Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Okay
 
Si mnasemaga bikra hawana tamaa imekuaje ikawaje tena πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌ
 
Si mnasemaga bikra hawana tamaa imekuaje ikawaje tena πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌ
Suala sio bikra ni maadili tu maana huwa wapo waliowahi msemesha ni ngumu sana kuwanyima pindi akishajua utamu wa gegedo. Alianza kunipanga kumbe yuko busy anakula mhogo somewhere nikaona hapa Sina mtu nikam block mazima. Tabia ni tabia tu. Kikubwa ni kujitambua na kuwa mwadilifu wengi wa wanawake sio waadilifu miruzi mingi humpoteza mbwa.
 
Nina mengi ya kuandika hapa lakini muda hautoshi.

Kulinda bikra ya mwanamke ni jukumu la jamii nzima hasa hasa familia yake.

Ukisoma biblia watoto wa Yakobo walipoona dada Yao ametolewa bikra bila ya kuoleewa waliua ukoo mzima wa ile jamii iliyomfanyia vibaya dada Yao.

FUNZO: Baada ya kumfanya vibaya dada mtu unaona ile familia walitaka kumuoa yule Binti lakini familia ya Yakobo ndio waliona sio vyema wakaamua kuua ukoo mzima. Lakini funzo tunalopata ni kwamba ile jamii walikua na uungwana japo hawakupita njia sahihi.

Turudi kwenye jamii zetu za Afrika na hasa Tanzania. Kuna jamii zinataratibu za ovyo sana kuliko unavyoweza kufikiri au kutafakari au kuwatetea kama ulivyoainisha katika huu Uzi.

Binafsi niliishi Sumbawanga,Rukwa. Siku Moja nipo na dogo ametoka kumaliza darasa la saba kuna mpumbavu mtu mzima akaanza kumuita dogo. Yaani ilikua ni barabarani na watu wanapita nilimwambia kwa herufi mkubwa "NITAKUCHINJA MCHANA KWEUPE"

Nilipata funzo kwamba Kuna jamii zimeshaharibika na ukizichekea nawewe ni lazima uharibikiwe.

Moja ya jamii ilishaharibika ni hao ndugu wa Sumbawanga wao mtoto wa miaka 14,15,16 kuzalishwa ni kitu Cha kawaida kwao.

Kujibu swali lako ni kwamba haya maswala hayahusu wanaume tuu bali ni jamii nzima. Hivyo kama lawama inatakiwa kutupiwa jamii nzima.


MWISHO WA SIKU, SI UNAWEZA KUMDHARAU MTU KWA JAMBO AMBALO WEWE MWENYEWE ULICHANGIA KULITOKEA?

ShesRise_1 βœ‹οΈ

Hapa mwisho nakupinga kwa herufi kubwa. Kwasababu hizi,

Mosi; Jukumu la kulinda bikra linamuhusu sana yule aliyeibeba hiyo bikra unless otherwise huyo mwanamke anamatatizo ya akili ndio hapo jamii itahusika kwa asilimia mia moja kuilinda hiyo bikra yake au papuchi yake kwasababu wasipofanya hivyo watajikuta wanalea mtoto mwingine. Hii inatokana na wanaume wenye upungufu wa akili. Hawa ni kazi sana kuwacontrol na pia hawajielewi na njia nyepesi kwao ilikua wafundishwe kupiga punyeto tuu.

Pili; Hupaswi kumlaumu mtu anaetaka kuoa Binti bikra eti kwasababu yeye alishahusika kwa namna Moja au nyingine kuzitoa hizo bikra. Hapa ni lazima utambue kwamba hiyo bikra ndio namna pekee ya binti kumuaminisha mwanaume kwamba yeye anajitambua na anafaa kuolewa.

Tatu: Kuna wanawake ni WAPUMBAVU, Sasa hawa ni chakula Cha wageni hivyo mwanaume kamili hafai kuoa mwanamke mpumbavu ambaye ni chakula Cha wageni/wapita njia. Ni bikra pekee inayotofautisha kati ya mwanamke anayejitambua na yule ambaye ni chakula Cha wageni.

Naomba kueleweka hapa wanawake WAPUMBAVU ni jamii ya wale wanawake ambao akichukizwa au kuuziwa bhasi anatafuta mtu wa kumuweka dudu, Hawa nao hutafuta kuolewa pia.

Nne: Wanawake wenye tamaa, Hawa wanawake hata ukiwalinda kwa mtutu ni lazima tuu atapoteza hiyo bikra. Sasa huyu nae unataka lawama zake watu wabebe kweli????

Yapo mengi sana lakini haya ni baadhi ya machache tuu.

Nafikiri badala ya kutupiana lawama inatikiwa tujifunze kutoka kwenye jamii zilizofanikiwa katika hili jambo. Hasa hasa tujifunze kwa wahindi, waarabu na wasukuma.
 
Kwa akili ya kawaida sawa ila kwa akili kibwa hii mada haiwezi kuushia hapa
Ndio, kwa kutumia akili kibwa upo sawa kabisa ewe mwanamke.

Lakini tukitumia akili ya kawaida ni kama nilivyosema, na tukitumia akili kubwa jambo hilo wala si la kujadili. Maana akili kubwa haiwezi kuvumilia kutumika kujadili jukumu la ulinzi wa uchi wa mtu mzinzi liwe la mtu mwingine, tena kutoka jinsia pinzani!
 
Okay
 
Sawa
 
Tunamuongelea nani sasa ?
Au hujasoma mada mkuu?

Ilifaa usome badi mada yote nadhani umesoma nusu
Sasa kama ni hivyo mbona unaleta mada ambayo haitaki hata kujadiliwa, mtoto under 18 kisheria hana utashi wala akili ya kuchanganua mambo, so it's outta equation, akikamatwa mtu amefanya child molestation anafungwa. Sio hoja ya kujadili wala.

Mdada mwenye 18+ akitoa uchi wake kwa ridhaa yake then lawama atupiwe mwanaume naona ni ujinga..
 
Haya sawa mkuu kama hiyo mada haitaki kujadiliwa

Tufanye hivi nimeshindwa mimi
Tuishie hapa πŸ™πŸ™
 
Haya sawa mkuu kama hiyo mada haitaki kujadiliwa

Tufanye hivi nimeshindwa mimi
Tuishie hapa πŸ™πŸ™
Hakukuwa na mashindano, hatushindani, wala hakuna mshindi katika mijadala, toa hiyo notion akilini.
 
Hakukuwa na mashindano, hatushindani, wala hakuna mshindi katika mijadala, toa hiyo notion akilini.
Nimemaliza mimi sina mjadala na wewe tena nimeamua hivyo

Sidhani kama hilo ni tatizo
 
Suala la kuwa "single mother" au kutokuwa na "BIKRA" ni suala ambalo limeshika mijadala mingi kwenye jamii kwa sasa!!

Lakini naona wengi wao tunazungumzia zaidi matokeo lakini hautangalii chanzo zaidi.....kwanini tumefika hapa... kwanini tumekuwa na wimbi kubwa la kupotea kwa "BIKRA" na ongezeko kubwa la wamama wanaoitwa "Single mother"

Inafahamika ya kuwa hizo "BIKRA" na "single mother" havitokei pasi na kuhusika kwa mwanaume kwa kuwa ukamilifu wake unamhitaji mwanaume iwe moja kwa moja au kwa njia za mkato!!

Sidhani kama bikra ya mwanamke huwa inatoka kwa kujiingiza vidole yeye mwenyewe au mwanamke anaweza kubeba mimba kwa kujiingiza vidole yeye mwenyewe yote hayo yanaonyesha jinsi gani mwanamume anashiriki kikamilifu kwenye kusababisha hiki kinacholalamikiwa kwa sasa kwenye jamii......

Kwa tafsiri nyingine ni kwamba ingekuwa wanaume wangeamua kutofanya fanya mapenzi au ngono mpaka waoe automatically kusingekuwa na mwanamke asiyekuwa kuwa na bikra.....ingekuwa wanaume tungeamua kuishi na kushikamana na wanawake tuliowazalisha ni dhahiri kuwa kusingekuwa na single mother kwa kuwa matokeo ya haya mambo wanaume tunashiriki moja kwa moja kwa kuwa kutokea kwake kinahitaji uwepo au ushiriki wa jinsia mbili!!

Swali lang linakuja kwanini jamii haioni huu uovu wa wanaume wa kulala na wanawake ambao hawajawaoa au kuwapa mimba holela wanawake na kuwaacha kwanini lawama zinapelekwa kwa wahanga pekee!!?

Kama vijana wa kiume wangekuwa wameyashinda matamanio yao mpaka watakapooa maana hakuna binti ambaye angeharibikiwa vivo hivyo kwa kuwapa mimba maana hayo matendo yanafuatana kwani mimba ni matokeo ya ngono kitendo kinapelekea mwanamke kupoteza usichana wake!!!!

Nadhani ifike wakati hili jambo tuliangalie kwa mapana na marefu zaidi kuliko kuyaangalia matokeo peke yake na kuwalaumu wahanga tu!!

Sio wote waliokutwa na masahibu haya ni waovu na viruka njia wengine ni wahanga wa wanaume mabazazi , matapeli na walaghai.... unaweza usinielewe kama huna mtoto wa kike aliyevunja ungo na kuingia katika usichana!!!

TUJITAFAKARI
 
Wakija bila hoja lazma waache ndala sio πŸ˜„
Nimefunga mjadala huu sihitaji tena kujadili na mtu πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌ

Watu hawajengi hoja ni mihemko na mfumo dume ndio umetawala kwenye uzi wanaume waliojenga hoja wanahesabika

Kwanza ni kama mada haijaeleweka au mimi ndio sio mwandishi mzuri

But ukiangalia hata title ya hawa watu utagundua kituπŸ‘‡

Maua kwako The Icebreaker
Kiranga Kijakazi na wengine kama wawili nimewasahau
 
Nimetoka sasa hivi kutoa list ya watu wachache ninaowakumbuka waliochangia kwenye huu uzi bila kuweka mfumo dume mbele

Ile namaliza comment yako hii hapa
Nikiangalia join yako huenda wewe ni mkubwa kwangu

Hakika wanaume wanaowaza kwa upana kwa maarifa .makubwa bado mpo laiti jamiii ya wanaume ingekua na mtazamo kama huu alooooo tungekua na jamiii bora

Shukran sana heshima yako πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…