Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeeee JIWE alikuwa katili sana.Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.
Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.
Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.
Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.
Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikristo,i UVIKIUTA anafuga kuku.
Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.
Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yake alikuwa kamishna wa kwanza wa magereza nchini,alikufa zamani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kama watoto wake.
Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madini
Umemsahau Mzanzibar mh TurkeyWale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.
Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.
Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.
Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.
Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikristo,i UVIKIUTA anafuga kuku.
Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.
Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yake alikuwa kamishna wa kwanza wa magereza nchini,alikufa zamani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kama watoto wake.
Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madini
Tupe ukweli wewe.Acha uwongo ndugu 🐼
Umetazama picha umeme ukakatika kabla move haijamalizika.Lisu alieleza vizuri kwamba kama Siyo Juhudi za" Dada " ( Msaidizi wake wa nyumbani) basi asingepona
Beki 3 ndiye aliwasha Gari na kumuwahisha Lisu hospital kabla hajapoteza Damu nyingi
Kwani risasi hazikumpata !.Hakukuwa na mlenga shabaha pale,mlenga shabaha apige risasi zaidi ya 20 bado awe mlenga shabaha?
Wale ni wahuni tu kama wale waliotaka kumteka bwashee wa watu huko Kiluvya,ila mengine yote umeandika sahihi.
Lissu ni mtu mwenye papara sana hana subra kabisa.Utawala uliopita ulikuwa wa kikatili mno. Nampongeza sana Mbowe kwa utu wake. Sisi wanaCCM hatutakaa tusahau wema wa Mbowe kwa Lissu ingawa Lissu ameshakengeuka na kusahau kila kitu.
Wale hawakuwa snipers, snipers ni trained, watu wenye shabaha waliofunzwa kulenga na kwa kawaida hutumia bunduki za risasi moja tuu, na huwa hawakosi shabaha.Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,
Nakuwekea hapa link ukasome uache uvivu.Makamu ña Balozi walivyomtembelea TAL hospital walimkabidhi mwenyekiti bahasha iliyoletwa na Serikali
Mchungaji anasema bahasha ile hadi Leo haijulikani ilipotelea Wapi
Nabii Kesho kwenye Press yake nadhani atalizungumzia 😂😂
Mimi huwa nasena ni Mungu hakuruhusu,maana zilimpata sema hazikulenga sehemu muhimu,siku yake ingekuwa imefika hata asiyejua kushoot angemuua tuWale hawakuwa snipers, snipers ni watu wenye shabaha waliofunzwa kulenga na hutumia risasi moja tuu, na huwa hawakosi shabaha.
Ndio maana hata Samia, alisema wazi, wale sio wa kwetu, wa kwetu wakikosa mbili, unaandika maelezo.
Wale ni watu wasiojulikana
P
Kwa ule upigaji inawezekana kabisa Mana akili ndogo sifa nyingi yule.Mimi huwa nahisi ni yule RC wa ule mkoa wa kaskazini ndio alikuwa anafyatua risasi
Duuh duniani kuna mambo!Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.
Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.
Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.
Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.
Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikristo,i UVIKIUTA anafuga kuku.
Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.
Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yake alikuwa kamishna wa kwanza wa magereza nchini,alikufa zamani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kama watoto wake.
Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madini
Barikiwa sana mh mbunge Turkey kwa kuleta ndege chapchap japo wewe ni CCM uliangalia ubinadamu zaidi
Mbowe alishalamba asali ahaminiki kabisa.Hatima ya CDM iko mikononi mwa Lissu.Wapo wanao amini kwamba mbowe ana mhujumu lisu. Angetaka kumhujumu si angefanya wakati huo???
😁😁😁😁 Sasa kama ana Kula asisemeNDIYO HUYOHUYO ANAMTUHUMU MBOWE ANAKULA RUSHWA KASHASAHAU NDIYO ALOIMUOKOA KWELI UBINADAMU KAZI
Beki 3wa Dr Tulia AcksonLisu alieleza vizuri kwamba kama Siyo Juhudi za" Dada " ( Msaidizi wake wa nyumbani) basi asingepona