Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.

Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.

Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.

Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.

Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikatoliki UVIKUWATA anafuga kuku.

Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.

Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yaje alikuwa kamisna wa jwanza wa magereza,alikufa zanani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kana watoto wake.

Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madink
Ni Mungu aliyetenda kazi yote.
 
Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madink
Uzuri hadi sasa kuna Katibu wa CCM kala shaba moja tu chali, mwingine kafyekwa miguu. na wote wanakiri kuwa ni internal job, i mean ni mi-ccm yenyewe kwa yenyewe
 
Lisu alieleza vizuri kwamba kama Siyo Juhudi za" Dada " ( Msaidizi wake wa nyumbani) basi asingepona

Beki 3 ndiye aliwasha Gari na kumuwahisha Lisu hospital kabla hajapoteza Damu nyingi
Mhhhh dereva alikuwa wapi wakqti yee hakuguswaaaas
 
Hakukuwa na mlenga shabaha pale,mlenga shabaha apige risasi zaidi ya 20 bado awe mlenga shabaha?

Wale ni wahuni tu kama wale waliotaka kumteka bwashee wa watu huko Kiluvya,ila mengine yote umeandika sahihi.
Ndio wakenga
Nilishaacha Kaka ,Sasa naheshimu Sana neno mahusiano na neno mapenzi
Hilo fumanIzi lilikukuta wapi?Karagwe au Chamazi au Kurasini
 
A
Hivi Rugimbana na jina la kitutsi ?
Anhaa Kaka natamani nikutajie vijiji kumi na moja kutoka Karagwe na katika vijiji hivyo ni robo tu ya wanakijiji ndiyo watanzania na katika vijiji hivyo basi bwana Rugimbana amepata kutokea Kijiji kimojawapo .

Hivyo kuhusu swali lako sina jibu ,usinigombanishe na mwokozi wangu
 
AAnhaa Kaka natamani nikutajie vijiji kumi na moja kutoka Karagwe na katika vijiji hivyo ni robo tu ya wanakijiji ndiyo watanzania na katika vijiji hivyo basi bwana Rugimbana amepata kutokea Kijiji kimojawapo .

Hivyo kuhusu swali lako sina jibu ,usinigombanishe na mwokozi wangu
Kwani hakuna watutsi wa Tanzania ?
 
Kwani hakuna watutsi wa Tanzania ?
Wapo ila naongelea wale ambao kwenye ile operation Kimbubga walikuwa wanashinda mashimoni na maporini ili tusiwapate ndiyo wengi mpaka Sasa bado wako around huko Karagwe .
Bila kusahau wanabebana ila kinachowafanya wasijulikane zaidi wanakuwa na hela ,tofauti na watu wa Burundi wakija wanakuwa vibarua kwenye mashamba ya ndizi na maharagwe ni hapo tunawabagua na kuwachukia maana ni vijakazi ,tofauti na watusi wa Rwanda .

Ijulikane kuwa Karagwe watu kutoka Rwanda ndiyo wengi kuliko Burundi .

Natumai nitakuwa nimewasaidia wapelelezi hapo mjengoni kwenu ,kwa msaada zaidi nutafuteni umalila niwapleke walipo wazambia walowezi
 
Wanabebana au walibebwa na serikali ya Mzee Nyerere ambayo iliwaingiza kwenye mfumo wa nchi ?​
 
Ndugu mpelelezi ,Sasa niko umalila hapa karibu na kwa mzee Mpenja ,baba yake baraka Adson Mepnja mtangazaji wa mpira Azam Tv ,nakunywa ulanzi ,tafadhali njoo tuzungumze uso kwa uso ninayo mengi ya kukupa Mimi Kama raia mwema na mwana mapinduzi mstaafu
 
Mimi niko Arusha kwenye mkutano, tunatoa Mhadhara kuhusu Data Protection in Tanzania. Karibu sana​
 
Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.

Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.

Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.

Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.

Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikatoliki UVIKUWATA anafuga kuku.

Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.

Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yaje alikuwa kamisna wa jwanza wa magereza,alikufa zanani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kana watoto wake.

Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madink
Bora ungesema Mwamba Freeman,na ukaacha kusema habari za majambazi waliolipwa au wanaolipwa na kodi zetu
 
Mimi niko Arusha na Maxence Melo kwenye mkutano, tunatoa Mhadhara kuhusu Data Protection in Tanzania. Karibu sana​
Nimefurahia Sana kusikia hivyo Kaka .
Vipi naweza kupata chance huko walau ya kuwaelimisha watu kuhusu gonjwa la UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ,pamoja na kuongelea hali tete za watoto waliothirika na kutelekezwa mtaani na ghiliba wanazopitia mtaani kiasi Cha kushindwa kufuata utaratibu wa umezaji wa dawa ?
 
Utawala uliopita ulikuwa wa kikatili mno. Nampongeza sana Mbowe kwa utu wake. Sisi wanaCCM hatutakaa tusahau wema wa Mbowe kwa Lissu ingawa Lissu ameshakengeuka na kusahau kila kitu.
 
Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.

Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.

Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.

Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.

Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikatoliki UVIKUWATA anafuga kuku.

Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.

Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yaje alikuwa kamisna wa jwanza wa magereza,alikufa zanani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kana watoto wake.

Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madink
Una lileta wakati huu Lisu akiongelea mapungufu ya chama chake kwa lengo gani

Hivi Mbowe anapata faida gani kuanda machawa badala ya vijana wazalendo
 
Nimefurahia Sana kusikia hivyo Kaka .
Vipi naweza kupata chance huko walau ya kuwaelimisha watu kuhusu gonjwa la UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ,pamoja na kuongelea hali tete za watoto waliothirika na kutelekezwa mtaani na ghiliba wanazopitia mtaani kiasi Cha kushindwa kufuata utaratibu wa umezaji wa dawa ?
Sawa,nipe jina la Account yako ya Zoom
 
Ni kina nani hao walitaka kumuua Lissu hawajulikani hadi leo? hakuna siri, ipo siku watajulikana
 
Back
Top Bottom