let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Israel hii hii,indiyo judah kingdom. na hadi sasa ipo ndani ya mipaka ya Judah kingdom.Kwani kabla mwaka 1947 kuna Inchi au mahala pakiitwa Israel pakiwa na mipaka yake hapa Duniani?
Israel alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Ilipewa eneo na nani?Ilivamia au ikipewa eneo. Waarabu wakamind wakamvamia eneo la Israel ndipo wakapigwa na kusogezwa
Mwaka 1917 Waziri wa mambo ya nje Uingereza Arthur James Balfour anamuandikia barua Rothschild (Tajiri mmiliki wa Mabank huko UK) kuwa Uingereza ina dhamira ya kuanzisha makazi ya kudumu ya wayahudi huko Palestina.Ilivamia au ikipewa eneo. Waarabu wakamind wakamvamia eneo la Israel ndipo wakapigwa na kusogezwa
Sasa basi hayupo mwenye haki ya kumfukuza mwenzake wote waishi pamoja kama united states lenye kuzingatia usawa. Mbona Australia, USA wale wote ni wavamizi lakini hakuna migogoro ya ardhi iweje hapo.Wote wavamizi tu, maana original palestinians walishakua sucked na makabila mengine tokea uvamizi wa Persians na babylonia
Mwaka 1948 May UN ilimteua Bernadotte kuwa msuluhishi wa uo mgogoro! Bern alitoa mapendekezo yafuatayoSasa basi hayupo mwenye haki ya kumfukuza mwenzake wote waishi pamoja kama united states lenye kuzingatia usawa. Mbona Australia, USA wale wote ni wavamizi lakini hakuna migogoro ya ardhi iweje hapo.
Acha kuwa mtumwa wa maupindeMungu akisema amesema. There is no going back.
"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”
Jeremiah 30:3 - The Restoration of Israel and Judah
For behold, the days are coming, declares the LORD, when I will restore from captivity My people Israel and Judah, declares the LORD. I will restore them to the land that I gave to their fathers, and they will possess it.'biblehub.com
Unaelekea kweny ukweli ,ugomvi wa pale unaletwa na mazayuni hawa wanaotumia kitabu cha Talmud wakati huko jews wanatumia Torat , wako kizamani zaidi ni watu wapole sana , wakazi wa pale ni mchanganyiko ....Kuna tetesi kwamba Raisi ya palestina ni myahudi kiasili . iko wazi wale jamaa walikuwa wanaishi vizuri tu bila ya shida , wamefunga ndoa bila ya ubaguzi wowote .ngoja niiweka katika lugha Rahisi.
Africa ni jina la Eneo.hakuna wakati Africa iliwai kuwa nchi ama utaifa wa mtu.
katika hiyo Africa kumezaliwa nchi nyingi.
Palestine vile vile hakuna mahala iliwai kuwa utaifa wa mtu,kila aliyekuwa mkaazi wa ilo eneo aliitwa mpalestina.
katika hiyo hiyo Palestine, waarabu baadhi wakakata 77% ya Eneo la Palestine, wakatengeneza Nchi inayoitwa Jordan.
ila sijawai sikia wapigania uhuru fake wa Palestine wakitaka Ardhi ya Jordan ilhali nayo ni Palestine.
Palestine ni eneo tu ambalo kale liliitwa Philistia na walikuwepo watu wanaishi hapo makabila ya kutoka ugiriki huko kama caphtorites na wacanaan wengine kama Hivites na gilgashites hao ndio wakazi halisi wa eneo la palestina.Palestine vile vile hakuna mahala iliwai kuwa utaifa wa mtu,kila aliyekuwa mkaazi wa ilo eneo aliitwa mpalestina.
katika hiyo hiyo Palestine, waarabu baadhi wakakata 77% ya Eneo la Palestine, wakatengeneza Nchi inayoitwa Jordan.
ila sijawai sikia wapigania uhuru fake wa Palestine wakitaka Ardhi ya Jordan ilhali nayo ni Palestine
Na ndio hiko tunaita two-state solution waishi pamoja wagawane tu maeneo ya kiutawala. Cha ajabu Israel imekua ikitanua mipaka yake kila siku na kubariki walowezi??Sasa basi hayupo mwenye haki ya kumfukuza mwenzake wote waishi pamoja kama united states lenye kuzingatia usawa. Mbona Australia, USA wale wote ni wavamizi lakini hakuna migogoro ya ardhi iweje hapo.
Kwa mujibu wa data nilizonazo inatokana na kutokukubaliana kwa malengo baina ya pande mbili.Kwanini Israel haitaki Palestina ipate uhuru? Ili swali unalopaswa kujiuliza mpaka sasa.
Malengo ya Hamas ni kuindoa Israel kwenye maeneo inayoyakalia kwa mabavu.Kwa mujibu wa data nilizonazo inatokana na kutokukubaliana kwa malengo baina ya pande mbili.
Tafadhali nieleweshe hivi doctrine za Hamas zikoje. Je, nao wanakubaliana kutatua mgogoro kwa kuwa na taifa la Palestine na Israel pale ama hawalitambui kabisa taifa la Israle, na wana aim kuwafutilia mbali kwenye uso wa dunia? Maana hizo ndo claim za Israel wanazotumia kama haki ya kujilinda.
waisraeli ndio wamevamia ardhi ya wapalestinaJapo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Mgogoro ndo unaanzia hapo,Malengo ya Hamas ni kuindoa Israel kwenye maeneo inayoyakalia kwa mabavu.
Labda kwanini huyo mwakilishi wa UN aliuawa na kundi la kiyahudi?
Na kwanini Yitzhak Rabin Waziri mkuu wa Israel alipojaribu kusuruhisha mgogoro huu naye aliuawa na Wayahudi wenyewe?
Huyo Abraham aliuziwa sh.ngapi hilo shamba? Mashahidi, mkataba wa mauziano viko wapi?Hilo eneo lilikuwa Shamba la Jamii ya Mafala ambao walimuuzia baba wa Imani Abraham
Hilo ni Shamba alilorithi Yakobo ( Israel) kabla ya kwenda uhamishoni
Ulale Unono 😄
Tukijadili asili basi wote hapa Dunain tulijikuta tuko katika maeneo mengine kwasababu mbalimbali eidha viita au njaa.Mgogoro ndo unaanzia hapo,
Kumbuka Arab Palestinian sio descendant wa pale kama alivyo Myahudi. Wote wana historia na hapo ila wote ni wahamiaji.
Sasa kwanini mwingine asimtambue mwenzake na ndo maana sasa ni nguvu inatumika na mwenye nguvu ndio ana muonea mnyonge wakati wangekuwa ni waliostasrabika wangeishi wote kwa amani na kuheshimiana.
Waziri Rabin alipigwa risasi na kijana mwenye msimamo mkali na sio kundi la wayahudi na alitumikia kifungo jela. Kwenye kila jamii kuna watu wema na wabaya. Huu mgogoro ukiuangalia bila kuwa na hisia za upande utagundua kuwa hakuna upande ulio sahihi.
Uganda, Argentina na Palestine yalikuwa mapendekezo lakini viongozi wao wengi waliona Palestine ndio logical place kutokana na historia yao. Swali je, ni kweli Palestine kuna historia ya Wayahudi? Kama ipo kwanini wasiwe na haki ya kuwa nyumbani kwao pia.Tukijadili asili basi wote hapa Dunain tulijikuta tuko katika maeneo mengine kwasababu mbalimbali eidha viita au njaa.
Kabla ya vita ya kwanza kuanza mwanzirishi wa harakati za kutafuuta eneo la wayahudi Theodor Herzl alianza kupendekeza Uganda 1903 baadae akapendekeza Argentina ila yalikataliwa!
Palestina kipindi hiki hipo chini ya ottoman na kipindi hicho bado kulikuwa na taratibu za kukonka eneo na kuchukua kuuwa lako ukishinda, Sheria za kimataifa bado wakati uo.
So baada ya www1 Uingereza anashinda na kumtoa Ottoman moja kwa moja anaanza harakati za kuipatia eneo Israel ndani ya Palestina, ikumbukwe hapa Uinngereza alikuwa amepewa Taifa la kamiili la Palestina kuliangalia mara baada ya kumshinda Otttoman. Chakushangaza Uingereza anatoka Palestina ila anmpa Uhuru Israel na sio akiomtawala yaani Palestina.
Msingi wa tunaobisha tukisema twende kisheria na historia haakuna hatuatenda kwenye mkutano wa UN na biblia cos biblia haitufanyi kusikilizana ila tutaenda na sheria za kimataifa, hapa ndipo tutarejea historia na. Kujiuliza kama UN ilikuwa na nia njema pale Palestina ilikuwa Wayahudi laki 6 wapewe 55% ya ardhi alafu Wapalestina wapewe 40% ya ardhi?
Imekuaje mara baada ya kuanza mitafuruko Israel imechukua ardhi ya Wapalestina hiyo 40% na kujenga makazi ya walowezi? Sheria za kimataifa ziko wapi?
Mimi nimenukuu maandiko sasa wewe shida yako nini au mimi ndio nimeyaandika hayo maandiko..!!Acha kuwa mtumwa wa maupinde
Nchi ilishagawanywa miaka mingi na mipaka ilishawekwa ugomvi unaoendelea ni kutokana na upande mmoja kuvuka mipaka na kukalia ardhi ya mwenzie kimabavuShida ni kwamba nchi ikigawanywa Jerusalem inakuwa upande wa Palestine