Mkoje lakini? Nani kawambieni Dr.Magufuli analazimika kufanya kampein kwenye Wilaya zote za Mikoa anayo tembelea? Mbona hamlalamiki kwamba hakwenda Wilaya ya Karagwe why pick on Ngara!!
Mnapenda penda sana kukuza kuza mambo madogo madogo kwa kuwa hamna any substance to talk about mnapokuwa kwenye kampein za vyama vyenu - chukulia mfano was Lisu wa kusema eti reli ya TAZARA hipo kwenye kundi la SRG!! Nani anaweza kuchukulia kauli zenu seriously - NANI?
Watu wa rusahunga ange waambia nini juu ya ubovu wa barabara ya kutokea Nyakanazi?Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.
Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?
Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!
Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!
Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!
Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:
View attachment 1572352
Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.
Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.
Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.
Amazing!
Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:
View attachment 1572353
View attachment 1572354
Maendeleo hayana chama:
Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
Ninawasilisha.
Anachojali ni nafsi yake tuMzee Baba stone angejua hizo Bus zina zaid ya buku+ km mbele kufika Dar wasingewaweka 3hrs.
Tatizo lako unaishi hapo Nkuhungu tuMbona barabara nzuri. Unalalamika nini
Unatuwekea vitu vya ajabu tofauti na mada husika, hapa tunazungumzia biharamulo na rusahungahapa DR magufuli katinga Kasulu
Ni kwelMzee Baba stone angejua hizo Bus zina zaid ya buku+ km mbele kufika Dar wasingewaweka 3hrs.
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kufuatilia kampeni za jiwe na kutambua kuwa baada ya Bukoba alielekea Biharamulo, ilitegemewa asingeacha kwenda Ngara ili pia aione barabara ile pendwa ya Rusahunga - Rusumo.
Binafsi kwa makusudi mazima ku share uzoefu nikajiongeza chap chap ili nisisikie tu tokea TBC 1 bali nikamshudie macho kwa macho atakuwa na nini cha kusema popote katika barabara hii. Nikitegemea kuleta mrejesho huru usioegemea vilivyo kwenye matakwa ya Dr. Ryoba. Ikumbukwe kuwa maafisa vipenyo wako kila mahali, nani ajuaye?
Kama mbayuwayu vile, mwamba huyu kufika rusahunga kutokea Biharamulo akala kushoto na magari yake mia kidogo kuelekea Nyakanazi, uelekeo kigoma!
Itoshe kusema, mwamba barabara hii anaijua sana na kimsingi kwa makusudi mazima kaamua kulala mbele! Hana majibu. Barabara hii inamvua nguo vilivyo!
Kingine zaidi ya ukweli huo, pamoja na kuwa nilipanga kuwa mitaa ya hii barabara ya rusahunga - Ngara kabla sana ya mwamba huyu kufika rusahunga, tukaishia kupigwa pini kama yalivyo wakuta wengine kupisha msafara wa jiwe yapata 30km tokea Nyakanazi (junction) atakayopita akielekea Kigoma, hali akiwa hata Biharamulo hajaondoka!
Tumekaa barabarani zaidi ya masaa 3 kwenye sehemu marked X (Nyantakara) 30km kutoka Nyakanazi kusubiri jiwe apite Nyakanazi aelekee kwa raha zake Kigoma kutokea Biharamulo:
View attachment 1572352
Lusahunga - Muzani ni kuelekea rusumo. Nyakanazi - kakonko ni kuelekea Kigoma. Nyakanazi - Biharamulo ni 50km. Nyantakara - Nyakanazi ni kama 30km.
Tokea 0600 hadi 0930 yaliporuhusiwa magari kutoka Nyantakara, ni wazi kuwa tumempisha apite Nyakanazi mwamba huyu, kabla hata hajaamka kutokea Biharamulo.
Huyu ndiye mwali wetu anayetegemea kura zetu, ili akipita tumpishe tukiwa standstill 30km away kutoka kwenye junction atakayopita.
Amazing!
Hapa chini ni baadhi ya magari yaliyopigwa pini pamoja nasi leo, kumpisha jiwe tukiwa tumesimana nyantakara:
View attachment 1572353
View attachment 1572354
Maendeleo hayana chama:
Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
Ninawasilisha.
We mtaalamu una majirani kila kona nchi hii .teh teh teh..!!Jirani yangu wewe kumbe
Mie nna vituo mob vya kuishi...😔!We mtaalamu una majirani kila kona nchi hii .teh teh teh..!!
Inawezekana ulizaliwa kwenye ambulance kwa jinsi unavyo "taralika"Mie nna vituo mob vya kuishi...😔!
Ahahahhahahhaahha....wanyaki bwana...Inawezekana ulizaliwa kwenye ambulance kwa jinsi unavyo "taralika"
Jirani yangu wewe kumbe
Mzee wanguJiwe ndio nani??
Ccm kuna sehemu wanapata upinzani? Acha uongo mkuuMgombea wa CCM pale ngara ameshashinda anasubiri kuapishwa tu so kwenda kule ni kupoteza muda tu chama kwa sasa kimefokasi kwenye maeneo yenye upinzani zaidi.
Kama hawana upunzani kelele zenu za nn?Ccm kuna sehemu wanapata upinzani? Acha uongo mkuu