Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

msanii gan ana hali mbaya mkuu?
Kwamba hujui kuwa wasanii hutegemea kupata pesa kupitia kufanya shows na sasa hakuna show au hata hujui kabisa kinachoendelea?

Juzi nilikuwa nawasikiliza wale mabaunsa wa wanawalindaga wasanii nao wakilalamika hali mbaya.
 
Nimeshindwa kufungua au kuona ulichoweka.
🤣 🤣 🤣 sio umeshindwa kufungua, nenda na ukwel kukaa na kujitengenezea uhalisia wako hauwezi kusaidia chochote, anyway marioo alifanya show jana kenya na hio video itakuonyesha kama kwel hawana show ama wanazo
 
Ona hili chokoh
 
🤣 🤣 🤣 sio umeshindwa kufungua, nenda na ukwel kukaa na kujitengenezea uhalisia wako hauwezi kusaidia chochote, anyway marioo alifanya show jana kenya na hio video itakuonyesha kama kwel hawana show ama wanazo
Unazungumzia kufanya show nje ya Tanzania?
 
Mange ndio anayeendesha genge la utekaji, mauaji na watu kupigwa risasi?
 
We ulipata kumsikiliza Majjizo alichoongea kuhusu hili suala kama kweli unaelewa kinachoendelea?
Kila mtu anatumia fursa wengine wametoa mpaka nyimbo apa katikati, ila uhalisia mambo yanaendelea kawaida watu wanafanya shows, wengine mpaka wamefungua villa zao, ni nyie tu mmekaa na roho za uchawi mkisubiria wafeli wakati wanapambana na Uzuri Mungu sio athumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…