Adi CCM wezi bila kuiba hutoboiVijana msijidanganye wala msidanganywe na mawakili wa shetani hawa.
Fanya biashara yoyote kwa bidii na zungusha pesa kila fursa, kihalali, hakuna cha kukuzuwia kutajirika isipokuwa fikra zako tu.
Wachana na kufata wajinga wajinga wanaoamini hupati mali mpaka uwe mshirikina.
Hao jamaa kina zucker etc biashara zao ni za uvumbuzi sasa huku kwetu uchuuzi wa bidhaa kila mtu anafanya lazima kona kona zihusikeMbona sijawahi kuyaona Kwa Mark Zuckerberg,Jeff bezos, warren Buffett,amancio Ortega, Bernad arnault, Elon musk , Na matajiri wengine.
Matajiri wengi wa bongo Hela zao ni za makando kando lazima uwe na roho mbaya
chaiMpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.
Je mazingira ya bongo ni rafiki kwa wewe kuwa tajiri?Mbona sijawahi kuyaona Kwa Mark Zuckerberg,Jeff bezos, warren Buffett,amancio Ortega, Bernad arnault, Elon musk , Na matajiri wengine.
Matajiri wengi wa bongo Hela zao ni za makando kando lazima uwe na roho mbaya
NAKAZIA HAPA.Je mazingira ya bongo ni rafiki kwa wewe kuwa tajiri?
Maana nahakika mazingira ya bongo na mifumo ingekuwa kama ya ulaya huenda leo afeica ingekuwa kinara kwa mabilionea
duh! Huyu naye au ni utajiri waKabisa mkuu....matajiri wanaishi maisha ya ajabu sana..yupo mmoja kula yake ni ya bei ya chini mno...haangalii TV hana starehe yeyote.......halafu anasoma sana...hajichanganyi na watu....akipewa mwaliko anatuma mwakilishi......T shirt zake na jeans zina miaka zaidi ya 10.....report za biashara zake anapenda kuziweka kwenye graph,histograms,pie chart etc.
halafu chakula cha home hakinaga mazingaombweKuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.
Unaponunua nguo za gharama kila wakati na kula vyakula kwenye migàhawa ya kifahari, jua kwamba wewe ni mrija wa utajiri wa mtu fulani. Unampelekea pesa, je wewe anakupa nini?
Ukipunguza matumizi yasiyo ya lazima, ukaanzisha kabiashara kako kadogo, utatamani kukakuza na kukaongeza kabiashara kako hako.
Pia chakula cha kula nyumbani kiko healthy na fresh
Pole mkuu hayo yapo dunia hii ina vita kali sanaNilisha wahi kuhangaika sana na maisha ya utafutaji. Victim wa kuibiwa nikawa mimi, victim wa kutapeliwa nikawa mimi. Michezo yote michafu nafanyiwa mimi, hadi kusingiziwa uongo mkubwa.
Kwa kweli kuufikia utajiri wenu ni kazi kubwa na ngumu.
Nilianzisha kiwanda kidogo tu, vita haziishi, hadi kikatengenezwa tukio la moto
Nionyeshe kwenye Quran walipoeleza namna ya kuwa tajiriSasa umebadili wimbo, siyo "umafia" tena?
Kijana hakuna utajiri wa namna hizo, utajiri ni mawazo yako tu.
AlhamduliLlah Uislam unafundisha namna kuwa utajiri, wanaofata njia hizo wanatajirika tu, hakuna cha kuwazuwia.
Kwanza ni lazima uelewe, kuwa tajiri siyo kuwa na pesa zisizokuwa na kazi.
Huu sasa ni uongo.....inaendelea....huyo tajiri kimsingi nimesoma nae darasa moja shule ya msingi hakuwa na uwezo darasani....form 4 alipata div 4....ila ametubeba sana kwenye makampuni yake.....washkaji wengine wana CPA lakini wanapewa maisha na huyu tajiri.......nakumbuka kuna siku tulikuwa nae Iringa......tulifunga mamilioni cha ajabu....sie asubuhi tunakunywa supu,yeye anakunywa maji ya uvuguvugu,mchana tunapata lunch yeye akaenda sehemu yenye kilabu cha pombe aka agiza kande za jelo...sie usiku tuna choma nyama na kuhangaika na pombe na upuuzi mwingine...yeye kitambo yupo chumbani na mavitabu yake......itaendelea.....
Mbona mm nipo hivyo na sio tajiriKabisa mkuu....matajiri wanaishi maisha ya ajabu sana..yupo mmoja kula yake ni ya bei ya chini mno...haangalii TV hana starehe yeyote.......halafu anasoma sana...hajichanganyi na watu....akipewa mwaliko anatuma mwakilishi......T shirt zake na jeans zina miaka zaidi ya 10.....report za biashara zake anapenda kuziweka kwenye graph,histograms,pie chart etc.
Ni kweli kabisa mbona zimeandikwa hata na Wazungu? Kuna kitabu kinaitwa The History of African in Business ukurasa was 369 au 385 kaelezewa Bakhresa Kwa uzuri kabisaSiri zake mbona zipo wazi kabisa?
Nimeanza juu huko, pitia uzi vizuri. Kama hujapaona rudi hapa.Nionyeshe kwenye Quran walipoeleza namna ya kuwa tajiri
Si useme kwa sentence moja sasa.....inaendelea....huyo tajiri kimsingi nimesoma nae darasa moja shule ya msingi hakuwa na uwezo darasani....form 4 alipata div 4....ila ametubeba sana kwenye makampuni yake.....washkaji wengine wana CPA lakini wanapewa maisha na huyu tajiri.......nakumbuka kuna siku tulikuwa nae Iringa......tulifunga mamilioni cha ajabu....sie asubuhi tunakunywa supu,yeye anakunywa maji ya uvuguvugu,mchana tunapata lunch yeye akaenda sehemu yenye kilabu cha pombe aka agiza kande za jelo...sie usiku tuna choma nyama na kuhangaika na pombe na upuuzi mwingine...yeye kitambo yupo chumbani na mavitabu yake......itaendelea.....
Ulitaka akifanya aje kukwambia?Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
Masikini ndo ngumu kuingia mbinguni maana muda mwingi wanamlaumu MunguTajiri kuingia peponi ni kipengele maana wengi wanafanya kazi nyingi na shetani kuliko Mungu. Wanaua just to get shit straight