Miongoni mwa wapumbavu wa daraja la juu ni wewe.Licha ya kuendelea kuwepo kina Sativa, Maria, Hilda, Lema, n.k. sijaona impact yao, Inflencer mkubwa katika hizi harakati kwa asilimia 90 ni MANGE KIMAMBI
Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa.
KashafunguaSo mnajua nguvu yake, hajaamua kufungua account nyingine akiamua atarudi tu
Kuandamana hakuna MTU kakatazwa mkuuKumetulia watu wameachwa kutekwa?
Mbona mnaogopa sasa kuacha raia tuandamane??
Huyo Mange anawakosesha sana raha na bado msubiri akirudi rasmi mtakavyopoteana..!!
Sasa mlichoweka raia lockdown D9 ni nini?Kuandamana hakuna MTU kakatazwa mkuu
Utaratibu upo wazi
Ukiweka mguu ni risasi
Nikweli tunahitaji mabadiliko Ila nyie malaya wa mtandaoni kweli mnaweza kutuletea mabadiliko kweli ..??Wewe faka sana..kumetulia nyumbani kwako useme
Tuwe wakweli nchi haiwezi kukombolewa na Malaya wa mitandaoni Kama nyie , single mother wadangajiSasa mlichoweka raia lockdown D9 ni nini?
Na Simbachawene unakumbuka alisema nini kuhusu maandamano au upo kama bendera fata upepo?
Mange ile chombo nyingine ,mwendazake alikubali yaishe, sasa hii project yenu juu ya huyu mwanadada shupavu , mnafili mtafanikiwaTangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa.
Kila siku alikuwa anaweka video zilizokuwa zikiwapa watu hasira kali juu ya rasimali, kodi wanazolipa, viongozi, n.k. halafu alikuwa anajua kucheza na maneno kama vile petroli inavyomwagiwa kwenye moto
Haya mambo yalikuwa yanachochea sana watu wawe na hasira lakini tangu afungiwa hali imetulia, imekuwa ngumu kukuta videos, picha, maongezi yaliyovuja, n.k.
Licha ya kuendelea kuwepo kina Sativa, Maria, Hilda, Lema, n.k. bado hawawezi kuenea kwenye pengo la Mange
Siku ya kuachiwa kwake hali inaweza kuwa tete maradufu ya tulivyowahi kuzoea
Kunywa sumu ππππWewe faka sana..kumetulia nyumbani kwako useme
Duh hii ngumi kama aliyopigwa Jake Paul ππππTuwe wakweli nchi haiwezi kukombolewa na Malaya wa mitandaoni Kama nyie , single mother wadangaji
Brain kubwa ndo inahitajika Mimi nikiona Malaya mmevamia siasa nakosa powa.
Hivi wewe pimbi unajua ulichoandika ni zaidi ya umalaya?Tuwe wakweli nchi haiwezi kukombolewa na Malaya wa mitandaoni Kama nyie , single mother wadangaji
Brain kubwa ndo inahitajika Mimi nikiona Malaya mmevamia siasa nakosa powa.
sasa vitambi vya wananchi vimerudi rasmiTangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa.