Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Bikra ya mwanaume imekaaje! Ambae hajawahi ku -sex maishani nae ni bikra. Sasa huyu aungane na mwanamke bikra, ndio ndoa halisi na ya kudumu. Kila mtu anamjua mwenzake ndivyo alivyo. Kama ni bamia na wanaume wote ni bamia.
Hakika mwanaume asiewahi kushiriki tendo ana haki ya kudai mwanamke bikra sio hawa waharibifu
 
Mwanamke analaumiwa sababu yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho,(kukataa)
Mwanaume anapotongoza haweki ulazima wa kukubaliwa.
Kwanini utongoze huku ukijua unaemtongoza huna nia ya kumuoa

Hii ni akili gani mkuu?
 
Sijasema nyie mnapaswa kulaumika
Ila mnatafuta bikra na hamzipati mnatakiwa kulaumia nyie wenyewe mafisi mnaorubuni wasichana wadogo wasio na uwezo mkubwa ki fikra
 
Kati ya 100% ya wasichana wasio na bikra ni % ngapi walibakwa? More than 50% wametoa utamu kwa hiari yao na kwa tamaa zao.

# Bikra unayo?#
 
Ukiwaacha underage ambao kisheria wanaonekana hawana uwezo na ukomavu wa kujiamulia mambo, wengine wote wanaamua wenyewe lini bikra itolewe na nani aitoe. Hawa wasilaumu watu(in case kuna lawama)

Mtu asiye bikra anatolewa mahari ili iweje, kwa kipi hasa. Au maana ya mahari nini?
 
Hivi upo timamu kweli wewe?
Unataka kujadili bikra yangu kwani mada inaongelea bikra yangu

Mbona unakosa akili kidogo?
 

Akina mama wazazi na walezi ndo mna jukumu la kwanza kuhakikisha msichana anatunza bikra yake na kukwepa ulaghai, mnalitimiza hilo jukumu effectively? Au mko busy tiktok?
 
Umeelewa sana
Issue ni kwamba mtu ukisema watu hawasomi na kuelewa unaonekana una ego kubwa baadhi ya watu humu kujenge hoja ni kitu hawawezi
 
Akina mama wazazi na walezi ndo mna jukumu la kwanza kuhakikisha msichana anatunza bikra yake na kukwepa ulaghai, mnalitimiza hilo jukumu effectively? Au mko bize tiktok?
Kwanini wewe mwanaume ulaghai mtoto wa mwanaume mwenzio

Nani alikwambia jukumu la malezi ni la mama pekee?
Naendelee kushuhudia vituko kwenye huu uzi
 
Mwenye tamaa ni wewe usieweza kujizuia na kwenda kumlaghai under age huoni kama wewe ni mtu mzima hovyo kwa kufanya kitendo hicho?
 
Kati ya 100% ya wasichana wasio na bikra ni % ngapi walibakwa? More than 50% wametoa utamu kwa hiari yao na kwa tamaa zao.

# Bikra unayo?#
Issue hapa sio kubakwa Issue ni wewe mwanaume mwenye ndevu zako kwenda kumrubuni mtoto ambae hajakomaa kihisia ki akili na hana maarifa makubwa

Huku wewe ukiona unalofanya ni sawa
Hapo huoni kama wewe ndio usie na hekima
 
Nashangazwa na hawa wanaume wanaotaka bikra kila siku huku wao wenyewe....... upuuzi tu
 
Ukitaka tujadiliane vizuri ebu tumia lugha ya kistaarabu kufikisha ujumbe. Kulikuwa na haja gani ya kuita wadada waliotumika "Makombo".
Nyie ndio mnawaita hivyo
Sifuti hata wewe changia tu ukiweza
 
Ficha ujinga wako maana unajivua nguo
 
Wewe kaa kando huna hoja
 
Ninakielewa sana tu, mm kuwarubuni mabinti nikalala nao nikawatoa bikra na kuwatia usingo mother hakuwezi kunizuia mm kuwasema kwa upumbavu wao.
Ona huyu huwezi kuficha upumbavu wako licha ya kua unatumia I'd fake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…