Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
- Ukristo usingeenea Duniani
- Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
- Ukristo usingeheshimika
- UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa Ukristo. Kanisa Katoliki ndiye Msemaji Mkuu wa Ukiristo. Ili kupambana na kuufuta Ukiristo Duniani lazima kwanza yule adui apambane & kuushinda Ukatoliki. Mungu libariki Kanisa Katoliki.
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: Lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Soma hoja iliyowasilishwa kwa umakini na kisha ndiyo uchangie