Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

Binadamu hubadilika, kutokana na changamoto zilizopo, (adaptability skills) or life learning skills

Uncertainty, (changamoto), husababishwa na, 1. Majanga, (disaster), 2. Taarifa, (information) na 3. Binadamu, (normal and smart people)

Huwa ni ngumu sana kuweza kuyadhiti majanga, tuseme haiwezekani

Kuhusu taarifa, taarifa inaweza ikawa sahihi ila mpokea taarifa akatafsiri tofauti.

Kuhusu binadamu, binadamu anaweza jisababishia changamoto kutokana na uzembe, ujinga, uvivu, na ushamba.

Binadamu, anaweza sababisha changamoto kwa wengine kwa makusudi ama kwa kutokujua

Hitimisho changamoto nyingi tunazokabiliana nazo husababishwa na binadamu
 
Kwa kweli Mungu ni mwema kwa wote wamchao.
 
Leo watu wanamgeuka Lissu...

Si kwasababu ya sera, bali uwenyekiti...

Lissu ni mzuri kwao asipomgusa Mbowe...

Hawa ndio watanzania...

Watu wanaoweza kununuliwa kwa kazi ya kumdhalilisha mtu kwa uongo na wakashinda...

Lissu jiandae kutukanwa na kuitwa msaliti.
 
Hivi Rugimbana na jina la kitutsi ?
 
Mtoa mada mbona ujamtaja yule mbunge wa ccm kupitia zanzibar alietoa ndege kumpeleka nairobi?
 
NDIYO HUYOHUYO ANAMTUHUMU MBOWE ANAKULA RUSHWA KASHASAHAU NDIYO ALOIMUOKOA KWELI UBINADAMU KAZI
Nyakati za uchaguzi kuna mambo mengi sana huwa yanaendelea,ya kweli na yasiyo ya kweli,kuchafuana na kadhalika,ata hiki ulichoandika whether kiwe kweli au uongo it's ok na ni kawaida kabisa ktk nyakat za uchaguzi,hamna jambo la ajabu hapo.
 
Tundu mwenyewe hilo alishaambiwa? Analikubari?
 
sasa jordan anaingiaje? afanye ujasiliamani tu kama sisi. prof lipumba alisema njaa ikizidi inatabia ya kukimbilia kichwani.
Hujaona anaingiaje?alikuwa na uwezo wa kuzuia ndege isiruke kwa kuamuru anga la dodoma lifungwe,kumbuka RC sio mtu mdogo
 
Acha uzinzi ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…