Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
π₯ΆUghonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema nyie vima mnanikera sana na mada zenu za kichoko.
NakupendraaaaaaaMamaSamia2025 , FaizaFixy Ila hawa watu basi tuu.
π€£π€£π€£Shenzi wewe...
Mpe basiNakupendraaaaaaa
Yangu ishazeeka hii imeshajukuu atafute vujana wenzakeMpe basi
Asiponisaidia hapo ndo nitaamini yanayosemwa kuhusu CCM na viongozi wao... Kwamba ni majizi na hayana huruma ya dhati na wananchi, huwaga ni maigizo tu tuyape kura yazidi kula maisha na matoto yaoAkikusaidia leta ushahidi wa screenshots nimrefund 200k
Tlaatlaah mheshimiwa hebu fanya kweli tuishinde hii kejeli na dharau juu yako mheshimiwa... Kwani ukinisaidia kalaki unapungukiwa nini tajiri?!Akikusaidia leta ushahidi wa screenshots nimrefund 200k
huku nilishaga toka kitambo sana mbona. nilikua sina majukumu mengi halafu pesa mingi kwa pocket mpaka sielewi nifanyie nini zipungue,Tlaatlaah mheshimiwa hebu fanya kweli tuishinde hii kejeli na dharau juu yako mheshimiwa... Kwani ukinisaidia kalaki unapungukiwa nini tajiri?!
Mabilioni yote yale yanayosoma kwenye ma-akaunti yenu, unaamua kweli kunichinjia baharini mimi muomba mungu jaman?!πππ
Hebu vunja hii kauli ya ndugu mfalme wetu hapa... Mheshimiwa tafadhali sana! Chezesha kamuamala tafadhali watoto wakale ubwabwa baba ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em mnitolee uchurooo, khaaah
Basi mheshimiwa naomba hata unialike ofisini kwako nipate Zungumza nawe mawili matatu πhuku nilishaga toka kitambo sana mbona. nilikua sina majukumu mengi halafu pesa mingi kwa pocket mpaka sielewi nifanyie nini zipungue,
Lakini sasa kwa mfano huu mdogo tu, nina ekari mia4 sijamaliza kuvuna hata nusu, familia, watoto shule, wananchi kila moja ana shida yake, halafu niinge kwenye mtego huu wa sadaka ya sifa ya ujana ya kujimwambafai, Kweli mimi?π
kwamba ili kusudi nionekane na watu kwamba nina pesa na nimetoa chap maramoja chap kuamua kesi ya wanaobishana kwamba ninazo au sina? Zamani nilikua fake sikukubali kushindwa ningeenda hadi kukopa nifute hiyo kesi na halafu pia nisionekane wa maana vile vile π
Najua pesa huna or else una pesa za mawazo maana machawa mpaka muwapetipeti mabasha zenu ndo mpate chochote kitu. Man up.!!umekwama kwenye hoja, huku kwenye shekeli si ni sawa na mihemko tu π
mambo ya ngawira haitakagi pupa wala kujimwambafai ati sijui nani ajue kwamba uko njema,
by the way ili iweje?
ni matumizi mabaya ya kipato, na kwa wengine inachochea rushwa na madeni π
kwa Neema na Baraka za Mungu, baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa nitawalika mahali huku jimboni au kadiri itakavyoonekana inafaa, pamoja na huyo muungwana mtoa hoja, ili kusudi tuone namna gani tunaweza kupangana vizuri na kufanya kazi pamoja hapo mbeleni kuelekea 2025πBasi mheshimiwa naomba hata unialike ofisini kwako nipate Zungumza nawe mawili matatu π
binafsi hapana gentleman πMna username ya mheshimiwa Makonda?! π Tlaatlaah MFALME WETU
Iwe kweli basi mheshimiwa... Ntakupatia barua pepe yangu kama hutojali baba ππ MFALME WETUkwa Neema na Baraka za Mungu, baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa nitawalika mahali huku jimboni au kadiri itakavyoonekana inafaa, pamoja na huyo muungwana mtoa hoja, ili kusudi tuone namna gani tunaweza kupangana vizuri na kufanya kazi pamoja hapo mbeleni kuelekea 2025π
Machawa ndo wanaanzaga iviIwe kweli basi mheshimiwa... Ntakupatia barua pepe yangu kama hutojali baba ππ MFALME WETU