Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Hivi kumbe mtu akinusurika kufa huwa anatakiwa muhusika afatilie upelelezi wa shambulio lake?
 
suala la vyeti feki lilianza awamu ya pili ya jakaya magufuli kaja kukazia tu.Halafu hao waliofukuzwa kazi wameonewa au sheria zimetekelezwa?
Yaani.mti kaziba nafasi ya mwenye cheti original halafu anajitia yuko sawa, familia ya mwenye vyeti oroginal inakufa njaa kwa kukosa ajira kisa mwenye cheti feki kaziba nafasi mimi ningekuwa Raisi ningewaua sababu wanaua familia zenye vyeti original
 
Yaani.mti kaziba nafasi ya mwenye cheti original halafu anajitia yuko sawa, familia ya mwenye vyeti oroginal inakufa njaa kwa kukosa ajira kisa mwenye cheti feki kaziba nafasi mimi ningekuwa Raisi ningewaua sababu wanaua familia zenye vyeti original
Acha ujinga, sasa hivi mbona kuna watu kibao wana vyeti original lakini hawana ajira? Tumia akili kujadili mada.
 
Mtu kuwa na Vyeti feki ni kisingizio? Kwanini uwe na Vyeti feki on the first place, huoni kama huwatendei haki maelfu ya waliopoteza miaka madarasani kutafuta sifa?
 
Tulia dawa ikuingie Mama..
Umeona madhara ya kuongozwa na kichaa..??
Chuki kila mahali..
Umebaki wewe na yule pumbavu mwenzako baptist nani sijui ndio mnasifia tu humu.
Chuki unayo wewe na ukoo wako labda, huku mitaani maelfu kw Maelfu wanamwelewa sana Jiwe.
 
upuuzi huu huu ndio mlioufanya wakati wa uchaguzi mkuu mkiamini humu mitandaoni kuwa lissu anashinda na mtaani pia hivyo hivyo. mwisho wa siku lissu kapata kura mil 2. sasa watu wa mitandao wanamchukia jpm basi wanahisi huko mtaani nako hivyo hivyo
Wapumbavu hawa, huwa wanadanganyana sana humu mitandaoni.
 
Yaani binafsi nna hasira za kudumu na udhalimu huu wa awamu ya tano
 
Nakulilia BENI MWANA WA SAA NANE
Maelfu ya Watz wanagongwa na Magari na madedeva kukimbia na wengine wanaugua na kufa kwa kutibiwa ndivyosivyo, wengi wako jela kwa kuonewa whether na serikali au mahasimu tu, who is ben saanane by the way, and why awe yeye tu..
 
Yaani.mti kaziba nafasi ya mwenye cheti original halafu anajitia yuko sawa, familia ya mwenye vyeti oroginal inakufa njaa kwa kukosa ajira kisa mwenye cheti feki kaziba nafasi mimi ningekuwa Raisi ningewaua sababu wanaua familia zenye vyeti original
Mkuu watu wengine sijui sijui vichwa vyao vikoje,Eti mtu anasema kabisa machozi ya wenye vyeti feki na watu wengine wanaunga mkono.Na huu uzushi wa kifo cha magufuli eti ndio imekuwa bonge la pointi la kupata kiki,daaah kama upinzani ndio huu CCM tawaleni tu
 
*Kuvunjiwa nyumba bila kuliowa fidia

* Kupandishwa kwa makato ya mikopo ya elimu ya juu.

* Wastaafu kunyimwa malipo yao.

*Wenye ndugu waliopo mahabusu au kuuliwa kipindi cha uchaguzi mkuu.

* Maelfu ya vijana walionyinwa ajira na kupewa maneno ya dhihaka na viongozi kuwa ni wavivu wanapaswa kujiajiri

*Wafanyabiashara waliopokwa mitaji yao na serikali kwa kubambikiwa kodi kubwa.

* Wenye ndugu jamaa na marafiki waliofariki na ugonjwa wa korona huku serikali ikisema ugonjwa huo haupo.

*Watumishi wa umma kunyimwa stahiki zao kwa miaka sita mfululizo.

*The list is looong.

Makundi yote haya yana hasira na gadhabu na mtu mmoja aliyekuwa akisabbisha adha na shida kwa mamilioni ya watanzania.

Kuchukiwa na kuombewa mabaya kwa mtu huyo HAKUZUILIKI.
 
Afe asife ukiukwaji wa haki umeleta chuki
 
Yaani Magufuli ana huruma wenye vyeti waliakiwa warudishe pesa zote wakizolipwa wakiwa kazini na wafilisiwe

Magufuli akimaliza muda wake wakamatwe wote wafilisiwe na wafungwe maisha kama pesa hawana

Magufuli akiondoka wajiandae Hiyo huruma ya Magufuli haitakuwepo.Lazima wateme pesa zote ziwe posho au mishahara za miaka yote waliyokuwa kaxini na vyeti feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…