Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
Ila we jamaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
binafsi napendwa kuchukiwa kwasabb sintasahaulika hata nikitangulia mbele ya haki 🐒

hata hivyo,
siwezi mchukia mwana familia yoyote wa JF, platform ambayo naipenda, naiheshimu na kuikubali sana kwasabb yoyote ile. iwe nimetukanwa au kuitwa majina mabaya....

By the way uongozi ni jalala. Na kwahivyo mazuri na ya hovyo Lazima uwe na uwezo wa kuyabeba 🐒
Mkuu kama wewe ni kiongozi naomba tuongee P.M unisaidie laki moja
 
1. mshana jr anapenda kusifiwatuu ukimtikisa kidogo anakufuata pm kukutukana😁😁mnafiki kweli huyu jamaa na muongo akiona vitu mitandaoni anakuja kuposti jf ili aonrkane mwamba

2.luca mbwa washamba anasifia ujingatuu hela yabando yenyewe inamsumbua.kanachonikera kanajiona kaposahihi mudawote kanaposifia hakapendi kupingwa

sijui kakipata cheo katakua kajitu kanamna gani😕😕kataua na kuteka watu sana kanaroho mbaya

3.tlaatlaa.huyu mjinga sasahivi sisomagi hata post Wala coment zake jinga sana hili toto
kazi kusifiatu mmmmmmmae zake
 
Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
Hakuna aisee, umezidi uchawa, hata hivyo huwa naheshimu ustahimilivu wako pale members wanaposhindwa kujizuia na uchawa wako na kujikuta wakikuporomoshea matusi, mara zote umekuwa muungwana, huwa unawajibu kistaarabu, ila katika watu wanaochukiwa hapa jf wewe unaweza kuwa #2 na #1 akabakia nayo Tlaatlaah
 
Ipo siku utabubujikwa na machozi yasiyokatika ya Majuto ya kwanini ulinichukia mpaka kuniandika humu jukwaani kuonyesha chuki yako kwangu.Hii ni kwa kuwa mimi ni msema kweli Daima. wapo wengine walikuwa kama wewe lakini Mwisho wa siku baada ya kujuwa UKWELI walilia kilio kikali sana cha uchungu mpaka nguo zao zikaloa kwa machozi utafikiri walikuwa wanaoga na nguo vichakani
Toka hapa
 
Back
Top Bottom