Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Wewe dini gani?
 
Mleta mada kasema tujiepushe na dini! Lau tukienda kidini KO ni round ya kwanza mbona.
 
Unajisumbua hakuna jibu sahihi popote
 
NYIE jamaa elimu yenu sijui mliipata wapi
 
Nini suluhisgo la mzozo huu??

Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja.

Wawe naserikali ya umoja
Uungane na mvamizi? Israel waungane na Palestina kweli? Ni ngumu mno. Hapo inabidi wazitwange tu mpaka mvamizi atakapotoka kwenye ardhi ya mwenzie.
 
Kwani miaka 3000 iliyopita kulingana na historia Jerusalem ilikuwa mji mkuu wa taifa gani? Au tuseme suleiman Temple huyo Suleiman alikuwa kiongozi wa Taifa gani kulingana na history na hilo eneo liko wapi leo?
 
Yakobo alikuwa ana watoto wakiume 12 wote kwa pamoja walikuwa wanaitwa Waebrania au Israelites.

Mataifa kumi yalichukuliwa uhamishoni wakati wa Uhamisho/Uvamizi wa Ashuru (Assyrians).

Makabila yalibaki ni Kabila la Yuda na Benjamin haya makabila mawali yakaunga yakaunda Dola inaitwa Judea.. neno Yahudi linatokana na (Yuda) na hii ni historical fact.

Tukizungumza Historia bila kuweka Quran (sababu sio historical text)

Sinwar kama Mpalestina historia yake haizidi vizazi 8 Hadi 10, Wapalestina wengi wameishi Hapo kwa Miaka karibu 400 tu, wakati wayahudi kabla ya mwaka 70AD Walioishi hapo kwa Miaka zaidi ya 3000.

Historia ya Palestina hata kwenye website yao inaanzia mwaka 1986.

Hata wakimzungumzia Yesu hawamtaji kama Myahudi wakati alikuwa Myahudi hawamtaji Daudi kama mfalme wa Dola ya Israel wakati alikuwa Mfalme wa United Israel kingdom.

Hakujawahi kuwepo taifa huru/Sovereign state au Ufalme wa Palestina ambao una Kiongozi wake.

logic ya madai ya Wapalestina Iko Lakini wote mnajaribu kuilezea kijinga au kwa hoja za kijinga
 
Kabla ya 1948 kulikuwa na nchi ya Israel..
 
MIMI NAOMBA TU NISEME HIVI MWENYE KWAO NI KWAO PIAH WANASEMAGA GIZA HALIWEZI KUKUTISHA KWENU HATA LIWE GIZA LA AINA GANI
 
Hadi Karne ya 12 eneo lile liliitwa peleset , wakati wengine wakiita Canaan au promised land , peleset au Palestina ndio ilianza kabla ya unachokiita Israel , machapisho yapo maktaba mbalimbali hasa egypt
 
Kwa hiyo huyo Mungu ni Biden ...
 
Uungane na mvamizi? Israel waungane na Palestina kweli? Ni ngumu mno. Hapo inabidi wazitwange tu mpaka mvamizi atakapotoka kwenye ardhi ya mwenzie.
Hahaha..sasa itaisha lini hii vita aseee??
 
Hadi Karne ya 12 eneo lile liliitwa peleset , wakati wengine wakiita Canaan au promised land , peleset au Palestina ndio ilianza kabla ya unachokiita Israel , machapisho yapo maktaba mbalimbali hasa egypt
Mwaka 1948 wakati Taifa la Palestine linaundwa je kuna wapalestina waliondolewa hilo eneo??
Au lilikuwa halina mtu?
 
Hadi Karne ya 12 eneo lile liliitwa peleset , wakati wengine wakiita Canaan au promised land , peleset au Palestina ndio ilianza kabla ya unachokiita Israel , machapisho yapo maktaba mbalimbali hasa egypt
Karne ya 12 CE au BCE maana hampendi (AD/BC nowadays). Unazungumzia the recent past?

Roma haijaanza kujengwa (740 BCE), Jerusalem imesimama watu wanakula maisha unatuletea stori za juzi hapa hadi Oxford wanatoa degrees?

Tunazungumzia mambo ya kale mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…