Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Kuna mawili hapa ndugu ambayo kwa bahati mbaya yote si mazuri kwa Mwigulu,Mna ushahidi kua ameiba? Acheni upotoshaji. Mwigulu piga kazi kivyovyote piga kazi.
1. Anahusika kweli na alijua kinachoendelea of which lazima awajibike
2. Hata kama hakuhusika moja kwa moja ila kwa kuwa ubadhilifu huu umetokea ofisini kwake na hakuchukua hatua yoyote hadi waziri mkuu kaugundua ni udhaifu kama waziri anatakiwa awajibike