dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Aliambiwa wapi awauwe? Bring historical facts tuachane na dini. Mada ndivyo inavyosema.Kiufupi wenyeji wa hapo aswa hawajulikani maana hao wakuja hapo kwa maana ya waisrael na waarabu waliingia hapo kwa vita sana, kama muisrael aliambiwa kabisa awaue wenyeji bila kuwaacha hai hata mmoja, kwahiyo kwasasa wenyeji wamejichanganya miongoni mwa wapalestina wengine walikimbia kuokoa maisha yao , hivyo ndivyo mambo yalivyo