Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Msomali kavurugwaEnzi zetu[emoji48]
Karibuni customers, sema nikuletee nini.View attachment 2150162
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Unabisha nini wakati ulikuwa hujazaliwa? Watu wabishi...muulize yoyote mkubwa wako huko kwenu kama soda haijawahi kuuzwa sh 70 miaka ya 80sMh...hapana aisee.
πππππ 30's sii Mdogo ujue..mkubwa mimiUnajikutaga mtu mzima sana kumbe katoto kadogo... Hahahaha
Enzi hizo itv ..siku ya jumapili saa nneππ na mfalme wao mzembeeHuyu mwamba nimemshuhudia nikiwa Primary na secondary View attachment 2152194
Bumunda 20
30's uzitoe wapi... Kila kitu cha kitoto unacho...πππππ 30's sii Mdogo ujue..mkubwa mimi
ππππ Smart nini lakini..basi shikamoo30's uzitoe wapi... Kila kitu cha kitoto unacho...