za kula nyama za maalbino?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamarekani wanajua ili watutawale inabidi waharibu tamaduni zetu
Kwanini umeamua kulinganisha Ushoga na umasikini au Rushwa? Kwa mtazamo wangu, hivi ni vitu viwili tofauti.Niko pamoja na marekani,Africa ushoga haujawahi kuwa tatizo,matatizo ya Africa yanajulikana,Umasikini na rushwa iliyokithiri mpaka Leo havijapewa suruhusho,eti Leo hii wanatoa suruhisho kwa ushoga,my foot!!
Huu ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu!!
Ye anawashwa nini US walalane wao inatosha. Ebo!Huyo mzee Ni kichaa Nini?
Kwan Demokrasia maana ake Nini?
Waganda wao wenyewe wameamua kuyatumia matako ya kutolea kinyesi TU, sio vinginevyo, yeye USA inamuwasha Nini?
Huo upolisi wa dunia aliyempa Nani?
USA AACHE UPUMBAVU
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]tulia wewee museven jembeee...huyo biden aliweee yeye tu
UMASKINI mkuuu..yani wanajua wao wakisema leo wanazuia misaada tunakufaa..hizo ARV za buree hela ya kununua hatunaa.. miradi kibao inategemea misaada yaoHata kama lakini US wapo mbali sana hivi itakuaje Uganda akihoji why US inaruhusu homosexuality....Sheria ni Sheria Kila nchi kivyake. Wakubwa waache nongwa
Ndio Mkuu.Duuuh ...yote hayo yanagawa ndogo?[emoji2539][emoji2539][emoji2539]
Only until you cross the LINES, you will definitely face repercussions.Kila nchi ijiongoze yenyewe
Kweli ila kuna vitu havina athari kwao. Umasikini mbaya sana ndo maana hata huku mtaani mwenye pesa hata akiwa bwege ndo ana sautiUMASKINI mkuuu..yani wanajua wao wakisema leo wanazuia misaada tunakufaa..hizo ARV za buree hela ya kununua hatunaa.. miradi kibao inategemea misaada yao
Kila nchi ina taratibu zake za uendeshaji, sio kila ambacho sawa Uganda ni sawa USA.. Lazima tujifunze kuheshimu taratibu walizo jipangia nchi kama nchi kujiongoza, kama hupendezwi na hizo taratibu unahama tu nchiOnly until you cross the LINES, you will definitely face repurcussions.
Hauwezi kuwawinda wananchi kama mifugo unawaingizia vwapima ushoga!
Unawa-terrorize wananchi kwa MASHERIA TATA yaliyo kinyume na kila taratibu za utoaji haki. UTAFUATWA TU hata IKULU kwa sababu UMETHIBITISHA MWENYEWE KWAMBA hauna uwezo na umahiri wa kuwa SOVEREIGN.
You don't have what it takes to be SOVEREIGN, because You can't be SOVEREIGN and CRAZY at the same time.
You Terrorize citizens with CRAZY LAWS and unjustifiable MEASURES. Ati unapinga ushoga!! HAKUNAGA HIYO.
Sheria ni Sheria Kila nchi kivyake
Mzee Museveni angekuwa karibu yangu hapa ningempa afutatu ya kunywa Red Bull!
Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja.
Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye vitendo vya ushoga kutumikia hadi kifungo cha maisha jela.
Biden amesema ameliagiza Baraza la Usalama la Kitaifa la Ikulu ya Marekani kutathmini athari za sheria katika nyanja zote za ushirikiano wa Marekani na Uganda, ikiwa ni pamoja na uwezo wa Marekani kusitisha kutoa huduma za usalama chini ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kusaidia maambukizi ya UKIMWI (PEPFAR) na aina nyingine za msaada na uwekezaji.
Biden amesema Serikali yake itazingatia athari za sheria hiyo kama sehemu ya mapitio yake ya kustahiki kwa Uganda kwa Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA), ambayo inatoa matibabu bila ushuru kwa bidhaa za nchi zilizoteuliwa za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Kwani huko Marekani wananchi wao wote matajiri? Huo umaskini ni ugonjwa mpaka lipatikane suruhisho kwa wote?Niko pamoja na marekani,Africa ushoga haujawahi kuwa tatizo,matatizo ya Africa yanajulikana,Umasikini na rushwa iliyokithiri mpaka Leo havijapewa suruhusho,eti Leo hii wanatoa suruhisho kwa ushoga,my foot!!
Huu ni ujinga wa kiwango cha hali ya juu!!
Marekani Hana cha kufanya dhidi ya Uganda atabweka tu kama ni mkopo china wanatoa mikopo hata huyo marekani anakopa china na anadaiwa Hadi sahivi,waganda hawatokufa kisa ela za ARV hizo dawa zinazalishwa na nchi nyingi sasa hvi hata india na ukitaka unaingia mkataba unakopa ,Uganda hawajakurupuka Endeleeni kukasirika lkn sheria imeshapitishwa alafu usiwe mtumwa kisa unafanya kazi kwnye NGOS za upinde kutetea kula yako,au usihofie utakufa kisa utakosa ARV zako . Baba yako angekuwa an@p1gw@ na0 wewe ungezaliwa leo ungekuwa apa jukwaani,Baba yako na familia imepata hasara Sana kwa mtu kama ww [emoji16][emoji16][emoji16]Wooyoo, DIKTETA UCHWARA MUSEVEN saiv kajifungia chumbani anajamba kwa hofu ya kushughulikiwa na MABEBERU [emoji23][emoji119]
Tandika hilo LIDIKTETA shenzi, [emoji851]View attachment 2640157
Lengo kuu la ushoga ni kupunguza population ya watu