Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

Mkuu jiulize kitu kimoja ni kwanini yule mwana dada aliye mbali kabisa aweze kuwa na ushawishi kwa wananchi wa Tanzania hadi wananchi waweze kufanya vurugu? Kwa sababu huyo Mange hajaanza leo hizo harakati, kafanya sana hizo harakati kipindi cha Magufuli ila mwishoni yeye ndio alishindwa akasusa kabisa kufanya harakati sasa iweje sasa hivi aweze kufanikiwa na kuwa na ushawishi mkubwa kuliko serikali?
 
Tuwe wakweli nchi haiwezi kukombolewa na Malaya wa mitandaoni Kama nyie , single mother wadangaji

Brain kubwa ndo inahitajika Mimi nikiona Malaya mmevamia siasa nakosa powa.
Kwa umejiunga Aug 2025 na tayari unawajua masingo maza na pawa tayari ushaishiwa! Unakazwa na mfumo
Hii ni maajabu¹
 
Mbona yupo mtandaoni,au unamaanisha kufungiwq nini?
 
Ukweli kabisa mastermind Mnagenitah mwili chelewa ila akili nyingi sana. Ogopa mtanzania kwa mwezi.anapata views mil 500 kwenye page ya instagram.

Ingekuwa enzi zile za Osama mange ni sawa na Ayman Al zawri. Alikuwa architecture wa blueprint zote za Al qaeda.
 
Kwa hiyo mnakiri mange ni maarufu na kiongozi anayesikilizwa na kufuatwa na watanzania kuliko mama yenu wala mweguru? Wote wamefunikwa na kidada tu, wamebaki na vijembe tu manguvu ya dola hayavuki boda

Nani rais sasa?
Serikali nzima inazidiwa ushawishi na mwana dada mmoja tu tena aliye mbali kabisa yuko nje ya nchi huko.
 
Serikali nzima inazidiwa ushawishi na mwana dada mmoja tu tena aliye mbali kabisa yuko nje ya nchi huko.
Sadly...

Eti bila aibu wanajisifia adui yao kafungwa mkono sasa wanapumua na kushiba, hamna kula za uso kwa muda! Why nilizaliwa shithole hii jamani??

Najivunia nchi ilivyokua ya Nyerere ilvyokuwa na vyombo sio vya leo vinavyopelekwa kazini na Mange nchi imekuwa low sana yani
 
Kumbe kuteka na kuua nayo ni amani?
 
Kwahiyo MANGE KIMAMBI ana USHWAWISHI MKUBWA kuliko wanasiasa wote wa CCM, na DOLA LOTE la kina MKUNDA???
 
wewe huna tofauti na mbuzi jike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…