Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Tupe mstari hata mmoja Allah anataja neno Palestina. Nami nitakuletea countless number of times akiitaja ISRAEL na nchi yao.
Unasoma ninacho andika? hata akitajwa mara 1000, nimesha kwambia toka juu huko waisrael na waarabu pale wote ni wavamizi
 
Don't generalize - WAARABU. We are so specific - PALESTINE.
 
Hakuna aliyemvamia mwenzie, hiyo ardhi ni ya wote.
Labda kama waliiumba ndo Wana haki nayo, ila kama na wao walizaliwa wakaikuta basi sio Yao wote.
 
Tatizo wapalestina wa Gaza ni wakorofi, mbona wenzao wa kule Ramallah hawana chokochoko nyingi. Pia wakati wanaweka mipaka walikosea palestina kuweka pande mbili yaani kule ukingo wa magharibi na upande wa Gaza, ilipaswa wote wawekwe pamoja. Hao wa gaza kama vipi wapewe hifadhi hata hapo Jordan tatizo vichwa vyao vibovu kila mwarabu anawaogopa.
Nani aliyevamia ardhi ya mwenzie kati ya Israel na Palestina? Swali lipo hapo, kuhusu ukorofi wa wa Palestina wa eneo la Gaza kuliko wa Palestina wa Ramallah (*kama eneo hili lipo) ni issue subjective kulingana na sababu ulizozitumia.
 
Fafanua vizuri hoja yako utapata majibu mazuri.

Hiki ulichokiandika kirejeshe mashariki ya kati halafu maliza kwa kuuliza swali lako.
Namaanisha Races au jamii zinazopakana siku zote huwa na mshabihiano inakuwaje hawa wanakuwa tofauti kiasi hiki?
 
Hakuna aliyemvamia mwenzie, hiyo ardhi ni ya wote.
Labda kama waliiumba ndo Wana haki nayo, ila kama na wao walizaliwa wakaikuta basi sio Yao wote.
Unaenda mbali sana unapotaja uumbaji wa Ardhi (Hapa unaanza kuhusisha dini, kwakuwa kama kuna uumbaji basi kuna muumbaji ambaye baada ya replies kadhaa utamtaja kuwa ni Mungu), jibanze kwenye kona andika hoja yako vyema tena ikiwa na mashiko kuhusu Israel na Palestina ila usiongelee au kutumia mifano, nukuu wala kitu chochote kitakachohusisha dini.
 
Nimeheshimu sana kanuni za mjadala; jamaa kani-provoke. Soma posts zangu zilizotangulia.
Sawa, muda mwingine unaweza kumuacha kama atakuwa anaendelea kuku-quote achana nae kabisa!
 
Nani aliyevamia ardhi ya mwenzie kati ya Israel na Palestina? Swali lipo hapo, kuhusu ukorofi wa wa Palestina wa eneo la Gaza kuliko wa Palestina wa Ramallah (*kama eneo hili lipo) ni issue subjective kulingana na sababu ulizozitumia.
Hiyo ardhi ya kwanini ni ya wana wa Israel, sema wana bahati mbaya wakiondoka inatakiwa na watu wengine. Kipindi wana wa Israel wametapakaa ulaya wakapata wazo kurudi kwenye ardhi yao ya asili ndio wakakuta wapalestina wameikalia, ardhi ni ya wana wa Yakobo.
 
Nafikiri umeelewa wale waarabu na waisrael wote pale ni wavamizi kwenye ile nchi inayoitwa Israel pamoja na ile Palestina, narudia Wote sio kwao halisia
Mimi huwa nawaza kama wewe kinachoendelea pale ni Gombania Goli ukitaka kuamini hilo mbona kuna mataifa yamelowea kwenye Mataifa mengine na hakuna ugomvi wanaishi poa tu, Nenda Marekani au nenda South hapo ukaone mifano mizuli tu
 
Hiyo ardhi ya kwanini ni ya wana wa Israel, sema wana bahati mbaya wakiondoka inatakiwa na watu wengine. Kipindi wana wa Israel wametapakaa ulaya wakapata wazo kurudi kwenye ardhi yao ya asili ndio wakakuta wapalestina wameikalia, ardhi ni ya wana wa Yakobo.
Ardhi hiyo ni ya wana wa Yakobo kulingana na ushahidi upi?
 
Hiyo ardhi ya kwanini ni ya wana wa Israel, sema wana bahati mbaya wakiondoka inatakiwa na watu wengine. Kipindi wana wa Israel wametapakaa ulaya wakapata wazo kurudi kwenye ardhi yao ya asili ndio wakakuta wapalestina wameikalia, ardhi ni ya wana wa Yakobo.
Sawa lakini sio hawa kina Netanyau au ilipigwa Cross Hybrid wakapatikana hawa mimi bado nina Mashaka na Muisraeri mwenye asili ya Israel kweli ni hawa tunaowaona leo?
 
Mimi huwa nawaza kama wewe kinachoendelea pale ni Gombania Goli ukitaka kuamini hilo mbona kuna mataifa yamelowea kwenye Mataifa mengine na hakuna ugomvi wanaishi poa tu, Nenda Marekani au nenda South hapo ukaone mifano mizuli tu
Shida ni wavamizi wawili kujifanya kila mmoja ana hati miliki wakati wote wezi
 
Unaenda mbali sana unapotaja uumbaji wa Ardhi (Hapa unaanza kuhusisha dini, kwakuwa kama kuna uumbaji basi kuna muumbaji ambaye baada ya replies kadhaa utamtaja kuwa ni Mungu), jibanze kwenye kona andika hoja yako vyema tena ikiwa na mashiko kuhusu Israel na Palestina ila usiongelee au kutumia mifano, nukuu wala kitu chochote kitakachohusisha dini.
Naona polisi wa dini umekuja.
Haya nipige pingu Kwa kuitaja dini yako.

Ukisoma kwa umakini utagundua Nilichoandika kinaapply uwe unaamini Mungu au la.

Kama unaamini Mungu basi uumbaji ni pale Mungu alipoumba ulimwengu(in a literal sense)
Kama unaamini sayansi basi uumbaji ni pale process za BigBang na evolution zilipoanza (in a metaphorical sense)
Kama huamini hivyo vyote basi uumbaji ni pale Kila kitu kilichopo kilianza. (In a philosophical sense)
 
Naona polisi wa dino umekuja.
Hays nipge pingu Kwa kuitaja dini yako.

Nilichoandika kinaapply uwe unaamini Mungu au la.
Kama unaamini Mungu basi uumbaji ni pale Mungu alipoumba ulimwengu(in a literal sense)
Kama unaamini sayansi basi uumbaji ni pale process za BigBang na evolution zilipoanza (in a metaphorical sense)
Kama hivyo vyote basi uumbaji ni pale Kila kitu kilichopo kilianza. (In a philosophical sense)
Umekaza nati! Pitia vizuri nilichokijibu. Jitahidi urejee kwenye mada, huku ulikoenda ni mbali sana.

Mada haihusiani na mambo ya Uumbaji, ila imejikita kwenye huu mgogoro endelevu kati ya Israel na Palestina.
 
Back
Top Bottom