Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Kama hutumii rejea za kidini Wa-Israeli walikuwa wakazi asili wa eneo hilo walilopo leo kwa hiyo swali lako ni null and void kama kuuliza leo Watanzania walipata ardhi yao kutoka kwa nani.
Juu pale umesema Israel alipata aridhi yake kwa sababu ya vita. Ndio nikakuuliza alipata kutoka kwa nani?.

Kama hutumii rejea ya kidini kwa nini Israel mpaka mwaka 1948 hakua ndani ya nchi yake?. Na kwa nini alitaka kupelekwa Asia, middle east, pamoja na Africa wakachagua middle east?.

Nini kilisababisha mpaka Rooselvet from Austria ashawishi kuundwa kwa nchi ya Israel ambae nae alikua Austria Jews?.
 
Sisi hatutakiwi kufanya nukuu ya vitabu vya dini-Quran na Biblia. Ukipitia mwanzo wa Uzi utaelewe mjadala huu unaendaje.
Nazungumza kwa hao wanaoamin aridhi hio wameahidiwa na Mungu, ambae Mungu huyo nae anaonyesha kwamba haikua aridhi yao. Nimeshakuelewa mkuu.
 
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.

Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Sikiliza hawa waislam walioanza kujielewa

View: https://youtu.be/TTfLeoy2bQQ?si=IlUUXJQUC0DCVOkK
 
View attachment 3131147
"Ondoka katika nchi yako"

Kwa maana hii huyu aliacha nchi yake
------------------------------------
View attachment 3131153
Bado unamtafuta mvamizi wa maeneo ya watu?

Kiuhalisia ata Abraham hakuwa Myahudi! Sijui kabila la Uyahudi aliamzisha nani!
And We gave Moses the Scripture and made it a guide for the Children of Israel, ˹stating:˺ “Do not take besides Me any other Trustee of Affairs,

Allah mwenyewe huyo! Anaitambua Israel vilivyo! Mafilisti are nowhere to be recognized.
 
Nitajitahidi sana kutokuweka mambo ya DINI though ni ngumu kukwepa kwa 100%.
Wanaosema Israel imeundwa mwaka 1947/8 hawana wanacho kijua; wangepumzika kwanza. Chanzo cha kitu kinaitwa Israel/Wayahudi na Waarabu ni mtu 1 anaitwa Ibrahim mwana wa Tera; huyu bwana alikua mwenyeji wa taifa linaitwa Uli ya Ukalydayo (sasa Iraq ) huyu bwana alitokea familia ya wafugaji specifically KONDOO na ngamia, Iraq ndio kitovu cha hi dunia, huyu bwana alihamia hapo panapoitwa Palestine or Israel hi ya leo, walikiwepo wenyeji wanaitwa Wahiti, Wahivi. Waliishi kwa pamoja bila shida; baadae huyu Ibrahim alikwenda uhamishoni Misri kukimbia njaa then alirudi na binti wa Kimisri kama house girl; hakubahatika kupata mtoto na baadae alikuja kuzaa na huyo house girl wake, mtoto huyo wa house girl ndio chanzo wa Waarabu wote wa leo; baadae alipata mtoto kwa mkewe aliyeitwa Isaka/Isaac/Isihaka; Isihaka alizaa mapacha, mmoja ndio baba wa Waisrael hawa wa leo na pacha mwingine aliitwa Esau ndio baba wa taifa lilitwa Edom or Lebanoni ya leo; so you can see jinsi gani hawa watu walivo na undugu wa karibu. Well, Yakobo aliishi hapo hapo kwa babu yake Ibrahim na wanae na baadae nae alikimbilia Misri kama babu yake; huko walizaliana kwa wingi, both watoto na mifugo; baada ya miaka 430 kupita ndio waliporudi nyumbani kwao wakiongozwa na Musa, hapa sasa ndipo ilipoanza TABU, walipigana sana kwa zaidi ya miaka 2000; wakati Yesu anazaliwa; wote pale mashariki ya kati walikua wanatawaliwa na dola ya Rumi so sio Waisrael/Wayahudi wala Waarabu or Wapalestina walikua na chao, wote walitakiwa kua chini ya mtawala anaitwa Rumi; mwaka 70 AD, Dola ya Rumi alipiga hekalu/synagogue/kanisa na kuua Wayahudi wengi; walitawanyika sehemu mbalimbali za dunia hasa Ulaya, Africa hasa Misri na Ethiopia na walionaki wengi wao waliuawa na w3ngine walijiua wenyewe; miaka imekwenda sana, baadae ndio wakaanza kurudi tena nyumbani, hi ndio wanayo ijua wengi. Again, walikimbia mauaji huko waliko kua hasa German ya Hitler, Poland kuliko kua na kambi ya Sobibo na Romania as well; wale waliokua Russia, Ulaya ya Magharibi pamoja na Marekani walibaki huko huko hadi miaka ya 60, 70 na 80 nao baadhi wakaanza kurudi nyumbani; hi hasa baada ya Ukomunisti kufa, walirudi wengi nyumabni.
Baadae naweza kuelezea why mataifa mengi ya mashariki ya kati yanao wengi sana na hawajulikani, mataifa kama Iran, Iraq, Saudia, Syria na hata Misri plus Ethiopia
Mzee baba Abraham hakuwa Myahudi, na Uyahudi haukuwepo kipindi Abraham yupo.

2. Hakukuwahi kuwa na sehemu ikiitwa Israel, ila kulikuwa na jamii ya kama ukoo au kabila ndiyo maana wakiita uzao wa Israel kama unavyoweza kuita leo Mangi etc! Ata Yesu alipokuwepo hukuwahu kuona kuwa alienda Israel ila utaona ikitanwa Jerusalem etc!.

3. Israel ki geographia m hakato wake wa kuanzishwa ulianza Nov 2, 1917 mara baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Arthur James Balfour kumuandikia barua Lord Rothschild mwakilishi wa Wayahudi ikimueleza kuwa Uingereza iko tayari kuanzisha makazi ya kitaifa ya wayahudi katika eneo la Palestina.
 
Juu pale umesema Israel alipata aridhi yake kwa sababu ya vita. Ndio nikakuuliza alipata kutoka kwa nani?.

Kama hutumii rejea ya kidini kwa nini Israel mpaka mwaka 1948 hakua ndani ya nchi yake?. Na kwa nini alitaka kupelekwa Asia, middle east, pamoja na Africa wakachagua middle east?.

Nini kilisababisha mpaka Roservet from Austria ashawishi kuundwa kwa nchi ya Israel ambae nae alikua Austria Jew?.
Wa-Israeli wamekuwa kwenye hiyo nchi miaka yote kabla ya kuwa taifa la Israel rasmi mwaka 1948 kulikuwa na wayahudi karibia 50,000. Wakati wa utawala wa Mamluk ndipo walipopungua na kubaki kama 3000, wakati wa Ottoman Empire wakarejea.
Wa-Israeli wamekuwepo Palestina kipindi chote cha Roman Empire na hata kuwa koloni la Warumi.
 
Umenukuu Biblia tena, vipi mkuu?
Anaejenga hoja kuwa kulikuwa na Israel kabla ya Palestina hawezi kuithibitisha hoja yake pasi kuleta vifungu vya biblia, ili kumuweka sawa akuelewe lazima tumpe vifungu hivyo hivyo.
 
Mzee baba Abraham hakuwa Myahudi, na Uyahudi haukuwepo kipindi Abraham yupo.

2. Hakukuwahi kuwa na sehemu ikiitwa Israel, ila kulikuwa na jamii ya kama ukoo au kabila ndiyo maana wakiita uzao wa Israel kama unavyoweza kuita leo Mangi etc! Ata Yesu alipokuwepo hukuwahu kuona kuwa alienda Israel ila utaona ikitanwa Jerusalem etc!.

3. Israel ki geographia m hakato wake wa kuanzishwa ulianza Nov 2, 1917 mara baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Arthur James Balfour kumuandikia barua Lord Rothschild mwakilishi wa Wayahudi ikimueleza kuwa Uingereza iko tayari kuanzisha makazi ya kitaifa ya wayahudi katika eneo la Palestina.
Herode mfalme wa Wayahudi wakati wa Roman Empire alikuwa anatawala wapi??
 
Anaejenga hoja kuwa kulikuwa na Israel kabla ya Palestina hawezi kuithibitisha hoja yake pasi kuleta vifungu vya biblia, ili kumuweka sawa akuelewe lazima tumpe vifungu hivyo hivyo.
Ipo Historia secular ya Herode mfalme wa Wayahudi.
 
Hajui ashike lipi aache lipi huyo. Akienda kihistoria moto; akienda kidini ni moto zaidi.
Unajua wewe ndiye huelewi maana kihistoria hakuna uthibitisho wowote unaoweza kuuweka hapa kuonesha Israel ilikuwepo kabla ya Palestina bila kunukuu vitabu vya dini ijapokuwa tuntatofautiana katika kuelewa kifungu husika.
 
Pontius Pilate(Pilato) alikuwa gavana mrumi wa Judea ambayo ndiyo Israel ya leo na yuko kwenye Historia ya kidunia(secular).
 
Nioneshe uhalali wa Israel kihistoria.
Kuna watakaoanzia pale jews sababu iliyowafanya wakimbie jerusalem na kusambaa huko ulaya.
Ubaya wa historia ya mgogoro huu ni kwamba watu wanaanzia pale wanapoona pataunga mkono madai yao.
One thing mimi kama mimi nachopinga, ikiwa wangoni zama hizi hawawezi kurudi s.a kudai eneo lao, why jews walipewa exclusive ya kufanya hivyo in modern times wakati zama za kuhama hama hovyo tayari zimekwisha?
 
Historia ya Wangoni na Wayahudi ni tofauti sana. Chuki iliyopitiliza(kutokana na conspiracy theories mbalimbali) dhidi ya Wayahudi na baadaye ushawishi wa Jewish Lobby huko magharibi ndicho kilichowafanya wakubwa wa dunia kuamua hawa watu warudi kwenye ardhi yao ya zamani tu kuepusha mizozo zaidi na holocaust.
 
Pontius Pilate(Pilato) alikuwa gavana mrumi wa Judea ambayo ndiyo Israel ya leo na yuko kwenye Historia ya kidunia(secular).
Embu elewa wewe kenge! Nimekuambia hakukuwahi kuwa na eneo likiitwa Israel mashariki ya kati toka Abraham anafika toka Mesopotamia mpaka Herode mkubwa anatawala Yudea.

Kulikuwa na Herode mkubwa alianza kutawala Yudea 37 - 4 Kabla ya kristo

Kulikuwa na Pilato alitawala Yudea badae na akaja Herode mdogo ambaye yeye alikuwa mtoto wa Herode mkubwa Galilaya.
 
Back
Top Bottom