Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Binadamu hubadilika, kutokana na changamoto zilizopo, (adaptability skills) or life learning skillsWale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.
Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.
Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.
Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.
Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikatoliki UVIKUWATA anafuga kuku.
Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.
Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yaje alikuwa kamisna wa jwanza wa magereza,alikufa zanani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kana watoto wake.
Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madink
Uncertainty, (changamoto), husababishwa na, 1. Majanga, (disaster), 2. Taarifa, (information) na 3. Binadamu, (normal and smart people)
Huwa ni ngumu sana kuweza kuyadhiti majanga, tuseme haiwezekani
Kuhusu taarifa, taarifa inaweza ikawa sahihi ila mpokea taarifa akatafsiri tofauti.
Kuhusu binadamu, binadamu anaweza jisababishia changamoto kutokana na uzembe, ujinga, uvivu, na ushamba.
Binadamu, anaweza sababisha changamoto kwa wengine kwa makusudi ama kwa kutokujua
Hitimisho changamoto nyingi tunazokabiliana nazo husababishwa na binadamu