Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Mngekuwa mnatofautisha Catholic Churches na Roman Catholic Church Mngekuwa ktk mstari, sasa mnapuyanga tu kujadili msichokielewa.

Catholic haikuzaa uislam, Ila Roman Catholic ilitengeneza na kuuboresha uislam kwa manufaa yao.
Leo hii uislamu usingekuwepo duniani lakini Catholic ilizaa Islamic. Usidanganye watu.
 

Luka 19:40 BHN​

Yesu akawajibu, “Nawaambieni, kama hawa wakinyamaza, hakika hayo mawe yatapaza sauti.” 🙏
 
Mngekuwa mnatofautisha Catholic Churches na Roman Catholic Church Mngekuwa ktk mstari, sasa mnapuyanga tu kujadili msichokielewa.

Catholic haikuzaa uislam, Ila Roman Catholic ilitengeneza na kuuboresha uislam kwa manufaa yao.
Tupe ushahidi wa Roman Catholic ilitengeneza uislamu?
 
Tungekuwa na hali mbaya sana. Hii nyumba ya Ibada mimi naiheshimu mno!
 
Katoliki imeharibu sana ukristo. Yaani mafundisho ya mitume hayafuatwi ila ya walevi wa Roma. Usitengeze wala kuvitumikia kutoka 20. Wao wanatengeneza na kuzisujudia. Neno linasema "aaminiye na kubatizwa ataokoka" wao wanabatiza vichanga. Neno linasema " usilewe kwa mvinyo" wao wanajifanya wagonjwa wa tumbo kama Timotheo, eti tunywe kidogo. Wakati wao ni wazima. Neno linasema Askofu awe mtu wa mke mmoja wao wanawazuia wasioe. Neno linasema " ombeni lolote kwa jina langu (jina la Yesu" wao wanaomba Maria.Huu ni upagani kabisa.
 
Hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni. Miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi. Wadanganye wasiojua historia. Kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
Muongo wa kiwango cha juu sana.
Wakatoliki walitaka kuufuta Ukristo!
 
Ushahidi siweki, sasa unaamua nini na kidini chenu tayari ni kivuli cha ukatoliki
 
Tupe ushahidi wa Roman Catholic ilitengeneza uislamu?
Siwezi kuingiza hapa huo ushahidi maadam bandiko halihusiani na hilo.

Kwa kukusaidia tu upo uzi ulizungumzia hilo jambo kwa mapana sana.

Search uislam na Roman Catholic unaweza kupata huo ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…