Hakika. Kuna kitu kinaitwa natural selection. Binadamu tusingekuwa wengi kutokana na mazingira ambamo tungeushi.Tambua kuwa kuna makabila walikuwa wakiua binadamu wenzao, na kuwala nyama. Hivyo yawezekana hata idadi yetu isingekuwa kama iliyopo sasa kwa sababu wengi wangekuwa walikwisha uawa na kuliwa nyama.
Kwa nini? mavazi uliovaa na hivyo vyombo unavyotumia vimetoka wapi?Kiongozi hapo sijaafiki hoja yako
Kwa hiyo sisi waafrika tulikuwa tunawala wenzetu?Tambua kuwa kuna makabila walikuwa wakiua binadamu wenzao, na kuwala nyama. Hivyo yawezekana hata idadi yetu isingekuwa kama iliyopo sasa kwa sababu wengi wangekuwa walikwisha uawa na kuliwa nyama.
Kwa nini?Wao ndiyo wameharibu ulimwengu
Kwa sisi waafrika, ni kitu gani tumekitengeneza na kipo duniani kote?Mkuu maendeleo ya Dunia yamepitia stage mbali mbali mpaka kufukia hatua hii ya wazungu anyway anayemaliza ndio ataonekana na mtu atakayeshinda vita ndio mwandishi wa historia.
Unagunduaje changamoto na kuzitatua wakati unajuaga wapo ambao watazigundua na kuzitatua😅😅😅.Sasa huu uprofesa na phd zinatusaidia nini, kama hatuwezi kugundua hizo changamoto na kuzitatua?
Kuna kitu gani kinacho onekana duniani, kimeletwa na mwafrika?Sio kweli,kila jamii huwa inaenda ina develop mbeleni watu wangekuja kuvumbua vitu.
Inawezekana labda, hivi vyakula imported na chanjo tunazo zipata, zikawa zinatufanya tuishi kama tunavyoishi.Unagunduaje changamoto na kuzitatua wakati unajuaga wapo ambao watazigundua na kuzitatua😅😅😅.
Angalia hata familia yako pale home wao kazi yao ni kutumia tu ila maswala ya kutatua changamoto yoyote pale home wanajua kazi ya Mzee so sisi tutaanzia hapa tu na kuishia hapa.
Mindset tu ambazo tayari zilishakuwa tortured so zimebaki hapo hapo, tunahitaji mwana saikolojia sisi kama bara ili atutoe hapo
Sio vitu ambavyo vinanifanya Nitshill chakula ndo cha msingi ila mavazi sio hata mgome au ngozi za wanyama tungevaaKwa nini? mavazi uliovaa na hivyo vyombo unavyotumia vimetoka wapwap
Wakati kina Nikola Tesla wanapambana maabara kuleta umeme duniani.
Sisi waafrika ndio kwanzaa, tulikuwa tunawasha moto kwa kupekecha ulindi na ulimbombo.
Sasa hivi kina Elon Musk wanawaza kuanzisha maisha angani huko kwenye Mars, Waafrika huku tunawaza kuchakata mbunye na makebo makubwa kubwa!.
Ndio maana kila kukicha humu, threads za papuchi na makebo haziishi.
Hizi zote hazina tija kwenye huu ulimwengu wa kisaya
Rudi kasome upya historia hasa ya shule ya msingi, wazungu wameichakachua elimu lkn kuna mambo waliyaacha.Civilization ya mwafrika haijamfundisha kuvumbua mashine, uvumbuzi wa kisayansi n.k na hii kupelekea kuona mtu mweusi hana mchango chanya katika maendeleo ya dunia.
Tuachane na historia, sisi waafrika tumetengeneza bomu gani?Rudi kasome upya historia hasa ya shule ya msingi, wazungu wameichakachua elimu lkn kuna mambo waliyaacha.
Ukisoma vzuri historia utagundua hiyo civilization ilianzia Afrika maelfu ya miaka kuanzia Central Afrika, ikaja East, south, north na west ambako ndiko iliibuka falme ya misri ambayo wengi mnaijua na mnadhani misri ile ilijengwa na waarabu na pia mpo mnaodhani Misri ndio chimbuko la Afrika kumbe si kweli.
Mataifa ya nje kama ugiriki, Roma na hao waarabu, wahindi, wachina, japan wote hao wamestaarabika kutoka misri ambayo ni mtoto wa mwisho kabisa wa Afrika au tuseme ktk falme kongwe za Afrika misri ndio falme ya mwisho ambayo wengi wanaitumia kama feedback/relevance ya Afrika ya kale sababu hamtambui kabla yake kulikuwa na nini.
Ustaarabu wote wa hao watu weupe na ushawishi wa dini zao ulianzia au umetoka misri maana hata huyo yesu wenu wa dini au yule issa bin mariam ni Copy ya shujaa aliyeishi Afrika ambaye stories zake watu weupe walizitoa hapo misri.
Stories za Musa, ibrahimu na akina Nuhu wamezitoa afrika, akina Aristotle na TAKATAKA zingine zimesoma misri, elimu ya Uungu na ustaarabu wameitoa Afrika.
Mnatakiwa mjue kuwa Afrika imesurvive kwa mabilioni ya miaka kabla ya huo ukoloni wenu ambao umeharibu fikra zenu, Afrika ina historia kongwe na ndio chimbuko la kila kitu duniani, ndiomaana wazungu na watu weupe wamejazana Afrika ambako wanawaaminisha ni masikini.
Lakini wamejazana wanatafuta mambo mengi nje ya resources mnazodhani wanahitaji kumbe kuna siri nyingi wanazitafuta ambazo kizazi cha hovyo msiopenda kusoma hamujui.
Mfano kile mnachokiita sanduku la agano lipo hapa hapa Afrika, Milango ya kuhama/kuingia nje ya ulimwengu huu ipo Afrika ambako hata hapo misri ktk zile pyramids ilitumika na wataalamu kutaka kuingia ktk ulimwengu mwingine na ndio hata dini zenu zinasema mnara wa babel ambao watu waliujenga ili kumfikia Mungu, which is pyramids zinazofungua Portal za kuingia huko(spiritual world).
Hata movies zao wanazoigiza mnashindwa kuzielewa japo zinaeleza mambo kwa uwazi sana.
Someni jamani kuna mengi ya kujivunia kama waafrika
Japan, India, China, Baadhi ya nchi za uarabuni, nchi ni nyingi ambazo zimeendelea bila Ujinga wa wazungu, waafrika wanadhani hii dunia kila kitu kimeletwa na wazungu sababu ya kukosa exposureTuangalie jamii ambazo bado hazijafikiwa na civilizations ya wazungu, itatupa idea tungekuwa wapi 😁
Afrka hii kabla hawajaja kuna sehemu zilishapiga hatua kubwa kimaendeleo wao wakaja kuyaua makusudi kupitia sera za kikoloni. Afrika hii kulikuwa na hadi kiwanda kikubwa cha nguo ila waliharibu kila kitu. Tena waliamua wasianzishe maendeleo ya maana kuwe chimbo la kuvuna malighafi tu. Kila mwenye shughuli ya kiuchumi alilazimishwa aache kwa nguvu.Kwa nini?
Wanaotoa malekezo ya dunia, iende hivi ni nani?Japan, India, China, Baadhi ya nchi za uarabuni, nchi ni nyingi ambazo zimeendelea bila Ujinga wa wazungu, waafrika wanadhani hii dunia kila kitu kimeletwa na wazungu sababu ya kukosa exposure
Hili siwezi kukubali moja kwa moja wala kulikataa ila trust me mtu akishachukua power yako na akaamua kukucontrol kwamba wewe mipaka yako ni hii utakua kiazi tu.Inawezekana labda, hivi vyakula imported na chanjo tunazo zipata, zikawa zinatufanya tuishi kama tunavyoishi.
Kama ukoloni uliharibu, kwa nini na sisi tulikubali waharibu?A
Afrka hii kabla hawajaja kuna sehemu zilishapiga hatua kubwa kimaendeleo wao wakaja kuyaua makusudi kupitia sera za kikoloni. Afrika hii kulikuwa na hadi kiwanda kikubwa cha nguo ila waliharibu kila kitu. Tena waliamua wasianzishe maendeleo ya maana kuwe chimbo la kuvuna malighafi tu. Kila mwenye shughuli ya kiuchumi alilazimishwa aache kwa nguvu.
Ukienda Asia sasa kabla hawajaja kulishaendelea zaidi na walikuwa na karibu kila kitu muhimu. Ujio wao bara lile limeleta mengi ikiwemo Mgogoro wa India na Pakistan, kugawanyika baadhi ya mataifa ambayo yalikuwa taifa moja kabla ya ujio wao
Bomu ndio msingi wa maisha au mahitaji ya viumbe duniani?, kwanini usiulize kile wanachoita Gravitational force wanayodai kagundua yule mzungu, wakati huo kuna waafrika walishatumia maarifa hayo hayo kwa zaidi ya miaka 5,000 kabla kwenye technology za anga na vyombo vya angani, pia hata ktk ujenzi wa pyramids.Tuachane na historia, sisi waafrika tumetengeneza bomu gani?
Hao jamaa kikubwa wametusaidia sana. Japo huenda bila ujio wao nasisi tungekuwa tumesonga mbele.Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mpaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.
Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.
Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.
Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.
Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.
Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.
Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.