Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #61
Mashine na vipuri vinatoka wapi?made in arusha, kiwanda cha a-z industries. hivi kuvaa nguo za nje napo ndo kwamba africa haijitambui? mbona marekani wana import nguo nje? wao sio wastaarabu?
Kufuga mbona watu walikuwa wanafuga mzee?Mahari unawinda ka swala unapeleka ukweni wanakupa mke unafanya yako
Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.
Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.
Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.
Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.
Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.
Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.
Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.
Kabla ya ukoloni au baada ya ukoloni?bara la asia ustaarabu umeanzia huko huko asia ya kusini. kwamba unataka kusemaje?
Mikono ya sweta ni mila za mtu mweusi?Yasingekuwepo matumizi ya mkongo tungekuwa na nguvu za asili na mikono ya sweta kama yote
kingine pia sijui kama ni positive au negative lkn wazungu ndiyo culture pekee dunia hii ambayo watu wanaume/wanawake wanachagua mtu kuoa/lewa naye, culture nyingine zote kuanzia asia mpaka kwetu huku hatuchagui wa kuoa/lea, mamboo ya courtship ni unique kwa wazungu tu ...
Kuna jamii ya watu fulani hapa duniani, bado wanaishi juu ya mitiKusingekuwepo cha simba wala yanga,kungekuwepo mashindano ya nani anaweza kumuua simba,nani anaweza kumkimbiza mnyama fulani na kumkamata
Mzee hivi unajua kwa nini kuua Simba ni Ilikuwa ni ushujaa huko umasaini? Sababu Simba walikuwa wanaua watu sana, ikawekwa kuwa kumuua ni kitu cha kishujaa sana...wamasai wanaoua simba wanatumia bunduki gani tena? dah yaani unasoma maoni ya watu unaenda kulilia chooni.
Ata huku kwa familia zenye uchumi/ utawala huwa wanachagua ni nani aoe/aolewe na familia zao. Nadhani ni ile hali ya kuiga kwa wazungu.
China walikuwa na ustaatabi wao kwa kiasi flani, japo West waliwazindua usingiziniKabla ya china unayoijua leo, ustaarabu waliupata wapi?
Nimekujibu simple sababu umekuja simple...kama unataka kuja vizuri tutajadiki kuhusu miundombinu ya umeme, maji, nyumba za bati, chanjo na tiba za magonjwa, kulima, kuchalata mazao na kuhifdhi kwenye magala, kusafirisha mazao na bidhaa mikoa ya mbali, mavazi, malazi Bora kipindi cha baridi n.kyaani umefikiria weee umeiona hii ndio point yako kwamba ungeliwa na simba haya bana
kusema kwamba bila Wazungu tungeishi kama wanyama porini ni kauli isiyo na heshima na yenye kueneza dhana potofu kuhusu watu wa Afrika. Kauli kama hizi zinadhoofisha hadhi ya watu na zinakiuka utu na heshima tunazostahili kama binadamu.Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.
"Wa kwanza Mungu ,wa pili mzungu" - Man FongoInawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.
Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.
Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.
Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.
Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.
Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.
Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.
Najaribu kufikiria, mfano leo hii wakasema hawataki dhahabu, Tanzanite au almasi, sisi hayo madini tutayatumia kutengeneza nini?Wakati kina Nikola Tesla wanapambana maabara kuleta umeme duniani.
Sisi waafrika ndio kwanzaa, tulikuwa tunawasha moto kwa kupekecha ulindi na ulimbombo.
Sasa hivi kina Elon Musk wanawaza kuanzisha maisha angani huko kwenye Mars, Waafrika huku tunawaza kuchakata mbunye na makebo makubwa kubwa!.
Ndio maana kila kukicha humu, threads za papuchi na makebo haziishi.
😂
Kwa upande wetu tumechangia kitu gani katika hii dunia?, achilia mbali vitabu tunavyotumia huko vyuoni ili kupata uelewa na maarifa ni vya huko kwao.kusema kwamba bila Wazungu tungeishi kama wanyama porini ni kauli isiyo na heshima na yenye kueneza dhana potofu kuhusu watu wa Afrika. Kauli kama hizi zinadhoofisha hadhi ya watu na zinakiuka utu na heshima tunazostahili kama binadamu.
Pia, ni muhimu kutambua kwamba ukoloni ulileta changamoto nyingi, ikiwemo ukandamizaji wa tamaduni, uchokozi wa rasilimali, na kuathiri vibaya maendeleo ya bara letu. Hivyo, tunapojadili mchango wa mataifa mbalimbali katika maendeleo ya dunia, ni lazima tuchukue kwa makini historia yote, tukizingatia mafanikio na changamoto kwa usawa.
Nimalize kwa kusema kwamba huna exposure ya kutosha kuhusiana na mada yako, nenda Europe uone namna gani watu weupe wanaishi halafu urudi kutwambia wapi wanaishi kama ngedere
Na sisi tupo nafasi ipi?"Wa kwanza Mungu ,wa pili mzungu" - Man Fongo
Tutayaoana kama mawe tu.Najaribu kufikiria, mfano leo hii wakasema hawaki dhahabu, Tanzanite au almasi, sisi hayo madini tutayatumia kutengeneza nini?