Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

Nyingine hii ya kipuuzi
 
Humu hawaruhusu matuso,ila unastajili kabisa! Kenyelo kyako!
 
Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Ndugu unajidanganya. Sikuamini kama awamu ya mitano tena imesinyaisha mioyo ya watu, tusubiri Tuone. Sijui hii chuki imetoka wapi!?
 
Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Tuwekee ushahidi ulionao nasi tuushuhudie.

Wewe umeona nini huko mitaani kunakokufanya kuwa "safi mno"?
-----------------------
Halafu angalia ulivyo mpuuzi:

"Chuki zao wanaziexpress humu mitandaoni - HAWATHUBUTU"!

Hao watu wa mitaani hawana chuki kwa vile HAWATHUBUTU kuzionyesha huko mitaani?

Hiyo ndiyo maana yako ya kutokuwepo chuki huko mitaani?
 
upuuzi huu huu ndio mlioufanya wakati wa uchaguzi mkuu mkiamini humu mitandaoni kuwa lissu anashinda na mtaani pia hivyo hivyo. mwisho wa siku lissu kapata kura mil 2. sasa watu wa mitandao wanamchukia jpm basi wanahisi huko mtaani nako hivyo hivyo
Eeenh,

Kuhangaika kote kule na vijiswali vya kipuuzi hitimisho lake ndilo hili la "uchafuzi" na uharibifu wa kura za wananchi?
 

Nadhani wewe umenijibu, nyuma ya pazia, una lako jambo, ambalo bila shala ni lengo la kisiasa kama ambavyo Lissu alilifanya la kisiasa akiwa nje.

Shambulio lilikuwa dhidi ya maisha yake. Alipokuwa nje ya nchi lilikuwa ni agenda yake kuu. Vipi arudi nchini alikoshambuliwa awe kimya, wakati alikuwa akidai anawajua waliomshambulia? Akili kichwani.
 
Kuanzia lini muhanga wa shambulio akafanya upelelezi na polisi kazi yao nini. Hivi wako watanzania bado wajinga kama wewe kweli katika hii karne.
Bora niwe mjinga kuliko kuwa lofa ns mpumbavu, mithili ya nyumbu.

Haiingii katika akili aliyeshambuliwa anadai, nje ya nchi, kuwa anawajua waliomshambulia. Anarudi nchini hachukui hatua yoyote kusaidia upelelezi. AKILI ZA KUUNGANISHA
 
Unaposema amesepa kihuni kuna mtu anamdai? Au umeona lisu analo jeshi la kupeleleza? Utumie akili kujibu hija Lissu.
Lissu ni mwanasheria nguri anayejua jinsi ushahidi unavyopatikana. Shambulio lake anajua mwenyewe na ndio maana analizungumzia kisiasa. AKILI KICHWANI
 
magufuli kachafua sana.nchi hii na kujenga chuki kubwa miongoni wa watanzania ndo maana watu wanafurahi afe kwa faida ya walio wengi
 
Ficha ujinga wako wew kibwetele.
Subiria mama yko apigwe risasi ndio uharishe hyo maneno mdomoni mwako. Taifa bado lina watu wajinga sana wa aina yako
Umeonesha kiwango chako cha utoto na siyo ujana. HONGERA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…